NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
Haha hawana hela za ku survive nje ya UkraineKuna wananchi wazalendo...hawa madem wa Ukraine wazalendo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha hawana hela za ku survive nje ya UkraineKuna wananchi wazalendo...hawa madem wa Ukraine wazalendo..
Kumbe mkuu na ww umeliona hili, inavyo onekana Ukraine iko tiyari kusikiliza matakwa ya Russia na kuyafanyia kazi lakini inaonekana kuna kizuizi kinacho wazuia.West wanafiki wanataka kuitumia Ukraine kama chambo kuitangaza Urusi kama nchi isiyostaarabika. Ukraine nao kama wanaendeshwa na EU badala wacheze kama Francisco Franco aliyesaidiwa na Hitler na Mussolin kuingia madarakani ila WW2 ilivyoanza akala kona kama hawajui. Mwishowe Spain haikurusha hata risasi moja alafu washirika wake wakafia vitani. Inabidi uishi kijanja ukiwa kati ya mafahari wawili. Uturuki inazihitaji Ukraine na Russia nawaamini kwenye kutatua huu mgogoro.
Source ya habari yako mkuu ni ipi? Maana hata mimi naweza kusema "more than 70 Ukrainians are buried"!
Kwamba Western countries sio madikteta na ni democratic sana? Kumbuka hii vita anaumia raia wa kawaida huko Ukraine.Lavrov akubali ukweli tu- dunia ipo tayari kulinda uhuru na demokrasia. Mamia wapo tayari kuvuka boda kupigania uhuru na demokrasia bila malipo. Udikteta(Urusi/China) haujakubalika jana, haukubaliki leo na hautakubalika kesho.
Mazungumzo hayajaleta matokeoKWANINI, USA & NATO wanalazimisha misaada ya SILAHA badala ya kutafuta DIPLOMACY WAY? Kwanini wanalazisha UKRAINE waendelee kupigana??
Askari wa Urusi waliouwawa Ukraine.Picha Toka mtandao wa telegram:
Не идентифицированы.Погибли
Трофимов Д.И.
Подписаться | Бот для поиска своих |
Резервный
канал
Mkuu sija sema ya kwamba Iran ina izidi Uturuki ila nimesema anajitahidi na uwezo wake sio wa kubeza katika sekta hiyo na ukimuendea kichwa kichwa ana kutoa kamasi.Sasa watu humu eti wako serious wanasoma Kyiv Independent. Yani Tanzania inapigana na Uganda alafu mtu anaenda kusoma taarifa TBC akitegemea nini. Taarifa inabidi itolewe na neutral party yenye credibility. Nadhani ni wewe juzi uliniuliza kama naamini Ukraine walivyosema ndege 80 za Urusi zimepigwa nikakwambia hata wangesema 40 nisingekubali.
Kuhusu Iran kushusha drone ya Marekani ni ajabu ndio ila sio kumaanisha ndio wana uwezo mkubwa sana kuzidi Uturuki. Last comment yangu nimegusia mwaka 1999 Yugoslavia walivyodungua F-117 Nighthawk jet ya Marekani tena ikiwa stealth lakini walitumia system ya miaka ya 1960s uko ya kizee inapuuzwa. Hili ndio la ajabu zaidi na bado hawakushinda
Ukraine imebaki battle ground, it's not fair kinachofanyika coz anaumia raia wa Ukraine na sio mwingine.KWANINI, USA & NATO wanalazimisha misaada ya SILAHA badala ya kutafuta DIPLOMACY WAY? Kwanini wanalazisha UKRAINE waendelee kupigana??
Mkuu, sasa hivi nipo Goba hapa..nilivyosoma hivi nimecheka sana!!Nchi imezidiwa kila kitu wewe mpumbavu wa GOBA unajitutumua na Clip.