Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Naomba kujua hii habari inatoka kwenye source ipoi? Au lete link nasi tujiridhishe nimekuambia Mara kadhaa hutoi chanzo Cha taarifa yako? Mara zote unatuletea Hilo graph la estimates by Ukraine army weka na link mbona vingine unaweka?
 
Naomba kujua hii habari inatoka kwenye source ipoi? Au lete link nasi tujiridhishe nimekuambia Mara kadhaa hutoi chanzo Cha taarifa yako? Mara zote unatuletea Hilo graph la estimates by Ukraine army weka na link mbona vingine unaweka?
Tatizo hata ukiwekewa Link utamalizia na kile kibwagizo chenu pendwa Cha " propaganda"
Nyie hamna jema ,hata independent source kama BBC Swahili wakileta habari inayofavour upande wenu mnaiscreenshot na kutuletea hapa kwa mbwembe.., lakini ajabu ni kwamba chombo hicho hicho Cha habari kikileta habari negative kwa upande wenu hamkawii kusema propaganda!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Machuma chakavu hayo ndege vita mandonga...
 
Tangu lini BBC ikawa independent source?

Chombo Cha propaganda kwako ni Independent source?

Kweli ndio maana wengine humu Wana kupuuza[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Bloomberg inaripoti kwamba, western companies zinaanza kurudi Russia na kufanya biashara na Russia.

Hii ni baada ya makampuni mengi kupata hasara kutokana na kitendo chao cha kujiondoa Russia.

Wanasema "To hell with Ukrainians"...


Note:

Nakumbuka Wakati haya makampuni yanaondoka kwa mbwembwe, President Putin aliwaambia, mkitaka kurejea, mtarejea kwa gharama kubwa sana. Kwa sababu soko lenu litakuwa limechukuliwa na watu wengine.
 
Serikali ya Sudan imekubali kwa kauli moja na kuiruhusu Russia kuwa na Military Base hapo Sudan.

Serikali ya USA imepinga sana ili dili, eti hawataki Russia awe na base Sudan.

US sijui anawashwa na kitu gani, mbona yeye ametapakaza Military bases all over the world.


Note:

Nachokiona mimi ni kwamba, huku ni kuzidi kujitanua kwa Wagner Group. Yaani Wagner Group wanataka kuwa na strong footprint hapa Africa.

Kule west Africa wameshawafukuza wafaransa. France ndio walikuwa wafadhili wakuu wa makundi ya kigaidi.


View attachment 2515945
 
Ndege vita ya mizigo ya Iran ikiwa inajiandaa kuruka kutoka Iran kwenda Russia kupeleka Shehena ya mizigo maalum kwa ajiri ya kuwachinja ma NAZI ya Ukraine

Wanasema ndege hizi zimekuwa zinaruka mara kwa mara Iran to Russia.


Your browser is not able to display this video.
 
usituingize Tanzania kwenye mambo yako, sisi wacha tuhangaike na madawati pamoja na matundu ya vyoo mashuleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…