Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Askari wa Ukraine hawafi... Ni "immortals"... Wanakufa Raia tu.Askari hata mmoja wa Ukraine hajauwawa katika mgogoro kwa mujibu wa media za West, Isipokuwa askari wa Russia zaidi 12 wameuwa....
WTF!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah hv yai unalipakata vipi... Au tuseme mbuyu af mikono ikapelea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itakua Russian's walipakata mabomu yao kama mayai yakawalipukia wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Turkey saizi ni Taifa kubwa na lenye nguvu za vita na Uchumi..Mwaka juzi kulikuwa na uzi nadhani ni wa North Korea nikadokeza somewhere kwamba Uturuki inaweza ipiga Iran watu wakaja juu kweli kwamba nawakosea Iran. Ila Uturuki ni taifa lingine kwenye silaha na ni superpower kwenye drone tangu kabla ya hii vita ianze. Silaha nyingine za Uturuki kama meli za kivita, helicopters, jet trainers, IFVs na APCs, missiles na precision guided munitions tuziache kwanza. Bado nasema hivi Iran hawezi kumpiga Uturuki na ambavyo dynasties za Persians zina historia ya kupigana na Ottomans mara nyingi. Hawa wote wapiganie mipakani ila sio deep in territories hiki tunachokiona kwa Ukrainians kiko kwenye damu ya Wairan sio kwamba unaanza kuwahamasisha.
Yale mapinduzi ya 2016 yaliyofeli Uturuki maelfu ya raia waliingia barabarani kutengeneza human chain kuzuia vifaru vya wanamapinduzi visipite, kuna clip nadhani YouTube bado zipo raia wamezuia njia crew ya kifaru ikafungua hatch kuongea nao raia wakawashusha na kuwachapa makofi. Nikiunganishi na jinsi Ottomans walivyopigana kwenye Gallipoli campaign kuzuia zile staits ambazo unapitisha meli za kivita ndio uende Urusi. The way kina Winston Churchill kipindi hicho ni kamanda walivyoshindwana na Waturuki mpaka kila upande ukapoteza wanajeshi 56,000 kwa vifo naamini Uturuki ukiwachokoza ujipange sana. Kuna jamii zina spirit ya tangu kale ya kupigana
Uturuki anaizidi China na Urusi kwenye unmanned aerial vehicles ila anazidiwa mbali na Israel na Marekani. Hizi ndege za Russia kina Su-25 na Mig-34 zinazopigwa kwenye anga la Ukraine hazina ulazima sana wa kutumika kama Russia ingekuwa na effective attack drones. Uzuri ni kwamba ukiwa na drone huogopi kupoteza rubani na unakuwa na confidence, rubani akiwa na Su-25 anakuwa na hofu, anaenda haraka na coordinates anaweza kosea kwa kiwewe maana kila siku ndege zinadondoshwa na mwishowe anakosea target. Operator wa drone anatulia maana haoni kingine zaidi angani, hata ikipigwa hatokufa, drone si gharama sana na zimetengenezwa kwa materials ambazo ni ngumu kuziona kwa radar
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imenibidi nicheke utafikir mazuri....Wameamua sasa kusema kinachoendelea, taratibu watu wataelewa hii OP.View attachment 2146538
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hivi ukimtukana mwenzio kisa ushabiki alonao kama huo huo ushabiki ulionao unafaidika nini sasa...Wewe ni fala sio kila mtu yuko tayari kutoa Malinda kama wewe mwoga
Afadhari nishindwe vitani kuliko kusalimu amri na kuolewaUkrainian Foreign Minister Kuleba, after negotiations with Lavrov, said that the parties have not yet been able to reach a decision on a ceasefire.
View attachment 2145569
Safi Sana,Bora ushindwe vitani kuliko kusalimu amri.Kyiv does not intend to comply with the requirements put forward by Russia, Kuleba said.View attachment 2145586
[emoji3][emoji3][emoji3] Umeambiwa hapo wanashambuliwa kwa Safu zote.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imenibidi nicheke utafikir mazuri....
Chonde chonde tu Raia waso ma hatia watoke salama.
Twende hivi hivi hadi mshindi apatikane kwenye uwanja wa mapambano ila sio kukubari kuolewa na Russia.
🚮🚮🚮🚮[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hivi ukimtukana mwenzio kisa ushabiki alonao kama huo huo ushabiki ulionao unafaidika nini sasa...
Kuanzia kwa Slovenia hapo kwenda hadi Finland kamwe hawana jeuri ya kumkazia Russia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Saaawa ila Raia sasa wawaweke kushoto wabaki na hao wapokea "Order"[emoji3][emoji3][emoji3] Umeambiwa hapo wanashambuliwa kwa Safu zote.
Sera za Uchumi na udikteta wa siasa na uongozi havihusiani..Shida ya sisi world third countries tunahadaika sana...
Apa majuzi kati miaka kadhaa ilopita Tanzania ilisikika kua na kiongoz 'dictator' tulikosa wawekezaji kiasi cha wale waliokuepo walianza kufanya biashara nje ya mipaka ya Tanzania.
China unaambiw kua ni Dictator ila an mwaka wa 10 sasa tangu atengue ufalme wa Marekan Worldwide as "The World largest Manufacturing Hub"... Imagine miaka 10 mfululizo na hajashuka na kamwacha mmarekani kwa asilimia zaidi ya 10...
Yani China 28.7%... akifuatiwa na Usa 16.8%... pitia apa utaikuta
Resource Center
Your hub for global workforce insights and resources: global expansion, global employment, global payroll, business intelligence, compliance, workforce trends.globalupside.com
Hapo hapo unakuja kuambiwa Mchina Dictator af hao ho wanapishana kwenda china kuweka Plant... Kuingia kwenye soko la china mfano hai angalia Tesla na Apple invenstment walofanya china...
Unaambiwa China Dictator, ila ndo Major holder ye na Japan wa National Debt ya Marekan...
Sasa kama ni kweli tunavoaminishwa kua Mchina ni Dictator kwanini yupo hapo alipo tena kwa umbali mreeefu zaidi ya hzo mchi wanazodai ni za demokrasia...
Haya kama TZ n democratic country na China ni Dictator why hawaji kwetu tulo na demokrasia wanaenda kwa hao madictator....
Yule Venezuela aliitwa Dictator sa hv wanakaa nae chini kujadili nanma wanavoeza fanya nae biashara ya mafuta na kumwondolea vikwazo baada ya kuachana na Mrusi.
Uku Afrika si kuna gas pia na kuna nchi zenye demokrasia mbona hawajaja huku.
Ifike mahali tuache mihemko tutumie neema ya akili tulopewa. Tuache kusaidiwa kufkiria na hawa damn politicians waliopp kwa maslah yao.