ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Yani kama ni dem umeshamvua c....p dude linazagaa zagaa kwenye ziv..u.....Ww mleta mada hivyo vifaru tayari vipo chumbani/ Kyiv.....kwa hivyo tujamaa twa Ukraine ndio tunamalizia malizia mapambano wakimbie
Hizi taarifa umetoa wapi?!? Hapa nipo chumba kina international Media zote kubwa lakini sioni hicho unachosema. Au umepigiwa Simu na wale wabongo waliokwama kuleLIVE SASA....
URUSI INATEMBEZA KICHAPO KIZITO MJINI KYIV MUDA HUU.
arafu nimekuja kugundua haya mashirika mengi sana ya kimataifa yanafanya kazi kwa maslai ya westUnajua Usawa katika Dunia haupo, USA ndio Baba wa dunia kwahiyo wengine ni mama, Baba akikosa anajiadhibu mwenyewe, Mama akikosa Baba anampiga mama na watoto wanampiga mama.
Nchi nyingi ni fwata upepo, Hakuna anaehoji, kuhusu USA aliadhibiwa na nani, Kwahiyo kila kitu anachokifanya yeye ni sawa hapana, Hata anachokifanya Putin sio sahihi, Lakini anasababu zake anazoona ni sahihi.
Huu mgogoro kama Zelensky angetumia akili tangu mwanzo, hata yote yasingetokea kabisa.
Em nikuulize swali juu ya swali... Biashara ni nini.Kuhusu biashara?
Angalia usipate hii, komredi!Ngoja tuendelee kunywa vinywaji vya Russia. Tunakunywa Baltika
View attachment 2146784
AL JAZEERA subiri watarudia jiyi habari, kwa muda huo kuna yule mwandishi wao alikuwa anahojiwa live.Hizi taarifa umetoa wapi?!? Hapa nipo chumba kina international Media zote kubwa lakini sioni hicho unachosema. Au umepigiwa Simu na wale wabongo waliokwama kule
Hakika... Af na hio mindset ya kujisemea kua Marekan yupo sahih kwa kila kitu ndo inayotuponza...Unajua Usawa katika Dunia haupo, USA ndio Baba wa dunia kwahiyo wengine ni mama, Baba akikosa anajiadhibu mwenyewe, Mama akikosa Baba anampiga mama na watoto wanampiga mama.
Nchi nyingi ni fwata upepo, Hakuna anaehoji, kuhusu USA aliadhibiwa na nani, Kwahiyo kila kitu anachokifanya yeye ni sawa hapana, Hata anachokifanya Putin sio sahihi, Lakini anasababu zake anazoona ni sahihi.
Huu mgogoro kama Zelensky angetumia akili tangu mwanzo, hata yote yasingetokea kabisa.
Haaahaaahaaaa!! Ifuatilizie vizuri Al Jazeera tukio moja wanarudia kuripoti hata wiki mbili. Unaweza kujua ni tukio la leo au janaAL JAZEERA subiri watarudia jiyi habari, kwa muda huo kuna yule mwandishi wao alikuwa anahojiwa live.
Wanaanzaje kwa mfano [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]arafu nimekuja kugundua haya mashirika mengi sana ya kimataifa yanafanya kazi kwa maslai ya west
Mimi nilitegemea mahakama ya kimataifa ya uharifu wa kivita ingeshamfu joji bushi na mwenzie obama lakin wapi
View attachment 2146785
Ukisikia Kiev sio kama hapo gongolamboto na mbagala, Kiev ni big city mkuu na jiulize leo ni ya ngapi toka usikie russia wameingia Kiev? ni vile watu wengi hawajui kinachoendelea, Ukraine walikuwa wanamsubiri russia aingie kwenye 18 zao. Ni kama vile panya unamfungia chumbani na wewe umo humo humo unampa kibanoIna maana Russia wameshaingia Viunga vya Kiev?
Target ya Ukrain mkuu walikuwa wanawasubiri russia waingie kwenye 18 zao, juilize leo ya ngapi toka usikie russia wapo Kiev?? Kibano kinatembezwa mkuu ni kama vile panya umemfungia milango unampa za usoMkuu watu wameisha ingia hadi chumba cha kulala cha ukrein wanavuruga vitanda we unasema wamejipanga?
Usiamini sana hayo matango pori ya bbc