Bhikalamba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 2,341
- 3,367
Habari za Georgia zinahusiana vipi na vita ya Ukraine vs Russia? Remember Georgia siyo pro-russia. Hawa walipigwa na Russia 2008 na kupokonywa Jimbo la Osetia.[emoji1109]A new rally has started in Tbilisi, Georgia.
More than 10,000 people gathered in front of the parliament building.[emoji298]
Waliporwa osetia ya kusin na abkhasiaHabari za Georgia zinahusiana vipi na vita ya Ukraine vs Russia? Remember Georgia siyo pro-russia. Hawa walipigwa na Russia 2008 na kupokonywa Jimbo la Osetia.
Hamna lolote wanacho fanya wao ni kujichimbia kwenye miles and miles za underground reinforced concrete bunkers za enzi za kisoviet pamoja na silaha zao - jeshi la Urusi linajua vizuri sana ramani yoye ya underground reinforced concrete bunkers network - ndio maana Putin amewapa muda ku-surrender kabla hawajawa smoked out na kutokomezwa wote kwa kutumia mabom ya concrete busters wakafa wote. Hata hivyo wengi wanakuwa wakahidi kwa kuogopa kutambulika kwamba wengi wao ni wanajeshi wa NATO including UK&USA baadhi yao niliwasikia wakizungumza a very refined English wakiwaongoza/wapa amri wanajeshi wa Ukraine na wengine ni nini cha kufanya - kiukweli vita hii ni baina ya Urusi na NATO/USA, Ukraine inatumiwa kama chambo tu.Huo mji kila mtu ametabiri utadondoka ila hadi leo bado.
Ukraine inapeleka reinforcements
Hiyo inamaanisha latest zako ni chache na kwa vile ni lazima uwe unatuma muda wote unalazimika kurudiarudiaUlishawahi kuangalia aljazeela au chombo chochote kikubwa Cha habari??.., habari ileile inarudiwa kuripotiwa zaidi ya mara 10 ndani ya siku Moja tu..,na siku inayofuata habari hiyohiyo inarudiwa Tena kuripotiwa,..,kama hauwezi kupata access ya hivyo vyombo vikubwa vya habari,basi nunua hata kiredio Cha shilling elf kumi na Tano (15000) Ili ufuatilie matangazo ya mashirika makubwa ya habari kama DW.., BBC Swahili..., RFI kiswahili.., na vinginevyo vingi Ili uone vinavyofanya kazi..,Nina uhakika utakuja Tena hapa kunishukuru [emoji106][emoji106]
Baada ya kuona prigozhn ameshindikana .....EU .( Wajinga sana) [emoji16][emoji16]wakaamua kumuweka sanction mama yake ...... Napo ameshinda rufaa
The mother of Wagner’s Prigozhin has won an appeal against European Union sanctions imposed on her last year for her alleged support of the mercenary group, which is now fighting in Ukraine.
Via Al Jazeera
Lengo bi Mkubwa amtulize mwanaeKwa akili za kawaida tu, sanction kwa mama yake Prigozhin zilikuwa na mantiki gani kama sio kuonyesha kwamba NATO wameanza kuchanganyikiwa baada ya mipango yao kuhusu Ukraine kugonga mwamba/Putin, yetu macho.
Wazee wa propaganda hawakawii kujisahau haoBro huna latest au zilizokuwepo hazikuvutii???View attachment 2542794
Anasema yey anafanya km sien'en na aljazeera wanavyorudirudia habar
Katika historia ya vita Duniani sijawahi kisikia mama walio wazaa majemedari wanao ongoza vita wakisakwamwa na kutishwa tishwa - hayo tunayasikia kutoka kwa comedian Zelensky, Biden na EU baada ya kuguduwa kwamba kumbe Putin na Wagner Group CEO kawazidi kete mabeberu - mabeberu hawalali, masaa yote wanafikiria hujuma tu na vita ambavyo hawana uwezo wa kushinda jeshila Urusi - come rain or shine.Lengo bi Mkubwa amtulize mwanae
Ila wana NATO ni mafala kweli, sasa unampa sanction mama kwa matendo ya mwanae kweli? 😀Lengo bi Mkubwa amtulize mwanae
Sawa nitakuwa napost hata zaidi ya mara kumi, ukiona unakerwa kajinyonge..,sawa eeh?[emoji6][emoji6]Hiyo inamaanisha latest zako ni chache na kwa vile ni lazima uwe unatuma muda wote unalazimika kurudiarudia
Kwani huyo bi Mkubwa anapiga mishe gan???Ila wana NATO ni mafala kweli, sasa unampa sanction mama kwa matendo ya mwanae kweli? [emoji3]
Hata sielewi yani😀Kwani huyo bi Mkubwa anapiga mishe gan???
Anaish ndan ya EU???
HahahaahahahaAnasema yey anafanya km sien'en na aljazeera wanavyorudirudia habar
Kuna uzi huko kaweka mrusi mwenzako jinsi mnavyo vunwa kama mahindi.Wewe unayejua ndo ulete taarifa kamili na ushahidi. Vinginevyo ni kahawa tu.
Usipanick kwa kipigo we jamaa.Wewe unayejua ndo ulete taarifa kamili na ushahidi. Vinginevyo ni kahawa tu.
Naanzaje kukerwa na wwSawa nitakuwa napost hata zaidi ya mara kumi, ukiona unakerwa kajinyonge..,sawa eeh?[emoji6][emoji6]