LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Inashangaza Vladimir Putin kulalamika vikwazo vya uchumi dhidi ya Urusi siyo halali. Je kuvamia nchi ndio halali? Mzee mzima amelikoroga ,hamna namna zaidi ya kumeza na kushusha na vodka.
 
Majeshi Shupavu ya Russia yasioogopa Propaganda wala Ambush za Askari waoga wa Ukraine hatimaye wameuteka mji mwingine na kusimika Bendera ya Russia. Hii inakuja baada ya kutembeza kipigo cha mabomu yaliyowaua makumi ya Askari waoga wa Ukraine.
 
Mimi ndio Nina upande ila linapokuja swala la Taarifa zote zinakuja nazipokea na kuzipa muda
Eti zinakuja na kuzipa muda haaa uoni hata aibu.
Kwa mujibu wa taarifa zako ambazo umekuwa ukiziketa humu ni kwenye hivi vita hakuna mwana jeshi wa Ukraine aliye uawa bali wote ni raia.
Vifaa vinavyo haribiwa ni vya Urusi tu.
Urusi imeshwindwa vibaya .

Sasa hivi upo una tuambia eti ule msafara wa Urusi umesambaratishwa wakati umesambaa na kuizingira kiev.

Mta kalia propaganda tu rakini walioko vitani wana hisi makali ya Urusi sasa hivi Urusi imeizingira karibu miji yote .

Kitendo cha kukubali kuzingirwa ni dalili moja wapo ya kizidiwa.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Askari hata mmoja wa Ukraine hajauwawa katika mgogoro kwa mujibu wa media za West, Isipokuwa askari wa Russia zaidi 12,000 wameuwa....
WTF!
Kaka hii si kweli. Nimeshasema juu kwamba Ukraine hawatangazi vifo vyao bali vya Warusi tu. Kama ungesoma media, ungeona kwamba mara kwa mara wanaongeza "we could not confirm the numbers".
Warusi bado wanajaribu kuficha kuna vita, wanaiita "special military operation". Hawatangazi vifo vya Waukraine (maana kama wangetangaza maelfu, ingeonyesha ni vita kabisa!). Wamekubali vifo vya Warusi wachache, kwa sababu kuna familia nyingi ambao wameshapata taarifa za vifo lakini hawataki kukubali idadi halisi.
 
Nikupe taarifa tu.

USA mfumo wao wa kodi sio Residency based pekee bali Citizenship Based....

Maana ake ni popote atakapokuwa duniani as long as anaitwa "Citizen of United state of America" lazima alipe Kodi USA kwa earning yoyote worldwide.

So ikitokea nchi anayoishi tuchukulie mfano kaajiliwa Tanzania analipia kodi mara 2.... Analipa hapa na analipa nchini kwake....
 
The unfriendly actions of the United States and its allies have sent the rules of international trade to the scrap, said Russian Prime Minister Mikhail Mishustin. Galip SV Liwagu
 
Vladimir Volfovich Zhirinovsky is a Russian politician and leader of the Liberal Democratic Party of Russia.
Zhirinovsky is preparing to come to the next meeting of the State Duma - Volodin. Galip SV Liwagu

 
Canada imposes sanctions on five Russians, including Abramovich. Restrictions are also being introduced against 32 "Russian military organizations" - the prime minister.
Galip SV Liwagu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…