LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Tatizo lako unajikuta mjuaji kwe kitu usichokifaham au unakifaham kwa mazoea... System za Taxation duniani kote hazifanan kila nchi ina taratibu zake.

Tanzania sio kama Kenya au sio kama Singapore au sio kama USA...

Kama kitu hukielewi omba uelekezwe au toka kafatilie af urudi na umepata ukweli so kubisha bisha usichokifaham.

Kwa niaba ya wengine ngoja nikuelekeze aina za kodi.

1. World wide based taxation System
2. Territorial based taxation System
3. Citizenship based taxation System

Kajifunze kila moja wapo af fatilia marekan anatumia ipi na kwanini nchi 3 duniani kwa sasa zinatumia mfumo huo kama wake.

Kafatilie tena Kwani huo mfumo wa pili niliotaja apo ndo kimbilio la wawekezaji wengi duniani.

Af kingine yaonesha ata biashara huijui vzuri. So ka unawaza biashara ni kuuza nguo na nyanya so ukinyanyuka ukaenda kuuzia tandale kutoka mbagala umewanufaisha wana tandale so watu wa mbagala umepwaya mzee...

Hao wachimbaji walojazana Afrika kutoka nchi za nje wanakunufaisha wewe na si mataifa au sio?

Unafail wapi jamaa angu.... Una vitu vingi kichwani na nav'admire sana sema una mahabba yanakupunguzia fikra fikirishi.
 
Wanajeshi waoga wa Ukraine walio salia katika viunga vya mji mkuu wa Kiev wameamriwa kuanza kuandika Wosia na Warithi mapema ili kuiepushia mahakama usumbufu wa kesi za mirathi.. masaa machache yajayo watakua majivu meusi baada Wanajeshi Shupavu wa Usoviet kuingia mjini Kiev na mizinga mikubwa ya kuulia magaidi na mamluki
 
Maelezo meengi afu nayashmmarise kwa kukuuliza hivi,kama wawekezaji wananufaisha zaidi Mataifa walikotoka then why njia kuu ya ku boost uchumi ni foreign investment hususani kwa Nchi ambazo hazijaendelea?
 
Wewe ulitaka wajifiche wapi sasa chumbani mwako ama maana ile ni nchi yao na wana uhuru nayo kama mmeshindwa vita jisalimisheni acheni utoto na hoja za kipimbi kama hizi bhana!!
Mnataka ngumi za kujificha nyuma ya refa hakunaga mapambano ya aina hio! Thats a Gay move... Toeni sura zenu live parling mtu mbike man to man!
 
interms of GDP na hiyo human developmnet index kwenye top 10 urusi ipo nafasi ya ngapi?
 
Maelezo meengi afu nayashmmarise kwa kukuuliza hivi,kama wawekezaji wananufaisha zaidi Mataifa walikotoka then why njia kuu ya ku boost uchumi ni foreign investment hususani kwa Nchi ambazo hazijaendelea?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bado nikikwambia unaelewa vitu kimazoea jamaa angu sijui ka nitakuwa nakukosea...

Hivi ata maana sahihi ya Uchumi unaijua au unajua uchumi n kua na hela mfukoni?

Na unaeza jaribu tu ata kuelezea how economy is boosted kupitia wawekezaji wa kigeni?

Ukijifunza udereva bas jifunze udereva kamili sio aina ya Gari kias kwamba ukibadilishiwa Gari unaweka leseni chini...

Ukitaka kujifunza tuelekazane nitag ila ukitaka kubishana au kujimwambafy kwa ujuaji tena kwe vitu ambavyo vingine unapwaya kbs... Sipo kwa ajili hyo apa...

Zaidi nitakupuuza tu.
 
Mbona nyie mmeingiza volunteers mzee πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hapa kunta kinte tu
Brother urusi taifa kubwa sa volunteers wa nini tena mkuu πŸ˜›πŸ˜€πŸ€£πŸ˜‚ yaani ilikuwa pigo moja takatifu kyiv majivu dah ila vita mbaya sana tusikie kwa wengine tu.
 
The UN Security Council meets in New York City on Friday, March 11 at Russia's request, in order to discuss Moscow's claims about "the military alleged "biological activities of the US on the territory of Ukraine."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…