Ila kwa mwamba Urusi wanachofanya ni kuzunguka mbuyu,wameshindwa kuukumbatia.Walifanya mambo yao Kosovo, Iraqi, Afghanistan pale Libya kwani waliwahi na kuweka NFZ na kuweza kushambulia kwa ndege zao za F-16
Hawawezi fanya hivyo pale Ukraine.
Hii Bakhmut aina wiki 2 itakuwa imeanguka.kama itakuwa na wiki 2 mbele basi utoniona tena hapa jamii forrum.Baada ya siku kadhaa nitakukumbusha kama nilimuumbua mathanzua aliyetuletea habari zaidi ya wiki mbili zilizopita kwamba bado kilometer 10 tu Ili bakhumut iwe completely incicled [emoji28][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hawa watu wakikuambia ni hasubui inabidi ujihakishie hasa,ni marekani gani atavutiwa kujiunga na Wagner?? Labda marekani ya buza!!Mkuu kweli utumie akili!!! Bila shaka utapata kati ya milioni za Wamarekani watu 20 au 30 watakaojiunga na kila upuuzi unaoweza kutokea duniani. Lakini huwezi kupata 100 wala 1000 wala lakhi wala milioni!
Namba yako ya mil 100 bila kazi haina msingi.
Na huyu Prigozhin alifanya mzaha hapa - hutambui??
Ukisikia Nziiii Jua Kitu hichoπ₯π₯π₯ Explosions in Dnepropetrovsk and Zaporozhye regions. The geraniums flew there too π₯π₯π₯
Urusi size yake ni ukraine tu,huko kwingineko mnapotaka kumpandisha sio size yake..,apambane na Ukraine kwanza.., huwezi kuua nzi kwa lisasi,Ila kwa mwamba Urusi wanachofanya na kuzunguka mbuyu,wameshindwa kuukumbatia.
Mbona Ukraine ameshajitokeza tayari! Na huyo dubu anatapatapa kweli [emoji2]Nani Wakumfunga DUBU kengele
πππ€£π€£ππ€£πͺπππ₯π₯π·πΊπππ€πWanakimbia kusema Russia imevamia NATO
πΊπΈπ·πΊπ²π©π·π΄The United States does not see a direct military threat to Moldova and Romania from the Russian Federation
The United States Administration does not record a direct military threat to Moldova and Romania from Russia. This was announced at a briefing on Friday by Vedant Patel, First deputy head of the press service of the US State Department.
He was asked to comment on the allegations that Russian missiles allegedly passed through the airspace of Moldova and Romania on Friday. "We maintain close contacts and communication with our partners and allies from Moldova and Romania. At the moment, we do not record any signs of a direct military threat from Russia against Moldova or Romania. In a broader sense, we support the sovereignty and territorial integrity of Moldova, as well as the neutrality guaranteed by the constitution," the diplomat replied.
Yani wameungana nchi zote na Bado mwanaume anawakomesha.mpaka stock zimeanza kukauka, sio mchezo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona Ukraine ameshajitokeza tayari! Na huyo dubu anatapatapa kweli [emoji2]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Urusi anapigana na Ukraine pekee shekhe,Wacha kujizima data [emoji16]Yani wameungana nchi zote na Bado mwanaume anawakomesha.mpaka stock zimeanza kukauka, sio mchezo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa ushauri tu,weka akiba ya maneno!Hii Bakhmut aina wiki 2 itakuwa imeanguka.kama itakuwa na wiki 2 mbele basi utoniona tena hapa jamii forrum.
Weka kwenye kumbukumbu yako
Wengi waliona kwamba walichokitegemea kutoka Kwa yule waliyedhani ni super ni blabla tu..,wapo wengine wengi akiwemoQibsyl sijakuona siku nyingi jamvini