LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Dah nikweli bwana!! Ndivyo mambo yalivyo assets zote za Abramovich zimekuwa frezed!! Kwahiyo hana ruhusa ya kuiuza tena Chelsea wala kuuza mchezaji yeyote wala kuuza tiketi yoyote nk. Mabeberu ni WASHENZII!!
Hapa watafanya Warusi wote waungane na Putin.

Chanzo Cha nguvu ndani ya Urusi ya Sasa na ya kale ni Oligarchs.

Unapowabana Oligarchs unawalazimisha wote wafanye kumsapoti Putin.

Matokeo yake vita itakuwa ngumu ndani ya Ukraine.
 
Alitakiwa amuachie mvamizi afanye anachotaka eti?! Hata Samia Suluhu hawezi kufanya uboya wa namna hiyo ukitokea uvamizi.
Uyo jamaa ni boya hana akili nimmjinga tu ndo mwenye mawazo kama ya kwake!!
 
Ulitarajia mtu aliyekimbizwa Russia asemeje.
Hii ni cheap propaganda
#PUTINSTOPKILLINGSINUKRAINE ni Jambazi kama majambazi mengine what's makes him sick is Ukrainian #GAS

Screenshot_2022-03-10-18-37-06.png
 
Makampuni yaliyofunga ofisi zake Russia, assets zote zitakuwa state owned, hivyo wafanyakazi wataendelea kufanya kazi. Kama wamefunga makampuni na viwanda vyao temporarily, the Russian govt is working to make sure that all companies are owned by the Kremlin.
Ndio uzuri wa ujamaa , yaani kutaifisha kwao sio shida
 
Nnaamini yanayotokea Ukraine ni dua za Waislam wa dunia nzima walizokuwa wakiziomba usiku na mchana wakati USSR walipoivamia Afghanistan na US na marafiki zake wa NATO walipoivamia Afghanistan. Hakuna dua isiyojibiwa na Allah.

Sasa watamalizana wenyewe kwa wenyewe, mpaka wafanye toba na wawalipe Afghanistan na nchi zingine walizozifanyia dhulma hao madhalim wakubwa wawili.

Hapo ka Ukraine nacho kalikuwa USSR enzi hizo, katashika adabu kama watazoshika US na USSR na NATO yao. Watamalizana bila kujitambua.
Walikuletea dini na majahazi wakakutumbukiza humo wakakufungia humo unahangaika hujitambui umebaki dua dua, endelea kulala.
 
Makampuni yaliyofunga ofisi zake Russia, assets zote zitakuwa state owned, hivyo wafanyakazi wataendelea kufanya kazi. Kama wamefunga makampuni na viwanda vyao temporarily, the Russian govt is working to make sure that all companies are owned by the Kremlin.
Hilo ndyo jibu zuri Mambo yakija kutulia badaye waanze kulia
 
Zile ni thermobaric weapons kwenye system ya TOS-1 Buratino. Zinakuzwa uwezo wake kwa kutiwa chumvi kiasi na media, kuna mabomu kama cluster bombs na incendiary explosives kama napalm bombs na white phosphorus hizo ni hatari kupindukia. Ukiona silaha haijapigwa marufuku na mikataba ya kimataifa wakati imetumika muda ujue haina madhara sana, thermobaric weapons hazizuiwi popote.

Huwa TOS-1 inatumika kwenye enemy fortifications kama bunker, tunnels na majengo ambayo adui wamejificha.
Vip mkuu kwa maoni yako Urusi ikianza kuyatumia hayo mabomu una dhani jeshi la Ukraine litaweza kuendelea kukaza kweli kwa sababu mpaka sasa Urusi haijatumia hata yale mabomu yanayo didimiza ardhi.



Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Biden said that inflation in the United States, record for 40 years, is connected with sanctions against Russia.
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
The head of American intelligence said that biolaboratories in Ukraine are involved in ensuring "biological security", there are about 12 such facilities in total.

He also claims that Ukraine does not seek to develop bacteriological or nuclear weapons.
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom