LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Itakua Russian's walipakata mabomu yao kama mayai yakawalipukia wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah hv yai unalipakata vipi... Au tuseme mbuyu af mikono ikapelea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwaka juzi kulikuwa na uzi nadhani ni wa North Korea nikadokeza somewhere kwamba Uturuki inaweza ipiga Iran watu wakaja juu kweli kwamba nawakosea Iran. Ila Uturuki ni taifa lingine kwenye silaha na ni superpower kwenye drone tangu kabla ya hii vita ianze. Silaha nyingine za Uturuki kama meli za kivita, helicopters, jet trainers, IFVs na APCs, missiles na precision guided munitions tuziache kwanza. Bado nasema hivi Iran hawezi kumpiga Uturuki na ambavyo dynasties za Persians zina historia ya kupigana na Ottomans mara nyingi. Hawa wote wapiganie mipakani ila sio deep in territories hiki tunachokiona kwa Ukrainians kiko kwenye damu ya Wairan sio kwamba unaanza kuwahamasisha.

Yale mapinduzi ya 2016 yaliyofeli Uturuki maelfu ya raia waliingia barabarani kutengeneza human chain kuzuia vifaru vya wanamapinduzi visipite, kuna clip nadhani YouTube bado zipo raia wamezuia njia crew ya kifaru ikafungua hatch kuongea nao raia wakawashusha na kuwachapa makofi. Nikiunganishi na jinsi Ottomans walivyopigana kwenye Gallipoli campaign kuzuia zile staits ambazo unapitisha meli za kivita ndio uende Urusi. The way kina Winston Churchill kipindi hicho ni kamanda walivyoshindwana na Waturuki mpaka kila upande ukapoteza wanajeshi 56,000 kwa vifo naamini Uturuki ukiwachokoza ujipange sana. Kuna jamii zina spirit ya tangu kale ya kupigana

Uturuki anaizidi China na Urusi kwenye unmanned aerial vehicles ila anazidiwa mbali na Israel na Marekani. Hizi ndege za Russia kina Su-25 na Mig-34 zinazopigwa kwenye anga la Ukraine hazina ulazima sana wa kutumika kama Russia ingekuwa na effective attack drones. Uzuri ni kwamba ukiwa na drone huogopi kupoteza rubani na unakuwa na confidence, rubani akiwa na Su-25 anakuwa na hofu, anaenda haraka na coordinates anaweza kosea kwa kiwewe maana kila siku ndege zinadondoshwa na mwishowe anakosea target. Operator wa drone anatulia maana haoni kingine zaidi angani, hata ikipigwa hatokufa, drone si gharama sana na zimetengenezwa kwa materials ambazo ni ngumu kuziona kwa radar
Turkey saizi ni Taifa kubwa na lenye nguvu za vita na Uchumi..

Kwanza ukiacha nukes hata hiyo Russia hawezi pigana na Turkey.
 
Hackers from the XakNet.Team team hacked into the website of Ukrainian Capital Bank.

“This action is a response to the calls of the Nazis to steal money from the citizens of Russia,” the video message they left on its main page says.

The recording is no longer available.
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
In Zagreb, an unknown object fell from the sky, the sound of an explosion was heard, the circumstances are being clarified - RIA Novosti.

SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imenibidi nicheke utafikir mazuri....

Chonde chonde tu Raia waso ma hatia watoke salama.
[emoji3][emoji3][emoji3] Umeambiwa hapo wanashambuliwa kwa Safu zote.
 
Such messages, as RT subscribers said, come to the phones of Australian residents. They are offered a free transfer of money transfer in support of the residents of Ukraine.

Where exactly this money will actually go is not clear from the SMS.

IMG_20220311_104631_360.jpg
 
Shida ya sisi world third countries tunahadaika sana...

Apa majuzi kati miaka kadhaa ilopita Tanzania ilisikika kua na kiongoz 'dictator' tulikosa wawekezaji kiasi cha wale waliokuepo walianza kufanya biashara nje ya mipaka ya Tanzania.

China unaambiw kua ni Dictator ila an mwaka wa 10 sasa tangu atengue ufalme wa Marekan Worldwide as "The World largest Manufacturing Hub"... Imagine miaka 10 mfululizo na hajashuka na kamwacha mmarekani kwa asilimia zaidi ya 10...

Yani China 28.7%... akifuatiwa na Usa 16.8%... pitia apa utaikuta

Hapo hapo unakuja kuambiwa Mchina Dictator af hao ho wanapishana kwenda china kuweka Plant... Kuingia kwenye soko la china mfano hai angalia Tesla na Apple invenstment walofanya china...

Unaambiwa China Dictator, ila ndo Major holder ye na Japan wa National Debt ya Marekan...

Sasa kama ni kweli tunavoaminishwa kua Mchina ni Dictator kwanini yupo hapo alipo tena kwa umbali mreeefu zaidi ya hzo mchi wanazodai ni za demokrasia...

Haya kama TZ n democratic country na China ni Dictator why hawaji kwetu tulo na demokrasia wanaenda kwa hao madictator....

Yule Venezuela aliitwa Dictator sa hv wanakaa nae chini kujadili nanma wanavoeza fanya nae biashara ya mafuta na kumwondolea vikwazo baada ya kuachana na Mrusi.

Uku Afrika si kuna gas pia na kuna nchi zenye demokrasia mbona hawajaja huku.

Ifike mahali tuache mihemko tutumie neema ya akili tulopewa. Tuache kusaidiwa kufkiria na hawa damn politicians waliopp kwa maslah yao.
Sera za Uchumi na udikteta wa siasa na uongozi havihusiani..

Ni Mwendazake tuu ndio alikuwa fala analeta udikteta kwenye uchumi..

Kumbuka China aliachana na.sera za ujima.za.kijmaa kwenye Uchumi,akazibakiza kwenye siasa ndio maana yuko hapo.

Sasa Russia ambae ni muasisi wa hizo sera za kijima hazijamsaidia hadi sasa.

Na China yeye ana akili atapambana na US kwa kutumia mbinu alizitumia US za kujenga Uchumi afu ndio aanze kutunisha jeshi zaidi.

Screenshot_20220311-102010.png
 
Back
Top Bottom