LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Shida ya sisi world third countries tunahadaika sana...

Apa majuzi kati miaka kadhaa ilopita Tanzania ilisikika kua na kiongoz 'dictator' tulikosa wawekezaji kiasi cha wale waliokuepo walianza kufanya biashara nje ya mipaka ya Tanzania.

China unaambiw kua ni Dictator ila an mwaka wa 10 sasa tangu atengue ufalme wa Marekan Worldwide as "The World largest Manufacturing Hub"... Imagine miaka 10 mfululizo na hajashuka na kamwacha mmarekani kwa asilimia zaidi ya 10...

Yani China 28.7%... akifuatiwa na Usa 16.8%... pitia apa utaikuta

Hapo hapo unakuja kuambiwa Mchina Dictator af hao ho wanapishana kwenda china kuweka Plant... Kuingia kwenye soko la china mfano hai angalia Tesla na Apple invenstment walofanya china...

Unaambiwa China Dictator, ila ndo Major holder ye na Japan wa National Debt ya Marekan...

Sasa kama ni kweli tunavoaminishwa kua Mchina ni Dictator kwanini yupo hapo alipo tena kwa umbali mreeefu zaidi ya hzo mchi wanazodai ni za demokrasia...

Haya kama TZ n democratic country na China ni Dictator why hawaji kwetu tulo na demokrasia wanaenda kwa hao madictator....

Yule Venezuela aliitwa Dictator sa hv wanakaa nae chini kujadili nanma wanavoeza fanya nae biashara ya mafuta na kumwondolea vikwazo baada ya kuachana na Mrusi.

Uku Afrika si kuna gas pia na kuna nchi zenye demokrasia mbona hawajaja huku.

Ifike mahali tuache mihemko tutumie neema ya akili tulopewa. Tuache kusaidiwa kufkiria na hawa damn politicians waliopp kwa maslah yao.
Sahihi, Sema tuna Demokrasia kivuli, sio Demokrasia halisi.
 
The leaders of Germany, France and Russia agreed to remain in close contact in connection with the situation in Ukraine, the German Cabinet said.

SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
Russia will nationalize assets of foreign firms that leave

Russia’s ruling party, United Russia, said on Wednesday that a government commission had approved the first step towards nationalizing assets of foreign firms that leave the country in the wake of economic sanctions over Ukraine.

United Russia added in a statement on the Telegram messaging app that the commission on lawmaking activity had supported a bill allowing for firms more than 25% owned by foreigners from “unfriendly states” to be put into external administration.

“This will prevent bankruptcy and save jobs,” it said.

Corporate actions to censure Russia over its invasion of Ukraine vary widely, with some firms like US carmaker Ford temporarily shutting down factories but others like British energy company BP promising to exit the country.

United Russia said according to the proposed bill companies who had announced they were leaving Russia could refuse to go into administration if within five days they resumed activities or sold shares, providing that the business and employees remained.

Otherwise, a court would appoint a temporary administration for three months, after which the shares of the new organization would be put up for auction and the old one would be liquidated, it added.

Russia will nationalize assets of foreign firms that leave – ruling party
 
Dmitry Medvedev
Former President of Russia
Medvedev said that the Cabinet of Ministers is developing response measures to the sanctions, which include the bankruptcy and nationalization of the property of foreign companies that have left the Russian Federation.

He noted that Russia would respond fundamentally and harshly to the restrictions imposed by the West.View attachment 2145617

Huyu jamaa angekuwa rais angekuwa kashafika kiev
 
Hii ni fake news!! Hakuna maamuzi kama hayo yamefanyika. Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa mgogoro wa Ukraine na Urusi, pia ni mpenzi wa Chelsea. Weka ushahidi wa madai yako!! Mmiliki was Chelsea aliamua kujiweka pembeni mwenyewe na baadaye akaamua kuiuza Chelsea.
Dah nikweli bwana!! Ndivyo mambo yalivyo assets zote za Abramovich zimekuwa frezed!! Kwahiyo hana ruhusa ya kuiuza tena Chelsea wala kuuza mchezaji yeyote wala kuuza tiketi yoyote nk. Mabeberu ni WASHENZII!!
 
Wasomali wana umoja sana likija suala la uadui ndio maana USA alipoweka dau kwa ajili Aidid wao wakaweka dau la juu zaidi kwa US president nafikiri alikuwa Clinton...

Nipe hii clip nione
Clip yote mbali tafuta MOVIE wamecheza wenyewe wamarekani wenyewe inaitwa BLACK HAWKS DOWN
na nyingine DOCUMENTARY inaitwa THE TRUE STORY OF BLACK HAWKS DOWN
 
Dah nikweli bwana!! Ndivyo mambo yalivyo assets zote za Abramovich zimekuwa frezed!! Kwahiyo hana ruhusa ya kuiuza tena Chelsea wala kuuza mchezaji yeyote wala kuuza tiketi yoyote nk. Mabeberu ni WASHENZII!!
Vipi hyo style ya kudeal na huu mtifuano waionaje....? Ni sahihi wakifanyacho...

Mfano ukisoma haya maelezo apo chini kuna picha unaipata ni kama wana deal na watu wanaochangia Uchumi wa Urusi ambapo kiuhakika na wao pia wamo karib taifa lote la ulaya kupitia biashara zao na mrusi kwenye gesi.

“Abramovich is or has been involved in destabilising Ukraine and undermining and threatening the territorial integrity, sovereignty and independence of Ukraine, via Evraz PLC, a steel manufacturing and mining company in which Abramovich has a significant shareholding and over which Abramovich exercises effective control,” it said.

“Evraz PLC is or has been involved in providing financial services, or making available funds, economic resources, goods or technology that could contribute to destabilising Ukraine or undermining or threatening the territorial integrity, sovereignty or independence of Ukraine – which includes potentially supplying steel to the Russian military which may have been used in the production of tanks.”

Ukiendela kuyasoma hayo maelezo unajiuliza tena swali... Kama so uonevu kwa huyo jamaa why bado mataifa hayo hayo till sekunde hii tunaongea apa wanaendelea kutumia Gas y Mrusi, maana ake wanachangia pato la taifa la Mrusi... Maana ake wanachangia kum"undermine Ukraine... Kwa mujib wa maelezo au sababu wanazozitoa kunyanganya mali za watu walo karib na Urusi.

Sasa apa tuulizane issue n Ukraine au wana mambo yao nyuma ya pazia na sie tunayaendea kichwa kichwa [emoji848]
 
KWANINI, USA & NATO wanalazimisha misaada ya SILAHA badala ya kutafuta DIPLOMACY WAY? Kwanini wanalazisha UKRAINE waendelee kupigana?
Huyu jamaa angekuwa rais angekuwa kashafika kiev

Huyu jamaa angekuwa rais angekuwa kashafika kiev
Huyu Medyeyev alikuwa rais mbadala ya Putin, baadaye waziri mkuu na kiongozi wa serikali. Sasa ndiye makamu wa baraza la usalama wa kitaifa - kwa hiyo usiwe na wasiwasi anahusika moja kwa moja. Katika mashambulizi na pia katika maandalizi mabaya na katika mauaji yote.
 
Back
Top Bottom