Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hi kitu warusi wanaipigia kelele tokA wiki Jana but walisema Ni kwa Raia wa Donetsk.
Kama Ni kweli Ni hatari Sana kwao coz Sidhani ka Ni kweli warusi waliharibu silaha zote za gas mwaka ule 2018.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Ndivyo mnavyojifariji hivyo, sio?? [emoji28][emoji28]

Sawa ngoja hayo machuma chakavu yafike uwanja wa vita ndio hapo kweli Tutajua kama yaliyomo yamo.., lakini Kwa jinsi ninavyojua mpaka Sasa hakuna nchi iliyotangaza kutuma vyuma chakavu huko Ukraine!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Vifaru vya abrams ni jibu jepesi kwenye swali gumu
 
Alafu warusi wa tandale wanakwambia hizo silaha zinazopelekwa Ukraine hazina impact yoyote..,huku nyuma ya pazia wakubwa wakiendelea kulalamika [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hizi siku mbili inaonekana zimekuwa kilio kikubwa kwa Askari wa urusi maana SI kwa kuchinjwa huku..,Jana walichinjwa 1030 Leo Tena naona ni mi Tisa na Tisa kuongeza mmoja.., Narudia Tena; hii vita ni janga kwa askari wa super pawer πŸ₯±πŸ₯±πŸ₯±

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Jana ulisema ndani ya siku 345 jaribu kuzidisha 700 Mara hizo siku utapata jibu gani achana na hyo 1,000 yako halafu wenyewe wanasema hakuna kinachoendelea kwa upande wenu na Kama mnafanya mashambulizi onesha na Kama Kuna shambulizi onesha hata maiti Basi tumepuuza hyo habari yako toka mda mrefu Sana sababu vitu unavyoleta havina ushirikiano hata kidogo[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] Tanzania tuna vijana wa hovyo Sana upigaji mnataka mpige mpka kwenye Vita.
 
Acha mboyoyo.., takriban miezi 3 ya mwanzoni mwa uvamizi ukraine hakuweza kuwachinja warusi Kwa wingi.., Ukraine alipata uwezo wa kuwachinja warusi Kwa wingi kadri silaha Bora na za kisasa zilipoanza kuingizwa Ukraine..,na ataendelea kuwachinja kwa wingi kadri silaha Bora zinavyozidi kuingia,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Alafu warusi wa tandale wanakwambia hizo silaha zinazopelekwa Ukraine hazina impact yoyote..,huku nyuma ya pazia wakubwa wakiendelea kulalamika [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kulialia maana yake Nini hasa?! Wewe unayemuona Fulani analialia (which is your perception) kwanini isiwe wewe kwa kumuona Fulani analialia wakati sivyo kiukweli wewe ndiye unayelialia??
 
Sioni kama ni Kulia huko,Bali naona ni onyo Kali limetamkwa.
Vita kati ya NATO na Urusi haitakaa itokee,kwa sababu nchi za NATO haziko tayari kuteketezwa kwa sababu ya Ukraine TU.
 
Yaani Ikitumia Hali ya Uhuru Kuwahoji Waukrein wenyewe Hawapo Tayari kabisa Kupigana Na Urusi Na Hawaielewi Nchi yao kwnn Yanawakuta hayo
Wanawachukia Viongozi wao Sana


The deputy ambassador of the Russian Federation to the UN Dmitry Polyanskiy said that the families of the prisoners of the AFU are asking the Russian side not to exchange them!
========================
This is due to the fact that the relatives of the soldiers are frightened by the possibility that the Kiev regime will throw them back to the front line, where only death awaits the Ukrainian armed forces!
 
Zelensky aelekea UK kwa mazungumzo na Rishi Sunak.

Hii ni ziara yake ya pili nje ya Ukraine baada ya ile aloifanya nchini Marekani mwezi Disemba 2022.

Kiongozi huyo wa Ukraine anatarajiwa pia kuhutubia bunge la nchini Uingereza na baadae kusaini mikataba inohusu mafunzo zaidi kwa vikosi vya Ukraine ambavyo vipo nchini Uingereza kupata mafunzo mbalimbali.

Uingereza pia imetangaza kutoa mafunzo ya matumizi ya ndege za kivita kwa jeshi la anga la Ukraine ambayo yatawawezesha marubani wa Ukraine kurusha ndege hizo zinotengenezwa barani Ulaya za aina ya F-16.

Uingereza imekuwa ikitoa mafunzo ya kijeshi kwa Ukraine tangu mwaka 2014 na inasemwa kuwa wanajeshi wapatao 10,000 wa Ukraine wamepitia Uingereza kupata mafunzo mbalimbali ya kijeshi.
 
Tatizo lenu kuu wengi wenu hamjuhi kwamba vita hii ilipangwa kwa muda mrefu na USA akishirikiana na NATO lengo hasa ni kutaka kuidhoofisha kijeshi Urusi na kuihujumu kiuchumi ili mwisho wa siku Urusi isambaratike kirahisi ibaki na vinchi nchi vidogo vidogo vya kunyonywa kirahisi na multinationals Companies za Kimerikani - si mnajua tena jinsi makampuni makubwa ya Kinyonyani ya Kimerikani zilivyo kuwa zinamezea mate vast natual resources za Urusi miaka nenda rudi - sasa wanajidanganya kwamba vita hii ndio itakuwa ni opportune time ya wao kutekeleza malengo yao ya muda mrefu kuhusu taifa la Urusi - hawajali hata kama ujinga wao huo unaweza kusababisha WW3 Dunia ikapoteza kila kitu - akili hizo hawana kabisa!!

One may ask, kwa nini wanaitumia Ukraine kutekeleza malengo yao ya kutaka kuisambaratisha Urusi - jibu ni rahasi: Wamerika wanajua vizuri sana kwamba Ukraine ndilo Taifa kubwa kieneo barani Ulaya magharibi, ina wanajeshi wengi na zana za kivita nyingi kwa hiyo ni rahisi kuwatumia kupigana a proxy war on USA/NATOs behalf - ili Amerika iweze kutakeleza lengo lao ovu wakawatuma ma intel agents wao na NGOs mshenzi na ma-walega shabaha wa kulipwa wakajificha kwenye maghorofa marefu na kuwalenga raia wengi waliokuwa wana adamana waka uwawa halafu vyombo vya habari vya magharibi vikasingizia Serikali iliyekuwepo madarakani kwamba inawapiga risasi raia wake maksudi kumbe uongo mtupu - lengo lilikuwa na kuchochea mapinduzi "so called colour revolution" walitaka kutumia mbinu kama hizo huko Hong Kong, Venezuela, Khazastan kama sikosei na juzi juzi huko Iran kwa kuwatumia wakina mama kuanzisha vurugu lakini mbinu zao zikagonga mwamba.

Ukitaka kujua kiundani agenda za siri kuhusu Merikani kuitumia Ukraine kwa lengo la kuisambaratisha Urusi tafuteni kitabu kilicho andikwa na Prof.Zbigniew Brzezinski - title "The Grand Chessboard" hapo ndio utaguduwa kwamba kinacho endelea Nchini Ukraine nimchezo wa kupangwa na Merikani kwa kuwatumia puppet Govt ya Senselesky - mwisho wa siku Ukraine nzima itachukuliwa na Urusi moja kwa moja ili kuondoa donda ndugu la Ukraine, Urusi hisi kubali kudanganyika kwa kupewa sehemu ya majimbo waliyo teka - wakifanya makosa hayo Ukraine itakuwa re-armed tena nakuanzisha vita mbaya zaidi wakisaidiwa na mataifa ya magharibi - kuna minongono ya kutaka Ukraine kuimega Ukraine sehemu mbili ya kaskazini na kusini kama ilivyo Korea, hila za Merikani katika mapendejezo hayo ambayo si rasmi wanataka wapate kisingizio cha kuikalia Ukraine kaskazini na kuweka military bases kujifai wanataka kuilinfa Ukraine kadikasini dhidi ya Urusi - ulaghai mtupu, Warusi wasikubali ujinga huu hata kama itazuka WW3 sawa tu - hakuna hataye pona - Dunia nzima itaangamia kama lengo la Uncle SAM ni hilo basi eaendelee kuwatunia misuri Warusi - lakini Putin ameonya mara nyingi tu kwamba is not bluffing, sasa US has a choice - kusuka au kunyoa.
 
Sioni kama ni Kulia huko,Bali naona ni onyo Kali limetamkwa.
Vita kati ya NATO na Urusi haitakaa itokee,kwa sababu nchi za NATO haziko tayari kuteketezwatus kwa sababu ya Ukraine TU.
Tushasikia maonyo mengi ya Putin, mikwara kibao kwamba atakayethubutu kuisaidia Ukraine kwa lolote lile na yeye atakuwa kajiingiza kwenye vita, atapata kichapo hajawahi kukiona πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Nani kakwambia F-16 zinatengenezwa barani Ulaya - Taifa lipi la Ulaya linatengeneza F-16 au unamaanisha maintainances na services??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…