Shida ya sisi world third countries tunahadaika sana...
Apa majuzi kati miaka kadhaa ilopita Tanzania ilisikika kua na kiongoz 'dictator' tulikosa wawekezaji kiasi cha wale waliokuepo walianza kufanya biashara nje ya mipaka ya Tanzania.
China unaambiw kua ni Dictator ila an mwaka wa 10 sasa tangu atengue ufalme wa Marekan Worldwide as "The World largest Manufacturing Hub"... Imagine miaka 10 mfululizo na hajashuka na kamwacha mmarekani kwa asilimia zaidi ya 10...
Yani China 28.7%... akifuatiwa na Usa 16.8%... pitia apa utaikuta
Your hub for global workforce insights and resources: global expansion, global employment, global payroll, business intelligence, compliance, workforce trends.
Hapo hapo unakuja kuambiwa Mchina Dictator af hao ho wanapishana kwenda china kuweka Plant... Kuingia kwenye soko la china mfano hai angalia Tesla na Apple invenstment walofanya china...
Unaambiwa China Dictator, ila ndo Major holder ye na Japan wa National Debt ya Marekan...
Sasa kama ni kweli tunavoaminishwa kua Mchina ni Dictator kwanini yupo hapo alipo tena kwa umbali mreeefu zaidi ya hzo mchi wanazodai ni za demokrasia...
Haya kama TZ n democratic country na China ni Dictator why hawaji kwetu tulo na demokrasia wanaenda kwa hao madictator....
Yule Venezuela aliitwa Dictator sa hv wanakaa nae chini kujadili nanma wanavoeza fanya nae biashara ya mafuta na kumwondolea vikwazo baada ya kuachana na Mrusi.
Uku Afrika si kuna gas pia na kuna nchi zenye demokrasia mbona hawajaja huku.
Ifike mahali tuache mihemko tutumie neema ya akili tulopewa. Tuache kusaidiwa kufkiria na hawa damn politicians waliopp kwa maslah yao.