Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,521
Wale ni wazungu ndugu sio WaafrikaBaada ya vita yake na Urus kuisha atajenga miundombinu, viwanda, hospitali, vyuo, shule, viwanda au atapambana na makundi ya waasi au majambazi aliowapa silaha yeye mwenyewe?
Tukisema hamna akili mnsema tunatukana!!Alichokifanya Zelensky kime-justify raia wa Ukraine kushambuliwa.
Hapa watafanya Warusi wote waungane na Putin.Dah nikweli bwana!! Ndivyo mambo yalivyo assets zote za Abramovich zimekuwa frezed!! Kwahiyo hana ruhusa ya kuiuza tena Chelsea wala kuuza mchezaji yeyote wala kuuza tiketi yoyote nk. Mabeberu ni WASHENZII!!
Uyo jamaa ni boya hana akili nimmjinga tu ndo mwenye mawazo kama ya kwake!!Alitakiwa amuachie mvamizi afanye anachotaka eti?! Hata Samia Suluhu hawezi kufanya uboya wa namna hiyo ukitokea uvamizi.
Hao ni Askari na wamekufa kishujaa kwa ajili ya Taifa laoMaskini Putin kaponza JKT wa watu
#PUTINSTOPKILLINGSINUKRAINE ni Jambazi kama majambazi mengine what's makes him sick is Ukrainian #GASUlitarajia mtu aliyekimbizwa Russia asemeje.
Hii ni cheap propaganda
Kumbuka hata umchukie mtu kiasi gani haumpunguzi chochote kaka, Mrusi sio ngosha kaa kwa kutulia huna unachojua kuhusu Putin tuliaPutin ni bonge la fala! Ataondoka na kupotea kwa aibu vizazi na vizazi.
Ndio uzuri wa ujamaa , yaani kutaifisha kwao sio shidaMakampuni yaliyofunga ofisi zake Russia, assets zote zitakuwa state owned, hivyo wafanyakazi wataendelea kufanya kazi. Kama wamefunga makampuni na viwanda vyao temporarily, the Russian govt is working to make sure that all companies are owned by the Kremlin.
Walikuletea dini na majahazi wakakutumbukiza humo wakakufungia humo unahangaika hujitambui umebaki dua dua, endelea kulala.Nnaamini yanayotokea Ukraine ni dua za Waislam wa dunia nzima walizokuwa wakiziomba usiku na mchana wakati USSR walipoivamia Afghanistan na US na marafiki zake wa NATO walipoivamia Afghanistan. Hakuna dua isiyojibiwa na Allah.
Sasa watamalizana wenyewe kwa wenyewe, mpaka wafanye toba na wawalipe Afghanistan na nchi zingine walizozifanyia dhulma hao madhalim wakubwa wawili.
Hapo ka Ukraine nacho kalikuwa USSR enzi hizo, katashika adabu kama watazoshika US na USSR na NATO yao. Watamalizana bila kujitambua.
Si wakati wa vita vya Uganda tunaambiwa eti amini anakula nyama za watu . Hakuna lolote uzushi[emoji23][emoji23][emoji23]We wapi Tena?
Huyu Zelensky ni Kiongozi asiye na maono Wala mipangoBaada ya vita yake na Urus kuisha atajenga miundombinu, viwanda, hospitali, vyuo, shule, viwanda au atapambana na makundi ya waasi au majambazi aliowapa silaha yeye mwenyewe?
Onyesha nguvu ya hoja yako na sio lugha isiyo na staha.Tukisema hamna akili mnsema tunatukana!!
Hilo ndyo jibu zuri Mambo yakija kutulia badaye waanze kuliaMakampuni yaliyofunga ofisi zake Russia, assets zote zitakuwa state owned, hivyo wafanyakazi wataendelea kufanya kazi. Kama wamefunga makampuni na viwanda vyao temporarily, the Russian govt is working to make sure that all companies are owned by the Kremlin.
Vip mkuu kwa maoni yako Urusi ikianza kuyatumia hayo mabomu una dhani jeshi la Ukraine litaweza kuendelea kukaza kweli kwa sababu mpaka sasa Urusi haijatumia hata yale mabomu yanayo didimiza ardhi.Zile ni thermobaric weapons kwenye system ya TOS-1 Buratino. Zinakuzwa uwezo wake kwa kutiwa chumvi kiasi na media, kuna mabomu kama cluster bombs na incendiary explosives kama napalm bombs na white phosphorus hizo ni hatari kupindukia. Ukiona silaha haijapigwa marufuku na mikataba ya kimataifa wakati imetumika muda ujue haina madhara sana, thermobaric weapons hazizuiwi popote.
Huwa TOS-1 inatumika kwenye enemy fortifications kama bunker, tunnels na majengo ambayo adui wamejificha.
Baada ya vita yake na Urus kuisha atajenga miundombinu, viwanda, hospitali, vyuo, shule, viwanda au atapambana na makundi ya waasi au majambazi aliowapa silaha yeye mwenyewe?