Umeelewa vizuri kilichoandikwa ?Wajerumani wameshtukia njama za Ukraine kuhusu Bomba la gesi [emoji1][emoji1]
Germany’s defence minister, Boris Pistorius, has warned against reaching premature conclusions on who was responsible for blowing up the Nord Stream pipelines, suggesting the attack could also have been a “false flag” operation to blame Ukraine.
Yani unatoa ela mwenyewe unanunua kitu alafu unafurahi umepata faida[emoji23][emoji23][emoji23].Hii Vita imeyapa faida kubwa mno makampuni ya kuzalisha silaha huko Marekani.
Putin ana washauri wa hovyo sana.
Nadhan hata makusanyo ya Kodi kimlingano wao na sisi tumewazid mnoYani unatoa ela mwenyewe unanunua kitu alafu unafurahi umepata faida[emoji23][emoji23][emoji23].
Ukraine kwa sasa aina uwezo wa kununua hata bunduki 20.silaha zote ela wanatoa wenyewe wamarekani.sasa hapo kuna faida gani?
Baada ya kushindwa leopard na abram Sasa mnataka fighter jets.
Nchi nyingi za ulaya zimeweka oda ya kununua silaha kwa wingi kutoka kwa Makampuni ya Marekani mfano himars, F-35 n.k ili kujilinda dhidi ya Urusi mfano Poland, Ujerumani, mataifa ya Baltic, Australia, Canada .......huoni faida hapoYani unatoa ela mwenyewe unanunua kitu alafu unafurahi umepata faida[emoji23][emoji23][emoji23].
Ukraine kwa sasa aina uwezo wa kununua hata bunduki 20.silaha zote ela wanatoa wenyewe wamarekani.sasa hapo kuna faida gani?
Ufafanuzi wako ni nini?Unajua hata maana ya facist au unaongea tu
SafiiUfafanuzi wako ni nini?
Unaonaje hiyo?
"Tabia za ufashisti ni uzalendo mkali, utawala wa kidikteta, ukandamizaji wa upinzani wote, na majaribio ya kuathiri sehemu zote za jamii na pia za uchumi."
Naona hajafika bado 100% lakini anajitahidi!
Brother sorry punguza vichekesho wengine tunaumwa aisee kucheka sana tunajeuri mwiliNasikia KK security wa Urusi wamerusha makoleo ya kutosha Ukraine nzima jana usiku
Yakipitishwa Moldova hayatunguliki?Leo tumepigwa mvua ya mabomu
Ukrainian air defence shot down 34 of 81 missiles launched overnight. Russia launched 28 Kh-101, 20 Kaliber, 6 Kh-22, 6 Kh-47 Kindzhal, 2 Kh-31P, 6 Kh-59, 13 S-300 and 8 Shahed drones Ukrainian air defence shot down 34 of 81 missiles launched overnight. Russia launched 28 Kh-101, 20 Kaliber, 6 Kh-22, 6 Kh-47 Kindzhal, 2 Kh-31P, 6 Kh-59, 13 S-300 and 8 Shahed drones Kyiv - Ukraine Interactive map - Ukraine Latest news on live map - liveuamap.com https://t.co/j18pq33ARv
Mrusi mshenzi sana baada ya kuona yanatunguliwa sana leo kayapitisha moldova