Bora umejitambua.So shabikii vita mie
Tatizo lako pro russia wengi mnashinda vijiwe vya gahawa pantisir s1 sio mji ni missile systemhapo umepigwa huo mji urusi imeuteka kitambo
mji umetekwa vipi wakati mtambo wao warusi wa makombora uko mikononi mwa jeshi la ukraine?hapo umepigwa huo mji urusi imeuteka kitambo
mkuu imenifikirisha sana kuna documentary naangalia nashangaa mu ukrain kaua sana majinbo hayo ya luhans na denosk ila sijaona aliye tangaza au habar isiyokuwa ma maslah nao hawaitak.Na mimi nimeona ila kiukweli vifaru haviwezi kusafiri kihivyo kama siafu...fake news....definitely fake news....Wewe fikira uandishi wa ajabu kabisa...issue inayochukuliwa na vyombo vya habari vya magharibi ni kile kinachoitwa kubomoa maeneo ya raia tu...kamwe huwezi kuwaona waandishi wa habari hao wakiwahoji watu wa Donbas na maeneo mengine ya Ukraine yanayokaliwa na warusi na ambao walikuwa wanauawa kama panya na neo-nazis wa Ukraine...mipicha inayooneshwa kwenye TV ni ile ile inajirudia rudia kwa siku tatu....Zelensky mwenyewe alitangaza raia wapewe silaha sasa kwanini wasitwangwe???
Watu wanasema usimpige nyoka ambaye hujui kichwa chake kiko wapi.
Na unaweza ukawa na vitu vya kufanya na hujui ni
Ni namna gani ya kufanya.
Hiyo ndio imemghalimu sana mrusi. Na ukiona mtu anakazana sana kusema ukraine lazima ashindwe hii vita basi ujue haiuji vita.
Hebu piga hesabu nchi za ulaya wamegoma kuisaidia ukraine lakini wamewapa siraha pesa na makomandoo wa kujitolea bado urusi amewekewa vikwazo vya kufa mtu.
Dunia isipo muangalia vizuri putin anadamu ya hitra kwa sababu wanasema hata hitra naye alianza hivyo hivyo alikuwa na Malengo ya kuwa rais wa dunia kwa sababu alikuwa anasema hivi vya mipaka vilikuwa vinamchanganya.
Mbezi ni jiji?View attachment 2146439bendera ya urusi ikipepea huko bravory katika jiji la kiev. Bravory ni kama mbezi
mbez ni wilaya ya jijiMbezi ni jiji?
The pinch won't be felt by Ukrainians and Russians alone, the whole world will feel it, just that the severeness will differ. Oil prices will be high, first in the US...then the rest of the world“Biden got one thing wrong: he ***ed sanctions in Russia, and now the American people will suffer.”
A resident of the United States recorded a video in Russian about a sharp jump in fuel prices in the United States after the introduction of anti-Russian sanctions.
In the video, a gallon (3.785 liters) costs $5.89, although, according to the author of the video, the price was $4.7 a day earlier.
Gasoline prices in the US have reached record levels, according to the American Automobile Association.
Biden has already managed to blame Russia for the rise in fuel prices, while Putin noted that the rise in prices is the result of exclusively miscalculations by the West, since the Russian Federation fully complies with all its obligations for the supply of energy resources.View attachment 2146442