The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kuonekana nao walipinga, Japokuwa Poland na Sweden nao wana VodkaKo hataki nyagi kwasababu inatoka urusi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani kaitengeneza Putin au...
Ila chuki za kike hizi...
Eti zinakuja na kuzipa muda haaa uoni hata aibu.Mimi ndio Nina upande ila linapokuja swala la Taarifa zote zinakuja nazipokea na kuzipa muda
Kaka hii si kweli. Nimeshasema juu kwamba Ukraine hawatangazi vifo vyao bali vya Warusi tu. Kama ungesoma media, ungeona kwamba mara kwa mara wanaongeza "we could not confirm the numbers".Askari hata mmoja wa Ukraine hajauwawa katika mgogoro kwa mujibu wa media za West, Isipokuwa askari wa Russia zaidi 12,000 wameuwa....
WTF!
Nikupe taarifa tu.Sasa kwani wewe ukiwa investor mkoa X unafaidisha kwenu au huko ulikowekeza?
Kiufupi unawafaidisha Nchi mwenyeji ndio maana Trump alikuwa kwenye kampeni ya kuwarudisha Americans wakawekeze home.
So ukila bans wewe kama investor utaendelea kubaki Ili ufaidi nini?
ndio imeishai hioNa nikifa Mnanifufua?
ha ha ha ukraine hali tete sema western media zinawabebaSasa kama wanashinda na kuwaua Askari wa Kirusi... Wanahtaji Jeshi la ziada la nini kwa ofa nono kama hyo ya Uraia.