Russia hakumlalamikia UK pekee bali ile organization ilofanywa na NATO kuandaa ulipuaji huo ambao umehusisha makomandoo wa UK (Marines) na makomandoo wengine wa NATO na US.Urusi alimlalamikia UK kwamba ndiye alihusika Moja kwa moja katika kulipua mabomba yake ya gesi.., lakini hayo malalamiko hatakufuatiwa na hatua yoyote. , Urusi aliishia kubweka tu!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mara hii umesahau kwamba rais Biden alimuonya Putin kabla ya uvamizi kwamba iwapo angevamia basi asahau mradi wa mabomba ya ges??Russia hakumlalamikia UK pekee bali ile organization ilofanywa na NATO kuandaa ulipuaji huo ambao umehusisha makomandoo wa UK (Marines) na makomandoo wengine wa NATO na US.
Ni operesheni ambayo Hersh asema ilipangwa yangu December 2021 na kabla Russia hajaingia Ukraine.
Hawa Nuland, Sullivan na Blinken wakiwa ni wayahudi wana mkono wao huo na hawa ndo wasemwa kuwa ndo wachoraji wa mpango mzima.
Victoria Nuland ana asili ya uyahudi wa Ukraine, Blinken na Sulliva ni wahahudi pia.
Hivyo unganisha dots.
Wengi humu JF na hasa kwenye Uzi huu hukuona Kama punguani kwa comments zako...Lakini wako ambao hukuona Kama comedian...Lakini Mimi nimekuweka kwenye kundi Fulani hivi na ambalo mko kwenye watatu hivi...siwezi kulitaja kundi Hilo hapa.Hii vita imemfanya urusi joka la kibisa!! Hana maajabu Tena!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Lakini sio kulipua bomba la gesi watu wamegharamia kulijenga na ni kitendo cha kiharamia na kigaidi.Mara hii umesahau kwamba rais Biden alimuonya Putin kabla ya uvamizi kwamba iwapo angevamia basi asahau mradi wa mabomba ya ges??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hii coment bila shaka umeisev sehemu, maana umekuwa ukirudia kuandika hapa mara nyingiWengi humu JF na hasa kwenye Uzi huu hukuona Kama punguani kwa comments zako...Lakini wako ambao hukuona Kama comedian...Lakini Mimi nimekuweka kwenye kundi Fulani hivi na ambalo mko kwenye watatu hivi...siwezi kulitaja kundi Hilo hapa.
Huyo yupo kuchangamsha lakini aelewa uzuri sana .Wengi humu JF na hasa kwenye Uzi huu hukuona Kama punguani kwa comments zako...Lakini wako ambao hukuona Kama comedian...Lakini Mimi nimekuweka kwenye kundi Fulani hivi na ambalo mko kwenye watatu hivi...siwezi kulitaja kundi Hilo hapa.
Hiyo miundombinu hambayo urusi anahujumu huko Ukraine watu hawakughalamika kuijenga, sio??Lakini sio kulipua bomba la gesi watu wamegharamia kulijenga na ni kitendo cha kiharamia na kigaidi.
Thats not how countries relations work.
Hiki ulokiandika hapa ni tofauti katika context nzima.Hiyo miundombinu hambayo urusi anahujumu huko Ukraine watu hawakughalamika kuijenga, sio??
Au kunya anye kuku akinya bata kahalisha??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sio kuchangamsha tu Bali pia kutengua lengo ovu la kuufanya huu Uzi kuwa kijiwe Cha propaganda za warusi!!Huyo yupo kuchangamsha lakini aelewa uzuri sana .
Naona umewahi kweli kutafta kichaka Cha kujificha [emoji28]Hiki ulokiandika hapa ni tofauti katika context nzima.
Hakuna propaganda hapa ni kuelimishana tu.Sio kuchangamsha tu Bali pia kutengua lengo ovu la kuufanya huu Uzi kuwa kijiwe Cha propaganda za warusi!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mimi sijifichi ila ni mwalimu wako nifuatilie.Naona umewahi kweli kutafta kichaka Cha kujificha [emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ungekuwa mwalimu wangu basi ungejibu hoja uliyopewa bila kujari ni hoja ya namna Gani.., lakini badala yake umeikimbia!!Mimi sijifichi ila ni mwalimu wako nifuatilie.
Hebu acha mzee hizo. Soma dunia uijue. USA anazalisha mafuta. Lakini hayamtoshi.USA ana akiba lakini hazalishi mafuta.
USA wataka kuwa wauzaji pekee wa mafuta Ulaya na sio Russia.
Russia katika kutaka kuwa na mahusiano mazuri ya EU alitaka akamilishe ile Nord Streem2 ili aweze kuwauzia mafuta EU na wawe na good relations.
USA hataki hivyo ile tamaa ya hegemony au dominance over Europe ndo yaingia hapo.
Hii ni moja ya sababu ya vita ya sasa ya USA/NATO againts Russia.
Fuatilia ulipuaji wa bomba la mafuta pale Norway.
Fuatilieni habari hizi kwa makini wajameni, zipo zaelea.
Please read this to slightly appreciate Russias' mightiness.You don't seem to understand Putins' Russia.Hii vita imemfanya urusi joka la kibisa!! Hana maajabu Tena!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app