Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

IMG_20230212_220316_918.jpg
 
Huyu jamaa Kaamua Aisee nakundi lake Hataki Masikhala
Statement by Yevgeny Prigozhin: “Today, the settlement of Krasnaya Gora was taken by assault detachments of the Wagner PMC.
After the capture of Soledar and the mass hype that there was someone in Soledar besides the fighters of the Wagner PMC, of course, the guys were very unpleasant. Therefore, I want to emphasize that there is no one on Bakhmut. There are no special units that cover, pick up and intercept something. Within a radius of 50 km, plus or minus, there are only Wagner PMC fighters who will take Bakhmut.”
Kwa Tafsiri Isiyo Nzuri kutoka google

Taarifa ya Yevgeny Prigozhin: "Leo, makazi ya Krasnaya Gora yalichukuliwa na mashambulio ya Wagner PMC.
Baada ya kutekwa kwa Soledar na hype kubwa kwamba kulikuwa na mtu huko Soledar kando na wapiganaji wa Wagner PMC, kwa kweli, watu hao hawakupendeza sana. Kwa hiyo, nataka kusisitiza kwamba hakuna mtu kwenye Bakhmut. Hakuna vitengo maalum vinavyofunika, kuchukua na kukatiza kitu. Ndani ya umbali wa kilomita 50, pamoja na au chini, kuna wapiganaji wa Wagner PMC pekee ambao watachukua Bakhmut."
 
Ungekuwa mwalimu wangu basi ungejibu hoja uliyopewa bila kujari ni hoja ya namna Gani.., lakini badala yake umeikimbia!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama ni hoja kwamba mbona Russia aharibu vya Ukraine ni katika kuhakikisha NATO na US hawakai karibu.

Lakini bomba ya Nord Stream 2 limepitia Norway na Ujerumani hivyo limeshirikisha nchi zaidi ya moja za Ulaya ambazo ndizo zimetoa fedha za kujenga kwa Gazprom.

Kwa US kuogopa kwamba Russia atakuwa na faida kisiasa na kijiografia (geopolitical advantage) na kwamba itaipoteza Ukraine wametumia njia ya kigaidi kulipua bomba.

Huo ni ugaidi, uharamia yaani sabotage and terrorism.

Ila Russia kwanini inaiharibu Ukraine itabidi kurudi tena nyuma kueleza sababu na chanzo jambo ambalo tumelifanya tangu mada ianze.

Ni mbali sana.
 
Back
Top Bottom