Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

#stoprussia
Russian propagandists are demonstrating excessive information activity around the assault on #Bakhmut, spreading the narratives that are intended to demoralize the Ukrainian military and society.[emoji298]
 
#stoprussia
Russian propagandists are demonstrating excessive information activity around the assault on #Bakhmut, spreading the narratives that are intended to demoralize the Ukrainian military and society.[emoji298]
Mnaskitisha aiseee[emoji1787][emoji1787]. Front ni moto na Chuma tu. Hadi muelewe maana ya za kuambiwa changanya na za kwako
 

Niliwahi kusoma taarifa kwamba Amerika ilikuwa mbioni kuwatafuta viongozi wa makundi ya kigaidi kutoka Syria, Afghanistani, Uchenyena na kwingineko kwenda Ukraine kutoa mafunzo ya kigaidi, halafu wapenyezwe Urusi kwa makundi madogo madogo kifanya ugaidi - nafikiri wamekwisha anza, leo kwa mfano: kikundi cha watu 50 wenye silaha wameingia kwenye nadhani vijiji vitatu nchini Urusi na kuwateka nyara wanakijiji - wakapiga risasi gari dogo lililokuwa linapita barabarani wakamuua mwenye gari na kujeruhi binti wa maika kumi kama sikosei - hii ina maana ndio wameanza hivyo - bahati nzuri Urusi ina uzoefu mkubwa wa ku-deal na vikundi hivi hatarishi - wamesakwa kweli kweli leo hii na kutokomezwa.
 
Si western propaganda wanasema necessary components zinapatikana kwenye washing machines, Microwave oven,dvd players etc - sasa kuna haja gani tena ya kifuata components ambazozinaweza kuwa cannibilized kutoka kwenye machines tajwa hapo juu.
 
U.S. Secretary of State Antony Blinken and [emoji298][emoji298]Russian Foreign Minister Sergei Lavrov meet on March 2 at the New Dehli G20 summit for the first time since Russia’s full-scale invasion of Ukraine.

According to CNN, their meeting lasted only ten minutes, during which Blinken stressed once again that the U.S. will continue supporting Ukraine “for as long as it takes.”

“I told the foreign minister that, no matter what else is happening in the world or in our relationship, the United States will always be ready to engage and act on strategic arms control, just as the United States and the Soviet Union did even at the height of the Cold War,” said Blinken.[emoji298][emoji298]
 
[emoji298][emoji298]The Minister of Energy of #Ukraine, German #Galushchenko, held a meeting with the U.S. Energy Secretary Jennifer #Granholm as part of the meeting of the Partnership for Transatlantic Energy and Climate Cooperation in Zagreb.[emoji298][emoji298]
 
[emoji298]️US Secretary of State Anthony Blinken today met Russian Foreign Minister Sergey Lavrov in person for the first time since Russia's invasion of Ukraine at the G20 summit in India. Their conversation lasted less than 10 minutes, Sky News reported.

Blinken urged Lavrov to reverse Russia's decision to suspend participation in the START treaty and reiterated that Washington would support Ukraine for as long as necessary.

[emoji328]: AP
 
Estonian Defence Ministry showed Ukrainian troops training to fire 155mm and 122mm howitzers [emoji1097][emoji1255]
 
Mkuu ebu chunguza kwa umakini comments za Antony Blinken kisaikolojia zinakupa picha gani - ni wazi tamko la Putin la kusema hataki tena upuuzi wa kusikia tena masuala ya kupunguza au kuelewana na USA kwenye masuala ya silaha za nuclear, anasema kila taifa lifanye lipendalo kulinda usalama wa taifa lake bila ya kilazimika kuruhusu mataalamu wa masuala ya nuclear kutembelea viwanda vya Urusi kuchunguza/inspect kinacho endelea jikoni, na Urusi vile vile haipo interested kuchunguza wala kufahamu silaha za nuclear za USA za miaka ya 1970/80 pamoja na their equally old delivery systems.

Cha kujiuliza hapa kwa nini suddenly USA inakazania kutaka kujua kicho endelea huko Urusi kwenye masuala ya silaha za Nuclear wamesahau kabisa kiburi chao na dharau wakina Trump na Obama walivyokuwa na mbwembwe za kusema hawata heshimu tena makubaliano ya kupunguza silaha za nuclear - yaani wajitoa rasmi kwenye na miaka ya nyuma na hawata renew makubaliano hayotena, walikuwa wsnayasema hayo kwa mbwembwe kweli kweli!!

Kama nilivyo hoji tangu mwanzo USA imeshitukia nini na kuona kumbe kuna umuhimu wa kipekee kuanza kutafuta maelewano na Urusi kwa mlimuona Biden alipo wasili Ukraine aligusia kihusu Putin kususia kuingia makubaliano na USA kupunguza silaha hatarishi, mlimuona vile vile Secretary General wa NATO alivyo kuwa ana panic alipo gusia suala la Putin kukataa kukaa meza moja na Biden kupunguza/ratibu silaha za nuclear - cha kijiuliza hapa kinacho watisha USA na NATO ni nini hasa jibu ni rahisi kinscho watisha maadui wa Russia specifically ni sila nane za kisasa za Urusi ambazo have no parallel around the World ie Dunia nzima hawana save China and North Korea kwa upande wa hypersonic na glide vehicles lakini Warusi wanavyo tajwa hapo juu pamoja na submarine drones laden with 200MT payload each si rahisi kuzi detect zinapiga mbizi kwenye kina kirefu na kusubiri kuoewa command ya ku-attack at fastest speed ikikaribia designated target, wana Sarmat ICBM nayo si rahisi ku-intercept inaweza kuwa launched kupitia aidha north pale au South pole na kwenda kupiga Merikani hapo hatujazungumzia missiles zinazo endeshwa na engines za nuclear zinaweza kuzunguga Dunia kwa miaka mingi bila ya kuhitaji fuel na kushambulia target at any time - silaha za kisasa za Putin ndio zinawatia wasi wasi USA/NATO.

Ndio maana siku hizi wanatafuta kila mbinu kuzungumzia masula ya silaha za Nuclear kwa kumbembeleza Putin kiaina - mara waseme wana uhakika Putin atakuja kwenye meza ya mazungumzo ya kupunguza na ku inspect silaha pande zote mbili - hapo hapo Blinken anatumbukiza tena kwamba USA ita wasaidia wa Ukraine mpaka tone la mwisho la waukraine - akiangalia kwa umakini anayoyazangumza Blinken ni totally incoherent - do inawajua tena wanavyo penda sana kuonekana ni MACHO MEN, we fikiria huku anasema anataka kuwapatia silaha wa Ukraine wawamalize Warusi lakini hapo hapo Blinken/Biden wanataka waelewane na Pitin ili wapinguze silaha za Nuclear na kuondoa hatari ya kuanzisha vita ya nuclear by miscalculation/accident -hii wapi na wapi, kwa nini Blinken azungimzii masuala ya kuleta amani baina ya Ukraine na Russia - bafala yake Biden/Blinken wako busy kupeleka silaha na ulaghai mwingine.
 
Mkuu, ulisoma wapi? tafadhali tupe chanzo chako!
Menginevyo unaonekana wewe unapenda hadithi za Abunuwasi (zikitolewa na Halmashauri ya Ushairi ya Urusi...)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…