Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Umekunya mara ngapi leo!?Sawa mkuu
Shukushukushukushuku pwaaaaa
Shukushukushukushuku pwaaa
Tayari mkuu nishasafisha
Wewe bibi na mambo yako ya uislamu bwana!Hakuna dini iliyokuja Afrika na majahazi isipokuwa imani potofu iliokuja na Wazungu kutokea Ulaya. Dini ya Kiislaam ni dini pekee ya Mitume Ibrahim, Mussa, Issa, Yaakoub, Nuh, Sulaiman, Muhammad, salama na amani iwe juu yao wote hao.
Wengi wa hao au walikuwepo Afrika au walikuja Afrika au Walikuwa na uhusiano wa karibu na Afrika.
Fikiri, kabla hujakurupuka.
Ngojea ni mpe GR za hapo ulipo muamrishaji wa mapigo ya mizinga akulete zawadi yaani unakejeli Wasoviet kuwa wanaiba kukuVidali vya wale kuku wanajeshi wenu wanaiba kwenye mabanda ya watu?[emoji23]
Putin ajawahi na haiji kutokea kuwa mjingaUjinga wa Putin huu.ππ
We mwanamke kwanini usianzishe Uzi wako wa kutetea hiyo dini yako na huyo Allah wako unaye mtetea hapaUarabu umeanzia wapi?
Kafa kaoza huyo kwenye team makobaziWe mwanamke kwanini usianzishe Uzi wako wa kutetea hiyo dini yako na huyo Allah wako unaye mtetea hapa
Wewe nenda katibiweMara nane
Andika kiswahili mwanangu. Kingereza hujui.πππAm manufacturing industry
UIslam ulingiaje africa kama sio imani potofu za waarabu?Hakuna dini iliyokuja Afrika na majahazi isipokuwa imani potofu iliokuja na Wazungu kutokea Ulaya. Dini ya Kiislaam ni dini pekee ya Mitume Ibrahim, Mussa, Issa, Yaakoub, Nuh, Sulaiman, Muhammad, salama na amani iwe juu yao wote hao.
Wengi wa hao au walikuwepo Afrika au walikuja Afrika au Walikuwa na uhusiano wa karibu na Afrika.
Fikiri, kabla hujakurupuka.
huyo mama ni mgonjwa ukimshinda kwa hoja ataleta habari za ushoga achana nae kabisaUIslam ulingiaje africa kama sio imani potofu za waarabu?
Unajua unachokizungumzia?Russia ilitangaza imepeleka wanajeshi 120,000 Ukraine sasa kuuliwa 3,600 ndani ya siku 4 unashangaa?
Mlipuko wa kombora moja waweza kuuwa zaidi ya wanajeshi hata 500 kama wakiwa eneo moja.
Jeshi gani hilo platoon iwe na watu 100-250?[emoji3064]Unajua unachokizungumzia?
Platoon inakusanya wanajeshi kuanzia 100-250. Hao 500 uwatolee wapi?
Kwenye vita kuna offensive na defensive. Kuna military technique/formation za battle hizo offensive na defensive hazielei au kujiendea tu.
Na platoon inapewa:
(1) Direction au a march route.
(2) Position in the march column na
(3) Possible mission ikamilishwe vipi
Na interval between squad on line ni mpaka 50m (nusu ya uwanja wa mpira).
Hao wanajeshi 500 wanaokaa sehemu moja wanafanya nini? Au wewe unafikiri wanajikusanya kwa pamoja kama wanaenda kushabikia mpira?
Kuna system of fire and command and control.
Hii kazi yake ni ku-control the attacking subunits and fire supports. Wakati wa kufanya mashambulizi hii unit inakaa umbali wa 50m wa eneo la pambano. Umbali uliyopo kati ya combat vehicle unafika mpaka 100m.
Hao wanajeshi 500 kwa wakati mmoja utawaulia wapi? Kwa siku 4 wanajeshi 4600 utawaulia wapi? Wastani kwa siku 1 Ukraine anaua wanajeshi 1150?!
Na narudia tena: Wapi Ukraine imepigwa battle ya kufa mtu mpaka idadi kubwa ya wanajeshi wawe wamekufa wengi? Jawabu hakuna!
Hata huo mnyororo mrefu wa magari ya jeshi yanayosafiri yanalindwa na wao pia wana zana za kujilinda.
Wewe hujui chochote utabweka bweka tu hapa kama mbwa.Tukisema hamna akili mnsema tunatukana!!
Nina mambo mengi, nimechanganya namba. Ni 20 to 50. By the way umepaona hapo tu? Typically Bongo!Jeshi gani hilo platoon iwe na watu 100-250?
Kishwahili, kishwawili au kishwatatu???Andika kishwahili mwanangu. Kingereza hujui.πππ
Na wakishinda vita watakuwa banana republic ya marekaniUnazungumzia kurekebisha nchi baada ya vita Ukraine ikiwa koloni la urusi au wakiwa wameshinda vita?
Kumbe wataalamu watupu hapa. Platuni ya 100-200 ni kitu kipya. Ona kawaida: A platoon is a military unit typically composed of two or more squads, sections, or patrols. Platoon organization varies depending on the country and the branch, but a platoon generally comprises 50 people,Unajua unachokizungumzia?
Platoon inakusanya wanajeshi kuanzia 100-250. Hao 500 uwatolee wapi?
Kwenye vita kuna offensive na defensive. Kuna military technique/formation za battle hizo offensive na defensive hazielei au kujiendea tu.
Na platoon inapewa:
(1) Direction au a march route.
(2) Position in the march column na
(3) Possible mission ikamilishwe vipi
Na interval between squad on line ni mpaka 50m (nusu ya uwanja wa mpira).
Hao wanajeshi 500 wanaokaa sehemu moja wanafanya nini? Au wewe unafikiri wanajikusanya kwa pamoja kama wanaenda kushabikia mpira?
Kuna system of fire and command and control.
Hii kazi yake ni ku-control the attacking subunits and fire supports. Wakati wa kufanya mashambulizi hii unit inakaa umbali wa 50m wa eneo la pambano. Umbali uliyopo kati ya combat vehicle unafika mpaka 100m.
Hao wanajeshi 500 kwa wakati mmoja utawaulia wapi? Kwa siku 4 wanajeshi 4600 utawaulia wapi? Wastani kwa siku 1 Ukraine anaua wanajeshi 1150?!
Na narudia tena: Wapi Ukraine imepigwa battle ya kufa mtu mpaka idadi kubwa ya wanajeshi wawe wamekufa wengi? Jawabu hakuna!
Hata huo mnyororo mrefu wa magari ya jeshi yanayosafiri yanalindwa na wao pia wana zana za kujilinda.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo ndio ukweli, Oligarchs wapo kwa utajiri wao na unapowanyang'anya hawana Cha kupoteza akili kisodaUna tia huruma kwa haya mawazo empty head
Nani aliyekuwa karibu na mtu mweusi kati ya hao mitume na manabii unayesema?Hakuna dini iliyokuja Afrika na majahazi isipokuwa imani potofu iliokuja na Wazungu kutokea Ulaya. Dini ya Kiislaam ni dini pekee ya Mitume Ibrahim, Mussa, Issa, Yaakoub, Nuh, Sulaiman, Muhammad, salama na amani iwe juu yao wote hao.
Wengi wa hao au walikuwepo Afrika au walikuja Afrika au Walikuwa na uhusiano wa karibu na Afrika.
Fikiri, kabla hujakurupuka.
Jamani nimekejeli au wameona kweli ha haaaa wenzao wanawazoom na cameraNgojea ni mpe GR za hapo ulipo muamrishaji wa mapigo ya mizinga akulete zawadi yaani unakejeli Wasoviet kuwa wanaiba kuku View attachment 2146104