Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
DUNIANI hakuna UGAIDI na kama upo basi unaendeshwa kusimamiwa na kufadhiliwa na hao hao USA na shosti zakeDaha ,kama nimeelewa vizuri,na kama ninaweza kutafasiri vizuri sentensi mojawapo inasema hivi,
Nord stream pipeline ililipuliwa upande wa German.
Ililipuliwa na Marekani wakishiriakiana na Norway.
"Hiki ni kitendo Cha kigaidi kimefanywa na Pentagon,CIA,Us navy na State Department,na pia ni kitendo Cha kivita kimefanywa dhidi ya ujerumani,amabe ni mwanachama wa NATO.
Hii imeiashangaza Urusi,je? ujerumani itaomba Ile sheria ya NATO (Article no.5 )ya kua mwanachama mmoja wa NATO imevamiwa,hivyo NATO waingie vitani kuisaidia ujerumani kwa kua imeshambuliwa na Marekani.(Article 5)."
Mwisho wa kunukuu.
Maswali magumu.
NATO ni genge la kigaidi?
Ujerumani itaomba msaada wa NATO dhidi ya USA na Norway?
Ujerumani itaendelea kua mwanachama wa NATO?
Marekani miaka yote inajinasibu kama Iko kwenye vita dhidi ya Ugaidi,je kitendo chakulipua kwa Siri Bomba la gesi ili ulaya ikose gesi sio kitendo Cha kigaidi?
Marekani inapamabana na magaidi Gani?
Hii SMO inatupa elimu kubwa sana iliyokua imejificha.
Earlier in July, Roscosmos press service chief Dmitry Strugovets said that without Russia the ISS would last for no more than five yearsRussia pulls out from ISS to enter ROSS
Science » Technologies and discoveries
Russia has decided to pull out from the International Space Station project after 2024, Yuri Borisov, the chief of Roscosmos state corporation said at a meeting with Russian President Vladimir Putin.
The main priority for Roscosmos now is to provide the Russian economy with required space services, such as navigation, communications, data transmission, meteorological and geodetic information, etc.
As for manned space exploration, Roscosmos will deal with the creation of the Russian Orbital Service Station (ROSS). This project is to replace the ISS for Russia.
Earlier in July, Roscosmos press service chief Dmitry Strugovets said that without Russia the ISS would last for no more than five years.
Hii Central Africa Republic bila ya Wagner's ilikuwa nchi ya hovyo hovyo tu.Umoja wa kina mama EU
[emoji1099][emoji288][emoji632][emoji1255][emoji635]"EU may impose new sanctions against PMCs Wagner, France insists"
"Wagner" allegedly operate not only in Ukraine, but also in the former French territories in Central Africa and in the Sahel region." - Bloomberg
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Na kanuni ni ile ile.. Rubble kwanza ndio biashara iendelee 😀😀😀 ila Putin huwa anatia raha sana. Ni kiongozi mwenye akili nyingi sana yani na ukijumlisha na kipawa chake katika ujasusi inamfanya kuwa mtu wa kuona mbali sana. 😀😀😀.Bloomberg inaripoti kwamba, western companies zinaanza kurudi Russia na kufanya biashara na Russia.
Hii ni baada ya makampuni mengi kupata hasara kutokana na kitendo chao cha kujiondoa Russia.
Wanasema "To hell with Ukrainians"...
Note:
Nakumbuka Wakati haya makampuni yanaondoka kwa mbwembwe, President Putin aliwaambia, mkitaka kurejea, mtarejea kwa gharama kubwa sana. Kwa sababu soko lenu litakuwa limechukuliwa na watu wengine.
View attachment 2515935
@britanicca huyu mwanadada kwaaibu kaamua kukimbia kabisa jfBloomberg inaripoti kwamba, western companies zinaanza kurudi Russia na kufanya biashara na Russia.
Hii ni baada ya makampuni mengi kupata hasara kutokana na kitendo chao cha kujiondoa Russia.
Wanasema "To hell with Ukrainians"...
Note:
Nakumbuka Wakati haya makampuni yanaondoka kwa mbwembwe, President Putin aliwaambia, mkitaka kurejea, mtarejea kwa gharama kubwa sana. Kwa sababu soko lenu litakuwa limechukuliwa na watu wengine.
View attachment 2515935
USA imesha changanyikiwa.DUNIANI hakuna UGAIDI na kama upo basi unaendeshwa kusimamiwa na kufadhiliwa na hao hao USA na shosti zake
DUNIANI hakuna MAGAIDI nakama yapo basi kiongozi wao ni USA na mashost zake
Hii DUNIA ili iwe na amani inatakiwa USA na ISRAEL zisiwepo zikiendelea kuwepo basi hayo matukio yataendelea kua yakawaida na yayazidi ukawaida
US ndio GAIDI na ndio UGAIDI wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
"Russia may adjust weapons exports amid special military operation, official says - Russia " Russia may adjust weapons exports amid special military operation, official says
Russia pulls out from ISS to enter ROSS
Science » Technologies and discoveries
Russia has decided to pull out from the International Space Station project after 2024, Yuri Borisov, the chief of Roscosmos state corporation said at a meeting with Russian President Vladimir Putin.
The main priority for Roscosmos now is to provide the Russian economy with required space services, such as navigation, communications, data transmission, meteorological and geodetic information, etc.
As for manned space exploration, Roscosmos will deal with the creation of the Russian Orbital Service Station (ROSS). This project is to replace the ISS for Russia.
Earlier in July, Roscosmos press service chief Dmitry Strugovets said that without Russia the ISS would last for no more than five years.
Bloomberg inaripoti kwamba, western companies zinaanza kurudi Russia na kufanya biashara na Russia.
Hii ni baada ya makampuni mengi kupata hasara kutokana na kitendo chao cha kujiondoa Russia.
Wanasema "To hell with Ukrainians"...
Note:
Nakumbuka Wakati haya makampuni yanaondoka kwa mbwembwe, President Putin aliwaambia, mkitaka kurejea, mtarejea kwa gharama kubwa sana. Kwa sababu soko lenu litakuwa limechukuliwa na watu wengine.
View attachment 2515935
Serikali ya Sudan imekubali kwa kauli moja na kuiruhusu Russia kuwa na Military Base hapo Sudan.
Serikali ya USA imepinga sana ili dili, eti hawataki Russia awe na base Sudan.
US sijui anawashwa na kitu gani, mbona yeye ametapakaza Military bases all over the world.
Note:
Nachokiona mimi ni kwamba, huku ni kuzidi kujitanua kwa Wagner Group. Yaani Wagner Group wanataka kuwa na strong footprint hapa Africa.
Kule west Africa wameshawafukuza wafaransa. France ndio walikuwa wafadhili wakuu wa makundi ya kigaidi.
View attachment 2515939
View attachment 2515945
Hao wamesitisha matumizi ya dollar Ili kukabiliana na mfumuko mkubwa wa bei pamoja na mdololo wa uchumi!!
Huu mdololo unasababishw na nan?Hao wamesitisha matumizi ya dollar Ili kukabiliana na mfumuko mkubwa wa bei pamoja na mdololo wa uchumi!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwani nchi yako ya tozonia yenye mfumuko mkubwa wa bei ,hiyo Hali inasababishwa na niniHuu mdololo unasababishw na nan?
SMO imetupa elimu iliyofichwaEarlier in July, Roscosmos press service chief Dmitry Strugovets said that without Russia the ISS would last for no more than five years
RUSSIA taifa maskini sanaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Moja ya elimu hii ni kwamba tumejua hakika vita si lelemama.., maana operation iliyotegemewa kumalizika kwa saa 72 imegeuka vita ya muda mrefu, [emoji848]SMO imetupa elimu iliyofichwa