LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
The UK imposed sanctions against 386 Russian deputies who voted for the independence of the DNR and LNR. Galip SV Liwagu
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
Nikupe taarifa tu.

USA mfumo wao wa kodi sio Residency based pekee bali Citizenship Based....

Maana ake ni popote atakapokuwa duniani as long as anaitwa "Citizen of United state of America" lazima alipe Kodi USA kwa earning yoyote worldwide.

So ikitokea nchi anayoishi tuchukulie mfano kaajiliwa Tanzania analipia kodi mara 2.... Analipa hapa na analipa nchini kwake....
Kuhusu biashara?
 
Wanasema mwenzako akinyolewa zako tia maji... Sizan ka wataanza kuingia uko kwa speed.

Kama ndo mitifuano ya kike ya aina hii...

Kwa mbaaali naiona Rise of Singapore kua best Hub for Invenstors kwa kila kitu...

Kwa sasa ndo home kwa "Start-Ups" na Wajasiriamali ya 21st Century...

Kwanza wapo kimya japo si kiivyo af wana sera nzuri pia ya Kodi ya "Territorial tax System" na mengineyo....
Wamejiharibia sana pasipo kujua. Wao wanadhani wanamkomoa Russia lakini wanatengeneza mlango wa kuwakimbiza wawekezaji.
 
Unaambiwa zaid ya wapiganaji 16000 kutoka seheme mbali mbali za dunian wameandika barua za kujiunga na jeshi la urusi


Kuna watu wanahasira sana na inchi za magharibi wameona huu ni muda wa kumaliza hasira zao
Unajua Usawa katika Dunia haupo, USA ndio Baba wa dunia kwahiyo wengine ni mama, Baba akikosa anajiadhibu mwenyewe, Mama akikosa Baba anampiga mama na watoto wanampiga mama.

Nchi nyingi ni fwata upepo, Hakuna anaehoji, kuhusu USA aliadhibiwa na nani, Kwahiyo kila kitu anachokifanya yeye ni sawa hapana, Hata anachokifanya Putin sio sahihi, Lakini anasababu zake anazoona ni sahihi.

Huu mgogoro kama Zelensky angetumia akili tangu mwanzo, hata yote yasingetokea kabisa.
 
Back
Top Bottom