Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,890
- 26,440
Russia hakumlalamikia UK pekee bali ile organization ilofanywa na NATO kuandaa ulipuaji huo ambao umehusisha makomandoo wa UK (Marines) na makomandoo wengine wa NATO na US.Urusi alimlalamikia UK kwamba ndiye alihusika Moja kwa moja katika kulipua mabomba yake ya gesi.., lakini hayo malalamiko hatakufuatiwa na hatua yoyote. , Urusi aliishia kubweka tu!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ni operesheni ambayo Hersh asema ilipangwa yangu December 2021 na kabla Russia hajaingia Ukraine.
Hawa Nuland, Sullivan na Blinken wakiwa ni wayahudi wana mkono wao huo na hawa ndo wasemwa kuwa ndo wachoraji wa mpango mzima.
Victoria Nuland ana asili ya uyahudi wa Ukraine, Blinken na Sulliva ni wahahudi pia.
Hivyo unganisha dots.