LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kuna mambo mengi sana, na kulishafanyika jaribio km hili 2014.
Putin hataki NATO kuwa karibu na Moscow, sasa Ukraine analeta kiburi alijua USA na umoja wa Ulaya watamsaidia.
Putin kasema hataichukua hata inch moja ya Ukraine na kuitawala ingawa ilikuwa Nchi ya Mababu zake akishaliondoa Jeshi la Nchi hiyo watakaa wajadiliane hataki maadui wakae karibu no sawa na Putin akakae CUBA
hii haiwezi kuwa WWIII
NI ubabe wa Putin tu kuwa Biden na wenzake waache kidomo fuatilia kideo utapata mengine
 

Attachments

  • VID-20220225-WA0014.mp4
    9.4 MB
Siasa sio comedy. Hivi alifikiri EU watakwenda uwanja wa vita sambamba na majeshi ya Ukraine ?Kweli huyu ni Nunda. Sasa kilichobaki ampigie simu Poutine waongee.Putin ni mwehu. Aongee wayamalize kwa amani.
 
You're wrong my friend, once Putin mobilizes his army for any NATO's country of which are Poland and Romania, there will be no hindering reason for USA, UK, Germany and other members to inter in the war directly.
Kingine Urusi anaijua vizuri Poland maana historia inaongea baada ya USSR kuvunjika.
 
Ndugu wanajamvi habari za jioni na poleni kwa kazi nzuri mliyoifanya tangu Jumatatu na hata tunahitimisha wiki yetu.
Jambo moja kubwa limenifikirisha sana kiasi cha kunileta mahali hapa kuvuna maarifa.

Namtizama zaidi Rais Vladmir Putin kama kiongozi mwenye haiba nzuri Russia, mshawishi na mchapakazi. Pia namuona kama kiongozi mwana mikakati na hodari.

Je ana interest gani kuishambulia UKRAINE?
 
Jiulize US ina interest gani ikiilinda Ukrain au wakiingiza NATO.
 
Mi naamini islael wakiinglia huu mzozo putini atakimbizwa sana. Kwanza akisikia tu kwamba islael wanatia mkuu, atastop Vita siku hiyo hiyo.

Lile ni taifa la mungu na ndo wababe wa Vita duniani hata urusi pale inakaliswa ma.tako.
 
Mathread mengi yasiyo na tija

Soma wenzako wanaandika nini badala ya kuleta new useless threads

Kama hujui hadi sasa why russia is in Ukraine hautaelewa kamwe

Yatosha sasa
 
Siasa sio comedy. Hivi alifikiri EU watakwenda uwanja wa vita sambamba na majeshi ya Ukraine ?Kweli huyu ni Nunda. Sasa kilichobaki ampigie simu Poutine waongee.Putin ni mwehu. Aongee wayamalize kwa amani.
kweli la sivyo huo moto uliowaka hautozimwa
 
Shukrani mkuu
 
Swali nzuri!! Hivi kwanini Tanganyika wanakomaa na Zanzibar? Wanataka nini.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…