Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Tatizo lako unajikuta mjuaji kwe kitu usichokifaham au unakifaham kwa mazoea... System za Taxation duniani kote hazifanan kila nchi ina taratibu zake.Unatumia nguvu nyingi kwa kitu simple,,elewa kwamba wewe kama ni Mtanzania ukaenda kuwekeza Kenya,wanaofaidia kwa sehemu kubwa ni Wakenya na wewe binafsi,Nchi kunufaika itategemea ukipata faida unatunza kwenye subsidiaries za host country au laa.
Ndio maana Russia analia Lia kwa sababu anaona moto wa vikwazo.
Tanzania sio kama Kenya au sio kama Singapore au sio kama USA...
Kama kitu hukielewi omba uelekezwe au toka kafatilie af urudi na umepata ukweli so kubisha bisha usichokifaham.
Kwa niaba ya wengine ngoja nikuelekeze aina za kodi.
1. World wide based taxation System
2. Territorial based taxation System
3. Citizenship based taxation System
Kajifunze kila moja wapo af fatilia marekan anatumia ipi na kwanini nchi 3 duniani kwa sasa zinatumia mfumo huo kama wake.
Kafatilie tena Kwani huo mfumo wa pili niliotaja apo ndo kimbilio la wawekezaji wengi duniani.
Af kingine yaonesha ata biashara huijui vzuri. So ka unawaza biashara ni kuuza nguo na nyanya so ukinyanyuka ukaenda kuuzia tandale kutoka mbagala umewanufaisha wana tandale so watu wa mbagala umepwaya mzee...
Hao wachimbaji walojazana Afrika kutoka nchi za nje wanakunufaisha wewe na si mataifa au sio?
Unafail wapi jamaa angu.... Una vitu vingi kichwani na nav'admire sana sema una mahabba yanakupunguzia fikra fikirishi.