Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Super power kwa Upinde wenzake, kama anajiamini aingie front na Russia ndo tuone Usuperpower wake.
Nimeshawaambia mara nyingi kwamba Russia size yake ni ukraine..,kumpambanisha na USA ni matumizi mabaya ya laslimali..,yeye aendelee kukomaa na Ukraine tu asijichanganye na wakubwa!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mbona Somalia, Vietnam, Libya, yugoslavia, Iraq alikwenda kwa mbwembwe why not Ukraine??[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo miaka 20 kasaidiwa na NATO lakini kapewa kifilo, Afghanistan hakuna msaada sehemu yotote, wakati wa Russia Afghanistan alisaidiwa na haohao NATO.
Lakini hasara aliyolambishwa urusi ndani ya kipindi kisichofikia hata mwaka mmoja.., amelambishwa hasara Mara dufu kuzidi hasara aliyoipata USA huko Afghanistan miaka 20

Upo hapo?[emoji16][emoji28][emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mbona Somalia, Vietnam, Libya, yugoslavia, Iraq alikwenda kwa mbwembwe why not Ukraine??[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe kweli kichwa maji.., nimekwambia Russia size yake ni ukraine..,ndio maana USA kaona hakuna haja ya kuingilia.. USA kubattle na Russia ni sawa na kumuua nzi kwa lisasi

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Na wewe unayeiona EU Ina maana tukuiteje?? Mwendawazimu au Teja??

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

Unacompare umoja wa Kiuchumi na umoja wa kivita wewe kweli mbumbumbu asee, namashaka na elimu yako. Turkey mpaka sasa anapambana ainge EU sababu anajua umuhimu wake wewe unasema EU haina maana, unatia Aibu.
 
Wewe ni hamnazo kabisa,kama ni ujinga basi wa kwako umepitiliza.., unafikiri ukraine angekuwa member wa NATO Russia angethubutu kumvamia??
Kwa Hali hiyo kipi muhimu Sasa, NATO au EU??
Bogus kabisa!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kama hasira ni vikwazo na Russia si super power awawekee vikwazo west ngoma iwe droo inamaana mtu akikuwekea vikwazo na kukalalamika ujue ni mbabe wako na unamtegemea kwa mambo mengi.
Unajua ni nchi ngapi zimejikusanya na kuweka vikwazo dhidi ya Russia au unabwabwaja tu hapa!West wameweka vikwazo dhidi ya Russia ila madhara yake ni inflation Dunia nzima mpaka wanaondoa wenyewe vikwazo kidogo kidogo!
Price cap imeishia wapi?
 
German Foreign Minister Baerbock admitted that she made a mistake when she said that "we’re waging war against Russia."
“There is a proverb that says:
“Only he who does not live does not make mistakes,”
she said
RUSSIA dude kuubwa sana wanalichangia ila hawaliwezi na wanaliogopa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua ni nchi ngapi zimejikusanya na kuweka vikwazo dhidi ya Russia au unabwabwaja tu hapa!West wameweka vikwazo dhidi ya Russia ila madhara yake ni inflation Dunia nzima mpaka wanaondoa wenyewe vikwazo kidogo kidogo!
Price cap imeishia wapi?
Umeulizwa urusi anashindwa nini kuretaliate vikwazo anavyowekewa kwa kuwawekea vyake yeye hao wanaomuwekea vikwazo.., badala yake naona umeishia kubwabwaja tu [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Super power kwa Upinde wenzake, kama anajiamini aingie front na Russia ndo tuone Usuperpower wake.
Wakiingia hao kwenye vita ww hutaona lolote maana hata network sijui bundle unategemea itoke kwenye hizo nchi. Au utasikiliza RT? Betrii utapata wapi za kuweka kwenye redio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…