jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Kaoga hako kajamaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Russia lazima ipigwe ila isisambaratishwe- Rais wa Ufaransa Macron anena
French President Emmanuel Macron has said he does not want to see Russia crushed by a defeat in Ukraine.
Speaking to French media, Mr Macron urged Western nations to increase military support for Kyiv and said he was prepared for a protracted war.
"I want Russia to be defeated in Ukraine, and I want Ukraine to be able to defend its position," he said.
MAtusi tumekataa jenga hoja tuUnataka mji Gani uchukuliwe !!?? Miji yote iliyochukuliwa bado tu unakaza ilo kabati lako la meno !!?? Ujuavyo wewe miji mingapi imeshachukuliwe.... Nyie ndio wale mnaosema mmefirimbwa ila Kwa mbinde....
Kuna watu ni washenzi Sana,wanafiki na walaghai kupita maelezo,hizi kauli sio za kutamkwa na NATO,wao wamzuie zelensky kuzungumza na Putin then wanakuja kuropoka kwamba Putin hapangi amani anapanga vita? Pumbavu kabisa."Putin hapangi amani, anapanga vita zaidi - Mkuu wa NATO Stoltenberg. Tayari wanaanzisha offensive operations. Kama hili itakuwa operation kubwa la majira ya kuchipua au kama ni aina fulani ya utangulizi wa hilo, ni vigumu kusema. Lakini wanamiminika askari zaidi na zaidi "
Kumbe Bakhmut bado haijatekwa ?....hii Vita haitakuwa na mshindi.Mara ya mwisho kuisikia Himars ni mwaka jana mwezi wa saba. Wakati huo soledar bado ilikuwa chini ya Ukraine na bakhmut ilikuwa haijazungukwa. Unakuja kuitaja Himars leo wanaume wanakaribia kufika kupyansk. Himars ndio nini leo February 2023!? Sio habari hata kdg.
Yaani Urusi super power inapewa silaha na China .Urusi kwishney from 72 hrs to one years na kuombaomba silaha juu shame to MoscowMchina Kaona Kama Mbwai na Iwe Bwai
Mambo Yakupingiwa Chakufanya na US Ni Upumbavu
Sasa Hataki lolote kutoka Kwa US kuhusu Mipango yake na Urusi
Hata mimi piaSiku za nyuma, nilikua nikipitia huu uzi, natafuta kwanza comments zako. They were full of detailed analysis and unbiased explanations. Siku hizi naona "fever" ya teams za huu uzi imekukamata na wewe pia.
Kama Russia hana means za kumshambulia rais wa marekani hapo Ukraine, taarifa alipewa ya nini? Mimi nadhani wamarekani sio wajinga kutoa taarifa, wameona umuhimu wa kufanya hivyo!
Mi nadhani hata Putin akiwa na safari zake, wamarekani huwa wanajua. Ila hawawezi kushambuliana sababu wanajua that is a red line that none of them is ready to cross!
NB: Bado nazingatia sana comments zako chief!
Tumzoee tu hii SMO imekuja na mengi sana kwakweliJinsi siku zinavyozidi kwenda ndio...T14 Armata...anakosa ubora kabisa...ww sio wa kuandika comment ya Sampuli hii..., kama Wamarekani wenyewe wanakiri..ili kuepusha maafa kwa Rais wao ..iliwabidi kuijulisha Moscow..hours kabla Biden hajaondoka Washington...,,, na sababu kuu ya kutoa taarifa wameandika...!!!.. ww hutaki kukubaliana nao....,,,
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Itarushwa muda gani sasa hio hotuba tunamngojea kwahamu rais wa DUNIA tumskilizeMoscow sasa hivi ni saa sita usiku sawa na hapa DSM kama sikosei.
Hivyo kwa wale wa TZ muda utakuwa wafanana hivyo mimi naandaa runinga yangu hapa Kibaigwa.
Mchina nawezi kupigana vita, ni muoga sana kupata hasara. Vita inakushusha kiuchumi usipokuwa makini, ni mabillion ya dola kwa wiki yanatembea mzee, so far Mrusi katumia takribani Tshs. Trilion 190 toka aivamie Ukraine yaani ni bajeti ya Tanzania kwa miaka zaidi ya 7Mchina Kaona Kama Mbwai na Iwe Bwai
Mambo Yakupingiwa Chakufanya na US Ni Upumbavu
Sasa Hataki lolote kutoka Kwa US kuhusu Mipango yake na Urusi
Kama anavyosambaratishwa yeye na wagner PMC kule west africaRussia lazima ipigwe ila isisambaratishwe- Rais wa Ufaransa Macron anena
French President Emmanuel Macron has said he does not want to see Russia crushed by a defeat in Ukraine.
Speaking to French media, Mr Macron urged Western nations to increase military support for Kyiv and said he was prepared for a protracted war.
"I want Russia to be defeated in Ukraine, and I want Ukraine to be able to defend its position," he said.
URUSI na UMASKINI wake wote alionao hio pesa kaipata wapiMchina nawezi kupigana vita, ni muoga sana kupata hasara. Vita inakushusha kiuchumi usipokuwa makini, ni mabillion ya dola kwa wiki yanatembea mzee, so far Mrusi katumia takribani Tshs. Trilion 190 toka aivamie Ukraine yaani ni bajeti ya Tanzania kwa miaka zaidi ya 10
Mchina hasara kama hizi wakati ugonvi si wake humuoni akisogea.
Forbes estimates Russia has spent $82 billion on war with Ukraine since Feb. 24.
alifanya biashara nzuri sana ya mafuta na gesi na nchi za ulaya, na ndiyo maana hela hiyo imempa jeuri, pia kumbuka ni mkulima mzuri sana kwa ngano na viwanda vya mboleo nk.URUSI na UMASKINI wake wote alionao hio pesa kaipata wapi
Hao sio RUSSIA sababu RUSSIA nitaifa MASKINI haswaaaaa