Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na kuiba kuku
Russia Kwa vikwazo alivyowekewa hata weza kukaa Ukraine hata mwezi mmoja.Ameshaanza kukumbwa na ukata wa hatari.zelensky ataondoshwa je kwamba RUSSIA wataweza kuitawala UKRAINE baada ya kuivamia ama ndio itakua failled state
huo mji urusi imeuteka leo saa sita usiku bravory
Okey kisijuHata hao NATO huwa wanashurutishwa na America.
Huwezi kuwa kibalaka wa Marekani na asikushurutishe
umeongea meengi ila sidhanii kama yana maana kabla ya huu mgogo haeakuyajua haya uyasemayoKwa Uk, wengi wa mashabiki wa timu za mpira ni wale vilaza wa maisha ya kuungaunga na vikazi vya viwandani na magodown...
Starehe yao ni pombe , mpira n kubeti...
Na ndio wabaguzi(racist) kindakindaki....
Sasa mashabiki wa Chelsea wanajulikana kwa haya, sababu wengi wanatoka nje ya London, na kwahiyo wakija mjini ni pombe na ushenzi wote...
Wakicheza na Arsenal ya weusi, lazima kutakuwa na fujo za kibaguzi, pia wakicheza na Totenham ya Wayahudi, ni matusi ya kibaguzi kwa kwenda mbele....
Sasa juzi wameingia cha kike, wakati Serikali ya UK ina support Ukraine, wao wakaanza kuimba Abramovic wakati ufungizi wa mechi...
Boris akaona isiwe shida, na baada ya siku mbili tatu kuamua kuifili Chelsea, yaani ndio mwisho wa Chelsea huu......kweshneiii.......
kwamba RUSSIA wananjaaRussia Kwa vikwazo alivyowekewa hata weza kukaa Ukraine hata mwezi mmoja.Ameshaanza kukumbwa na ukata wa hatari.
Vinginevyo,askari wake Putin asipokuwa makini wanaweza kuanza kupora raia wa Ukraine sababu ya njaa!
Boko Haram,Alshabab design!
Ni hatari sana kuwapeleka askari vitani bila mahitaji!
Samahani Joannah naomba nikuulize swali?
Urusi yuko overrated, nimeamini kweli wanapokea kichapoSatellite photos show breakup of Russian convoy outside Kyiv
Satellite photos have shown that a massive Russian convoy that had been mired outside the Ukrainian capital since last week appeared to have dispersed.
Kwa sasa msafara wa KM 64 Wa Russia umetawanyika ovyo ovyo...
Kwa Hali hii Tanzania tununue zile Drones za Uturuki
Bado sijatulia kuckeki amesemaje kwani huyo mchekeshaji
Ila swali lako limekaa kidharauu😂itawacost Sana hiiBado sijatulia kuckeki amesemaje kwani huyo mchekeshaji
Cheka tu!mtalia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]