Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Banana republic ya maamuzi yao lakini si kushurutishwa.Na wakishinda vita watakuwa banana republic ya marekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Banana republic ya maamuzi yao lakini si kushurutishwa.Na wakishinda vita watakuwa banana republic ya marekani
Sehemu nyingine platoon inaweza range 20 mpaka 60 hasa katika mapigano ya mashariki.Nina mambo mengi, nimechanganya namba. Ni 20 to 50. By the way umepaona hapo tu? Typically Bongo!
Nimekupata Mkuu,ngoja tusubirie hatma ya mazungumzo hayo,natumaini suluhu itapatikana mapemaKuna mazungumzo yanaendelea au umesahau Zelensky ndio aliomba baada ya maji kumfika shingoni.
HahahaNimekupata Mkuu,ngoja tusubirie hatma ya mazungumzo hayo,natumaini suluhu itapatikana mapema
Na Zelensky utamwita nani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mjinga mmoja tu yule
Hizi ni porojo.Narudia Tena narudia
Afrika ni bara la watu weusi hao waarabu walivamia maeneo ya kaskazini na kuteka, kunyanyasa na kuua kuanzia Misri ya kale mpaka moroko usisahau pia Sudan.
Hata berber one time walicross bahari na kuingia afrika.
Ndio maana kulikuwa
na migration kwenda south kutokana na uvamizi wa Waarabu.
Hata DNA zetu zipo tofautina the rest hapa duniani
Lete ushahidi kwamba wale walikuwa askari wa kirusiSasa unadhani wa wapi wale?njaa zinawauma Sana wacha wakachomechome wapunguze njaa mwenzao aliyewaamrisha anakunywa sharubati ya tender na biriani Wenyewe wako busy kuiba kuku za watu
Vikwazo alitishiwa kabla hajavamia.Haihitaji degree kuona hofu aliyonayo juu ya vikwazo alivyowekewa.Anabaki kurudia yale yale ambayo tayari tunayajua,lakini kumbuka Warusi hawana walijualo kwa sasa yanayoendelea Duniani,wamebaki kumsikiliza Rais wao ndiyo anawaambia kile anachotaka wakisikie.
Ukweli huwa unawauma sana. Muulize Mrusi mbabe wake nani kama si Taliban? Muuliza US mbabe wake nani kama si Taliban?We bibi acha kuharibu uzi kwa mambo yako ya makobazi na pedo pusha
Kuna watu hapa walikuwa hawataki kusikia source ya habari kutoka kwa millard,kwa hiyo hii ya Global ndiyo reliable kuliko ya Millard😳
Putin anamwaga ugali 😀Russia will nationalize assets of foreign firms that leave
Russia’s ruling party, United Russia, said on Wednesday that a government commission had approved the first step towards nationalizing assets of foreign firms that leave the country in the wake of economic sanctions over Ukraine.
United Russia added in a statement on the Telegram messaging app that the commission on lawmaking activity had supported a bill allowing for firms more than 25% owned by foreigners from “unfriendly states” to be put into external administration.
“This will prevent bankruptcy and save jobs,” it said.
Corporate actions to censure Russia over its invasion of Ukraine vary widely, with some firms like US carmaker Ford temporarily shutting down factories but others like British energy company BP promising to exit the country.
United Russia said according to the proposed bill companies who had announced they were leaving Russia could refuse to go into administration if within five days they resumed activities or sold shares, providing that the business and employees remained.
Otherwise, a court would appoint a temporary administration for three months, after which the shares of the new organization would be put up for auction and the old one would be liquidated, it added.
Russia will nationalize assets of foreign firms that leave – ruling party
Nakubali. Upo sahihi.Sehemu nyingine platoon inaweza range 20 mpaka 60 hasa katika mapigano ya mashariki.
Hata hao NATO huwa wanashurutishwa na America.Banana republic ya maamuzi yao lakini si kushurutishwa.
Maswali magumu haya,ngoja nisubiri kama utajibiwaUnazungumzia kurekebisha nchi baada ya vita Ukraine ikiwa koloni la urusi au wakiwa wameshinda vita?
Faiza foxy unatuzalilisha Waislamu wenzio.Ukweli huwa unawauma sana. Muulize Mrusi mbabe wake nani kama si Taliban? Muuliza US mbabe wake nani kama si Taliban?
Unakukasirisha ukweli?
Mwambie hivi, Russia kawekewa vikwazo alipompiga Georgia, alipoivamia Crimea na Chechnya. Huyo Zelencky ni version ya Saakashvili aliyekuwa rais wa Georgia. Putin anavyosema alijua watapewa vikwazo ni vile atambaua walishapewa sana tu, mtu anashangaa ruble kushuka hadi 120 kwa dola, kipindi cha Georgia ilishuka toka 19 hadi 55, they still survived, Russia sio Zimbabwe eti.Vikwazo alitishiwa kabla hajavamia.
Na akavamia na kuwapiga
Na hii sio mara ya kwanza kuwekewa vikwazo Urusi.
Urusi sio Zimbabwe
Shukrani mkuuMwambie hivi, Russia kawekewa vikwazo alipompiga Georgia, alipoivamia Crimea na Chechnya. Huyo Zelencky ni version ya Saakashvili aliyekuwa rais wa Georgia. Putin anavyosema alijua watapewa vikwazo ni vile atambaua walishapewa sana tu, mtu anashangaa ruble kushuka hadi 120 kwa dola, kipindi cha Georgia ilishuka toka 19 hadi 55, they still survived, Russia sio Zimbabwe eti.
Braza nkisema huna akili una anuna sasa angalia huu ugoro uliouandika apaWewe hujui chochote utabweka bweka tu hapa kama mbwa.