Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Iweke hapa
 
Kazi imesha huko waukrein wenyewe wakili



🇷🇺🇺🇦 This map is from the ukrainian Deep State UA. One of the most important things today around Bakhmut is the new directions of the Russian offensive to the NW. Today the advance was south towards Khromove. If they keep todays pace Bakhmut will be physically encircled in 24-48 hours
 
Hizo tanks nasikia zimefichwa maana toka zipelekwe mpka leo havijatumika hata kimoja.
 
situation near Artyomovsk, known in Ukraine as Bakhmut, is much worse for Ukrainian forces than Kiev officially admits, CNN reported on Tuesday, citing Ukrainian troops fighting for the town.

"The situation in Bakhmut is very difficult now. It is much worse than officially reported," a soldier who wished to remain anonymous told CNN on Tuesday. "We should add another 100% difficulty to the official reports. In all directions. Especially in the northern direction."
 
Hizo tanks nasikia zimefichwa maana toka zipelekwe mpka leo havijatumika hata kimoja.
Hazipo kwenye war zone bado mkuu,hebu soma mada vizuri,ndio zinakuwa "loaded."

👉This was announced by the executive director of the NPO Android Technology Evgeny Dudorov. According to him, the loading of robotic systems has already begun.
Marker Robots zenyewe Ni hizi hapa👇
 
Wizara ya Ulinzi ya Marekani - Pentagon imesema kwamba, wanaonelea ni wakati sahihi sasa kwa Ukraine kuanza kujinunulia silaha la sio kusubiri vya bure.

Kauli hii imetolewa na Assistant Secretary of Defense wa Pentagon.


Kweli nimeamini ule msemo wa kwamba "Nguo ya kuazima haisitiri matako"

 
Mshauri wa Zelensky amewaambia wanamgambo wa Ukraine waliozungukwa huko Bakhmut kwamba, kwa hali ilivyo sasa, wanaweza kuanza kukimbia huko Bakhmut.

Amesema hiyo ndio njia pekee iliyobakia kwa sasa ili kuokoa maisha yao, otherwise Wagner Group watawaulia mbali.

Najiuliza:

Sasa umeshakuwa encircled, utakimbilia wapi?
 

Wameuliwa zaidi ya 250,000+ sasa hao 4,000 ndio watakuja kufanya nini cha maana...?
 
Hali ngumu, huwezi itenga Urussi na Dunia. Huyu ni member wa G7

[emoji627][emoji2925][emoji635]Japan has returned to importing Russian oil

Japan imported oil from Russia in January 2023 for the first time since May 2022

Wajapan wanachekesha sana, leo wanaweka sanction kesho wanaziondoa na kuendelea kufanya biashara na Russia.
 
We mzee,Russia anapambana na Ukraine +NATO na Allies wao ndani ya ardhi ya Ukraine!Yaani Ukraine ndio uwanja wa mapambano kati ya Russia na Ukraine+Allies!
Mkuu je una mashaka kwamba jeshi la Urusi lingeshapigwa kabisa kama lingepambana na vikosi vya NATO yenyewe? Kwa sasa tunaona tu jinsi gani jeshi kubwa la Urusi linajitahidi kushika mita chache hapa na pale dhidi ya jeshi la ukraine ambalo ni ndogo zaidi. Pia jeshi la Ukraine kimsingi hutumia silaha za kale za kisovyeti, pamoja na mifumo kadhaa ya silaha za kisasa kutoka NATO. Lakini bila askari au vikosi vya NATO, na bila kupewa silaha bora za NATO.

Kabla ya uvamizi watu wote waliamini Urusi ina jeshi la kutisha likiwa ni jeshi lenye uwezo mkubwa. Imani hiyo imepotea.
Ndiyo, nchi za NATO zinasaidia Ukraine lakini hazipigi Urusi. Hata wanatuma pesa nyingi Urusi kwa kununua mafuta na gesi yake hadi leo. Na Urusi inawauzia mafuta wanayohitaji kuendesha viwanda vyao, pamoja na viwanda vya kuzalisha silaha zinazotumwa Ukraine.
Unaweza kusema ni ajabu, au kichaa, ila hivyo ndivyo dunia yetu.
Ila nchi za NATO hazikuanza kupiga Urusi. Hali ingekuwa tofauti sana.
Na tukumbuke nani alianza kushambulia maeneo ya nchi nyingine.
 
Soma ulichoandk na uandke upyaa maan kuna mengi unajifany hujui Juu ya hii vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…