jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Huyo jamaa wa kwanza mbona kama goliath[emoji23][emoji23]Katikati ya bakhumut [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2541875
Yaani NATO wanaonekana Kama kuku mbele ya hao jamaa.Huyo jamaa wa kwanza mbona kama goliath[emoji23][emoji23]
Wanatutafutia nongwa na DubuKwani Hilo donge nono wao hawalitaki!! Si wakamkamate kama Osama walipwe wao?? Shida nini!!
Mean while [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji116]Breaking news...
Mlikokuwa mnajifariji kuwa prigo anatumia spedi au nyundo kupigana[emoji1]
Russia’s Wagner Group of mercenaries has taken full control of the eastern part of Bakhmut, its founder Yevgeny Prigozhin said.
Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said the Russian army would have an “open road” into eastern Ukraine if it captures the besieged city of Bakhmut, US media reported on Tuesday.
Via Al Jazeera
Aende mpka hapa ndipo tuamini kwamba kweli amefika bakhumutMean while [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji116]
[emoji298]️Commander of the Ukrainian Ground Forces Oleksandr Syrskyi again visited Bakhmut, Donetsk Region, where he awarded the defenders of the country.
Ni ubwabwa maharage zinapigwa au zinakwama kwenye tope wenyewe wakimbia yaani mtafyata sana[emoji298]️Ukraine will receive 18 German and three Portuguese Leopard 2 tanks along with trained crews by the end of March, German Defence Minister Boris Pistorius said, Welt reported.[emoji298]
Kunywa maji mengi, maumivu yatapungua,Ni ubwabwa maharage zinapigwa au zinakwama kwenye tope wenyewe wakimbia yaani mtafyata sana
Hao si walisema wameishiwa silaha?Kunywa maji mengi, maumivu yatapungua,
Huko ndipo kilipo kichinjio kwa askari wa urusi [emoji23][emoji2][emoji28]Hao si walisema wameishiwa silaha?View attachment 2541906
Air defence zinakuwa Kama chujio yaani mzigo unapita tu#Ukraine hopes to receive as soon as possible air defense equipment and additional ammunition from its #EU partners, in particular, a million 155 mm caliber shells, which will allow the nation to stop the Russian onslaught and to plan a counteroffensive to liberate the occupied territories.[emoji298]