Kwahiyo kwa maelezo yako yote hayo na nguvu zote ulizozitumia kusoma na kuchambua historia hizo, sababu kubwa ni kuutetea ushoga?Urusi ilianza kuenea miaka 500 iliyopita, pamoja na Uingereza na wakoloni wengine. Tofauti ilikuwa tu, Uingereza ilienea hasa ikivuka bahari, Urusi ilienea kwenye nchi kavu. Pamoja na yale niliyokopi chini, katika karne ya 19 Urusi ilivamia nchi za kaukazi (Chechnya, Cherkes country, Azerbaijan, Dagestan, Armenia, Gerogia) nchi za Asia ya Kati (leo KAzakhstan, Turkestan, Uzbekistan, Bukhara, Shiva, Tashkent, Tajikistan, Tannu Tuwa, na mengine).
Soma: As the Europeans began their overseas expeditions in the early 16th century, the Muscovites started their expansion to the north and east. They captured the Yugorian lands by 1502 and reclaimed Ryazan by 1520. They conquered the Kazan Khanate in 1552 and Astrakhan Khanate in 1556, abolished the Great Nogai Horde in 1557, and took the Siberian Khanate in 1582. .... But the Russians amassed even more territory, continuing their Drang hach Osten well into the next century: By 1610 they had absorbed the Pegaya Horde, reaching the Yenisey River, and by the mid-17th century they were approaching the border with China. By 1689 they had conquered all of northeastern Eurasia to the Bering Strait.
Video
Hali Imekuwa Mbaya Sana kwa Jeshi la Ukrein
Imefikia Hatua Ukiweza Kutoroka Msitari wa Mbele Bakhmut
Kwanza Unalia
Na Ukibaki Pia Unalia
Kijana Wawatu Kafanikiwa Kutoka Bakhmut Kwa Miguu na Wenzie ila Haamini Njia nzima Analia kama Jibwa koko
Huku Akisema Hajui kafikaje Hapo Alipo
Pia Hajui kwanini Yupo Vitani
Analia Kwa Hofu na Uoga maana Njia Nzima Anakutana na Maiti ya Wenzie
Mmoja Anajaribu kumwambia Anyamanze Ajikaze Kutembea
hahaha
SHIKAMOO WAGNER
View attachment 2536350
MUNGU IBARIKI URUSI
Yaani hap missing +dead ni Karibu laki 3 na nusu,walitiwa vilema + waliokamatwa Karibu laki 2 na themanini!I see hii ni hatari.
🇺🇲🇺🇦 CNN, citing its sources in the Ukrainian General Staff, reports that on February 28, 2023, the losses of the Armed Forces of Ukraine amounted to:
▪️ 259,085 people killed, died from wounds, diseases;
▪️wounded, crippled 246,904;
▪️deserted, as well as missing - 83,952;
▪️ captured - 28 393.
Hapana unekosea wanajeshi wa ukraine waliokufa mpaka Jana ni 259,000, wounded ni karibia 230,000 na missing ni karibia 83,000 yani approximately ukraine kwa ujumla imepoteza wanajeshi zaidi ya 430,000 roughly. Russia imepoteza approximately wanajeshi yani waliokufa ni 80,000 - 100,000 japo laki hawajafikaYaani hap missing +dead ni Karibu laki 3 na nusu,walitiwa vilema + waliokamatwa Karibu laki 2 na themanini!
Zele lazima atume vitoto na vizee kuhold position Frontline!
Sijakosea,hujaangalia nilichoandika Kwa umakini!Hapana unekosea wanajeshi wa ukraine waliokufa mpaka Jana ni 259,000, wounded ni karibia 230,000 na missing ni karibia 83,000 yani approximately ukraine kwa ujumla imepoteza wanajeshi zaidi ya 430,000 roughly. Russia imepoteza approximately wanajeshi yani waliokufa ni 80,000 - 100,000 japo laki hawajafika
🇷🇺💪🇷🇺💪🇷🇺💪🇷🇺💪🇷🇺💪🇷🇺💪🇷🇺💪🇷🇺👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏Wamekimbia tayari
ВСУ отошли с восточного берега Бахмута, бойцы ЧВК «Вагнер» начала операции по очистке района от оставшихся там солдат, которые, скорее всего отступить уже не смогут.
Кроме того, ВСУшники начали отход из остальной части города по второстепенным дорогам, после того, как «музыканты» взяли под огневой контроль основные пути снабжения.
@wagner_group_pmc
completely retreated from the eastern shore of Bakhmut, the fighters of the Wagner PMC began operations to clear the area from the soldiers remaining there, who, most likely, would not be able to retreat.
in addition, the Vushniks began to withdraw from the rest of the city along secondary roads, after the “musicians” took fire control of the main supply routes.
@wagner_group_pmc
Na hapo Dunia itaelekea kuwa sehemu salama zaidi kuishiUshawishi wa USA kelekea Ulaya na Dunia katika ujumla wake unakwenda kupungua sana.
Urusi Hata 20 elfu hawajafika kwa mujibu wa shirika la ujasusi la kuaminika kabisa la Mossad na lisilo upande wowote ktk mgogoro huu.Hapana unekosea wanajeshi wa ukraine waliokufa mpaka Jana ni 259,000, wounded ni karibia 230,000 na missing ni karibia 83,000 yani approximately ukraine kwa ujumla imepoteza wanajeshi zaidi ya 430,000 roughly. Russia imepoteza approximately wanajeshi yani waliokufa ni 80,000 - 100,000 japo laki hawajafika