Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Wanafufuka kila siku[emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie amkeni kuna mwingine kafufuka huku, Russia anawatia AIBU watu.
 
Ndugu zangu naombeni majibu hapa.

Toka huu mgogoro wa Russia-Ukraine uanze taifa la Hungary limekua tofauti na mataifa mengine ya west. Kumbuka Hungary ni NATO & EU member ila amekua haungani na mataifa mengine katika vikwazo, kupeleka silaha, na pia imekua ina block loan za kwenda Ukraine. Kwanini Hungary anakua tofauti na wenzie?? Kuna uhasama wowote kati ya hili taifa na Ukraine au west??.
 
Hao wote Ni kutoka marekani[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]yaani Russia [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…