President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Hilo ni timing bomb, mpaka sasa gas ipo bei chini sababu urusi bado anawauzia hao gas, na pia kuna kitu kingine Putin kategesha kupumguza uzalishaji wa mafuta Kwa mapipa 2milioni,Wachuuzi wa gesi walivyokuwa wanatutisha humu kwamba Ulaya itaganda ikifika winter, gesi itapanda hakuna mahali Ulaya wataipata, Ulaya watakata kuni, viwanda vitafungwa warudi zama za mawe. Tena walikuwa wanaitisha zaidi Ujerumani.
Sasa gesi imerudi bei ya chini kuliko kabla vita haijaanza na Russia iliwekewa price cap haiwezi uza bei juu ya hapo kama hutaki kaa na gesi yako. Na lazima Russia iiuzie EU kwa punguzo la 5% kwenye market. Mikwara tu ndio mmezoeaView attachment 2524889
Hii ni kauli ya "" kumuachia mungu"[emoji120][emoji120]Putin: It is obvious that the West will try to undermine and divide our society, to bet on national traitors. This has always been the case.
We will not be like the Kiev regime, which is engaged in a witch hunt. Those who have wronged their homeland - let that remain on their conscience, let them live with it. The main thing is that the people of Russia gave them the appropriate assessment.