LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kuhusu biashara?
 
Wamejiharibia sana pasipo kujua. Wao wanadhani wanamkomoa Russia lakini wanatengeneza mlango wa kuwakimbiza wawekezaji.
 
Unaambiwa zaid ya wapiganaji 16000 kutoka seheme mbali mbali za dunian wameandika barua za kujiunga na jeshi la urusi


Kuna watu wanahasira sana na inchi za magharibi wameona huu ni muda wa kumaliza hasira zao
Unajua Usawa katika Dunia haupo, USA ndio Baba wa dunia kwahiyo wengine ni mama, Baba akikosa anajiadhibu mwenyewe, Mama akikosa Baba anampiga mama na watoto wanampiga mama.

Nchi nyingi ni fwata upepo, Hakuna anaehoji, kuhusu USA aliadhibiwa na nani, Kwahiyo kila kitu anachokifanya yeye ni sawa hapana, Hata anachokifanya Putin sio sahihi, Lakini anasababu zake anazoona ni sahihi.

Huu mgogoro kama Zelensky angetumia akili tangu mwanzo, hata yote yasingetokea kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…