MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Ila miaka yote umeshindwa kuilaani mauaji yanayotokea Kongo hapo ambao ni jirani zako.Yeyote anae iunga mkono russia kuivamia Ukreine na kwenda kuuwa Watu na Viumbe Pasipo na hatia LAANATULAH!!!; KILA WANAPO TOKA NA KUINGIA MAKAZI YAO WALAANIWE!
SEMA AMIN [emoji120]
Sasa tunamalizia ulimi tu wa hilo jidubwana letu kulitengenezaKazi inaendeleaView attachment 2530622
Hajajitanua kibabe wala kiuvamizi, ila wanachama wapya walijiunga wenyewe kwa hiari.
hivi hapa mkorofi nani?
[emoji122][emoji122]Hajajitanua kibabe wala kiuvamizi, ila wanachama wapya walijiunga wenyewe kwa hiari.
Kuvunja mkataba sio ubabe mkataba kwamba msiexpand kuelekea Russia?Hajajitanua kibabe wala kiuvamizi, ila wanachama wapya walijiunga wenyewe kwa hiari.
Ubabe sio mpaka kutumia nguvu kila siku nawaambia nyie Team NATO mtumie Akili basi.Hajajitanua kibabe wala kiuvamizi, ila wanachama wapya walijiunga wenyewe kwa hiari.