LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hakuna dini iliyokuja Afrika na majahazi isipokuwa imani potofu iliokuja na Wazungu kutokea Ulaya. Dini ya Kiislaam ni dini pekee ya Mitume Ibrahim, Mussa, Issa, Yaakoub, Nuh, Sulaiman, Muhammad, salama na amani iwe juu yao wote hao.

Wengi wa hao au walikuwepo Afrika au walikuja Afrika au Walikuwa na uhusiano wa karibu na Afrika.

Fikiri, kabla hujakurupuka.
Wewe bibi na mambo yako ya uislamu bwana!
 
Vidali vya wale kuku wanajeshi wenu wanaiba kwenye mabanda ya watu?[emoji23]
Ngojea ni mpe GR za hapo ulipo muamrishaji wa mapigo ya mizinga akulete zawadi yaani unakejeli Wasoviet kuwa wanaiba kuku
Screenshot_20220310-204427~3.jpg
 
Hakuna dini iliyokuja Afrika na majahazi isipokuwa imani potofu iliokuja na Wazungu kutokea Ulaya. Dini ya Kiislaam ni dini pekee ya Mitume Ibrahim, Mussa, Issa, Yaakoub, Nuh, Sulaiman, Muhammad, salama na amani iwe juu yao wote hao.

Wengi wa hao au walikuwepo Afrika au walikuja Afrika au Walikuwa na uhusiano wa karibu na Afrika.

Fikiri, kabla hujakurupuka.
UIslam ulingiaje africa kama sio imani potofu za waarabu?
 
Russia ilitangaza imepeleka wanajeshi 120,000 Ukraine sasa kuuliwa 3,600 ndani ya siku 4 unashangaa?

Mlipuko wa kombora moja waweza kuuwa zaidi ya wanajeshi hata 500 kama wakiwa eneo moja.
Unajua unachokizungumzia?

Platoon inakusanya wanajeshi kuanzia 20-50. Hao 500 uwatolee wapi?

Kwenye vita kuna offensive na defensive. Kuna military technique/formation za battle hizo offensive na defensive hazielei au kujiendea tu.

Na platoon inapewa:
(1) Direction au a march route.
(2) Position in the march column na
(3) Possible mission ikamilishwe vipi

Na interval between squad on line ni mpaka 50m (nusu ya uwanja wa mpira).

Hao wanajeshi 500 wanaokaa sehemu moja wanafanya nini? Au wewe unafikiri wanajikusanya kwa pamoja kama wanaenda kushabikia mpira?

Kuna system of fire and command and control.
Hii kazi yake ni ku-control the attacking subunits and fire supports. Wakati wa kufanya mashambulizi hii unit inakaa umbali wa 50m wa eneo la pambano. Umbali uliyopo kati ya combat vehicle unafika mpaka 100m.

Hao wanajeshi 500 kwa wakati mmoja utawaulia wapi? Kwa siku 4 wanajeshi 4600 utawaulia wapi? Wastani kwa siku 1 Ukraine anaua wanajeshi 1150?!

Na narudia tena: Wapi Ukraine imepigwa battle ya kufa mtu mpaka idadi kubwa ya wanajeshi wawe wamekufa wengi? Jawabu hakuna!

Hata huo mnyororo mrefu wa magari ya jeshi yanayosafiri yanalindwa na wao pia wana zana za kujilinda.

Hii ndiyo formation ya mapambano ya Jeshi la Urusi.
 
Unajua unachokizungumzia?

Platoon inakusanya wanajeshi kuanzia 100-250. Hao 500 uwatolee wapi?

Jeshi gani hilo platoon iwe na watu 100-250?[emoji3064]
 
Kumbe wataalamu watupu hapa. Platuni ya 100-200 ni kitu kipya. Ona kawaida: A platoon is a military unit typically composed of two or more squads, sections, or patrols. Platoon organization varies depending on the country and the branch, but a platoon generally comprises 50 people,
 
Una tia huruma kwa haya mawazo empty head
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo ndio ukweli, Oligarchs wapo kwa utajiri wao na unapowanyang'anya hawana Cha kupoteza akili kisoda
 
Hakuna dini iliyokuja Afrika na majahazi isipokuwa imani potofu iliokuja na Wazungu kutokea Ulaya. Dini ya Kiislaam ni dini pekee ya Mitume Ibrahim, Mussa, Issa, Yaakoub, Nuh, Sulaiman, Muhammad, salama na amani iwe juu yao wote hao.

Wengi wa hao au walikuwepo Afrika au walikuja Afrika au Walikuwa na uhusiano wa karibu na Afrika.

Fikiri, kabla hujakurupuka.
Nani aliyekuwa karibu na mtu mweusi kati ya hao mitume na manabii unayesema?

Je yupo nabii mweusi katika Uislamu?

Unajua wewe Faiza foxy ukipelekwa tu hapo Mauritania unakuwa either Mtumwa au kijakazi.

Dini zote za Ibrahamu zimekuja na majahazi Afrika au Kusanbazwa kwa ncha ya panga na Umwagaji damu mkubwa.

Amka mama
 
Back
Top Bottom