LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Naangalia Al jeezera naona kuna msafara mrefu wa vifaru vya Russia yaani vinalipuliwa sana. Hivi hawa Russia kabla ya kuingia Ukraine haikufanya Planning!!!! Yaani utafikiri walijisemea tu twende Ukraine. Pia ninahisi Kivita na Intelligence ilikuwa kipindi cha USSR tu(KGB) . Russia hii inabebwa tu na Kivuli cha USSR lakini kiuhalisia ni wakawaida tu na walikuwa OVERRATED. Hii vita imewavua nguo.

Hizi silaha zinazolipua vifaru inaweza zikawa zile ATGM alizosema USA na UK wamewapa Ukraine.
nahisi niwakati mzuri sasa wa NATO kuishambulia RUSSIA sababu imekua dhaifu sanaaa
pia wangeruhusu na television za RUSSIA nazo kupewa airtime tukapata kuona na huko
 
SOUTH AFRICA SIO BENDERA FUATA UPEPO.
Screenshot_20220310-231159_Twitter.jpg
 
Tena angepata makalio yako laini na kachumbari ya pilipili na ndizi choma dah angeyafaidi sana
Nakuelewa!baba yenu kule anatapatapa na nyuklia,wafuasi wake huku mmeacha hoja mnakimbilia matusi,wanajeshi wenu wameacha mitutu wamebeba mafimbo wanateka kuku wa watu....usijali tutawavumilia tu matusi yenu sio nyinyi..Aibu yetu aibu yenuu
 
Ke unasema mzee baba aisee mmeo anakazi ndo maana upo kwenye nyuzi za vita. Ingekuwa tanks zinauzwa buku buku ungekuwa ushanunua
Tutawavumilia tu!!hamjielewi tena...wafuasi wake silaha mliyobaki nayo Ni matusi mmeacha zile mbwembwe....nasemaje tunaelewa situation yenu mzee baba kawaangusha sana
 
Sasa Ukraine kwanini hawashindi hii vita? Kwanini wanomba msaada? Kwanini wanataka no fly zone? Kwanini hawarudishi nyuma majeshi ya russia? Kwanini wananchi wakimbie? Kwanini walazimishe vijana na wananchi kushika silaha? .
Akili za kuambiwa changanya na zako, mda si mrefu tutaona nani atasarenda.
mkumbushe tu kwanini kaagiza majeshi yake yaliopo kongo yarejee nyumbani
pia mwambi niwakati sahihi sasa wa UKRAINE kupiga MOSCOW
 
Huyu nae atulie Africa tunataka amani
Kwako wewe amani ni pamoja kukubali kaka yako awe SHOGA?KUPANGIWA VIONGOZI, KUPANGIWA MAISHA NK??
Acha ujinga kwa kuangalia huu mgogoro katika angle moja. Russia wako sahihi sana, we unadhani hizo silaha za nini kaka hakuna vita? Kama vipi tusiwe na jeshi basi kama kweli tunataka amani ya kweli.
Huu unafiki ndio URUSI anakomesha sasa. Yaani una silaha afu unaambiwa tusiuane how??
Jiongeze kidogo.
 
Aibu nchi inajitangaza superpower kuonekana na udhaifu wa kivita kiasi hiki- hadi leo Urusi inadhibiti mji mmoja tu Ukraine.
aibu kubwa kweli kweli
ila inashangaza UKRAINE hajarusha haa jiwe st petersburg Moscow nk
inashangaza
 
Back
Top Bottom