Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Siyo kwamba ni mwaka Mmoja Ukraine akisaidiwa na NATO bado anapigana na "mateja" kama alivyoelekeza MK254 !
====
Kwa kweli NATO Katia aibu, ameangaishwa na kampuni ya ulinzi, Wagner . Ha ha haaaa!
Kwa hiyo operation yetu ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo imingiliwa!! Sio??[emoji28][emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hawa Jamaa wanaumizwa na takwimu tunazowaletea kila siku hapa, hivyo wanajitaid kwa Kila Hali kuficha aibu ya hasara aliyolamba super pawer 🥱[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Maana hata ndege na helicopter zimetajwa nyingi kuliko alizowahi kuwa nazo.
Hizo artillery ni mara 20 ya alizokuwa nazo.

ADS nazo wameweka idadi kubwa, waulize kwanini hawafanyi Air Attack ndani ya Ukraine kama wamefyatua idadi hiyo ya ADs, majibu hawana
 
[emoji23][emoji28]Nimefurahia kdogo hiyo aya ya pili
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]we jamaa hata bongo tu hapa hujui tuna helicopter ngapi vifaru vingapi .lakini idadi ya ukraine unaijua.
 
Hatari sana, wasio na hatia wanazidi kwenda kukatishwa haki zao za kuishi

In Ukraine, the age for military registration has been lowered by a year—to 16 years

Now 16-year-old boys will be recruited by the Ukrainian armed forces.
Although the Ukrainian authorities claim that this is being done to optimize the military registration system, there is no doubt in Ukraine that the Kiev regime intends to send Ukrainian teenagers into the Donbass meat grinder. However, Russian soldiers are already reporting that 17-year-old fighters have been killed and captured. The Third Reich cosplay continues.
 
Hasara ama maumivu kupitia hii SMO ipo hasa roho za watu ila mali anajibebea na atajibebea zaidi ya anazoondoa

Maana kwasasa viwanda vyake vina double kuzalisha bidhaa mbali mbali

Special military OP inayoendelea kwasasa ndio gharama ndogo kwa RUSSIA kulipia kwasasa ila angechelewa hata week basi ingekula kwake na RUSSIA walitambua hili ndio maana waka pre empt

Kuna muda diplomasia pekeee haitoshi kutatua mambo kama haya nandio maana wizara za mambo ya nje na ulinzi zinakaribiana pakubwa sana hasa kwa mataifa kama US na RUSSIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vifaru na silaha zitaingizwa mapema maana Russia ana plan another Attack.

Yaani kwa sasa Russia hawezi kufanya major offensive kubwa sana, sababu, Ukraine amejiandaa kuliko mwaka jana, pia anasilaha bora zaidi, na upande wa Russia itabidi atumie jeshi lake hata lile linalolinda maeneo mengine, which itaifanya so called Special Military operation iwe vita kamili
 
Ila hii SMO inanikumbusha miezi.kadhaa nyuma wakati SMO inaendelea

Alikuja mchafuzi mmoja hapa anaeijua vyema wizara ya ulinzi ya RUSSIA akasema kua idara hio inaupigaji mkubwa kiasi kwamba wanajeshi wake wangekosa nguo zakupigana kwenye kipindi hiki cha winter

Ila hatimae kipindi hiki cha winter RUSSO ndio wanapata mafanikio zaidi

Naomba tu kujua MKUU zile nguo zao zilizopigwa na wizara ya ulinzi zakujikinga na winter zilirudishwa ama ndio ilikua habari tu za MSM media

RUSSIA imeitendea haki sana taaluma yake ya kijasusi hasa kupitia hii SMO

Mwisho :-Muangalieni PUT IN anavyoeka mkono wake akitembea mtagundua tu kua anaumwa na hayupio sawa [emoji16][emoji23][emoji16][emoji23][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama NATO hamutatangaza rasmi kua munaingia UKRAINE kuisaidia isile kipondo utasahau na hakuna total war itakayotangazwa hapo dhidi ya UKRO NAZI

UKRO NAZI watasagwa sagwa na hii hii SMO labda kama NATO watatangaza rasmi kua wapo vitani na RUSSIA jambo ambalo.NATO hawathubutu hasa UK US GERMAN CANADA na FRANCE

Unadhani wanataka kuiona PARIS inanukia mishkaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Hadithi yako inatufundisha nini mkuu [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hawa Jamaa wanaumizwa na takwimu tunazowaletea kila siku hapa, hivyo wanajitaid kwa Kila Hali kuficha aibu ya hasara aliyolamba super pawer
Kazi unayo
====
A Ukrainian journalist came to Bakhmut to interview soldiers deployed in the city. She revealed surprising statistics of the Ukrainian military.

According to Ukrainian servicemen who are evacuating the wounded and dead from the city, an untrained soldier remains alive for only 4 hours in the Bakhmut grinder. Another soldier interviewed by a journalist was not surprised by such statistics. After some quick calculations, he came to the conclusion that there might be more time.

The Ukrainian media can no longer hide the heavy losses of the Armed Forces of Ukraine. On the one hand, journalists are trying to embellish the feat of Ukrainian soldiers. On the other hand, they confirm their defeat to Russian fighters.

 
Kuna mwingine amesema ukipelekwa kule unaishi ndani ya nusu saa tu
 
Unaweza kutupa idadi ya M777 zilizopelekwa huko? Au umejizimisha data kwamba wamepewa silaha za kutosha kutoka West!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…