D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
👏👏👏👏👏👏👏👍👍👍👍🇷🇺💪💪🙏Nikujibu tu ndugu yangu umshana ili na wewe upate werevu. Usichanganye vitu viwili hapa.
1. VSTOL
2. VTOL
these are two different things. VSTOL maana yake ni vertical/Short take off and Landing. Hii maana yake ni kwamba, ndege hii inauwezo wa kutumia run way fupi sana kuweza kutake off ...less than 100m ikiwa iko loaded na mzigo wa silaha . Japo inauwezo wa kupaa wima endapo haina mzigo, maana engine zake haziko powerful enough kuinuka vertically ikiwa na mzigo. Kwa military aircraft kupaa wima bila silaha ni upuuzi. Unapaa kuelekea wapi kama huna silaha onboard.
VTOL maana yake ni vertical takeoff and landing. Hii haiitaki runway kabisa ili ipae. Na inapaa vertically ikiwa loaded na mzigo wa kutosha wa ammunitions na ikiwa combat ready. Ina very powerful engines kwaajili ya ilo zoezi. Iyo sasa ndo Yak 141 ya msoviet. VTOL technology is morr sophisticated compared na ya VSTOL.
Hoja ya pili kuhusu mwanahisabati wa Usoviet na baba wa Stealthy. Soviet haikutambua umuhimu wa theory za bwana Ufirmstev kwa vile stealthy technology sio kipaumbele kwenye military doctrine ya mrusi. Mrusi doctrine yake sio kuja kukushambulia kwa kujificha, yeye anatuna hypersonic missile ambayo mtaiona kwa macho, na kwenye radar mtaipiga na picha kama wanavyofanya waukraine na hamtaweza kuizuia. Alihitaji theories za aina hii, sio zile za kuja kwa kujificha
Mwisho tu niseme, limitations za stealthy aircrafts ni nyingi kuliko faida zake. Ziko poor in manuvability, inabeba mzigo mdogo sana kwneye internal bay, na mlango wa bay ikifunguka tu inaonekana hata na radar za hali ya hewa. Pia zinaweza kuwa detected with easy with ground based NEBO radar na kutuma chuma kuishusha.
Tujikumbushe kilichoikumba f117 ilivyotunguliwa na kombora ya begani kule Yugoslavia.
Mkuu,[emoji636][emoji632]Rishi Sunak has arrived in Paris for the first UK-France summit in five years.
The French and British leaders intend to discuss a range of issues, including the war in Ukraine and rebuilding relations after Brexit.
[emoji328]: Twitter / Rishi Sunak
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hizo €29mil hapo Ukraine ni kama unamwaga ndoo ya maji kwenye bahari na kutarajia bahari kujaa.[emoji1103] Finland will provide Ukraine with €29 million in humanitarian aid and development cooperation support, the Ministry of Foreign Affairs of Finland reported.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
In Bakhmut, Wagner forces neutralized Ukrainian army T-72AV (pics1-2)
Geolocation: 48°35'22.9"N 38°01'51.2"E
and T-64BV (pics3-4)
Geolocation: 48°35'23.0"N 38°01'53.5"E
Cr: @1_plus_1equals3View attachment 2544700View attachment 2544702View attachment 2544703
Ipo hivi.. Israel ndiye aliyeunda taifa la US kwa structure unayoiona sasa hivi. Na pia Israelis ndio wanamiliki EU.Duuuuh Kwann Sasa
Kwamba Israel kaanza kuenda Kinyume na mabosi wake us na EU
Naskia nae zelensky ni mu Israel by origin
HaujaelewaWegner amechakazwa au sijaelew lugha kdogo
Safii [emoji28]Ukraine has decided to fight on in the ruined city of Bakhmut because the battle there is pinning down Russia's best units and degrading them ahead of a planned Ukrainian spring counter-offensive, an aide to President Volodymyr Zelenskiy said
Mkuu naomba nichangie kwenye ili.Russia has seized some of the American weapons that had been supplied to Ukraine, CNN reported, citing Pentagon sources.
According to them, the Russians sent samples of the captured weapons to Iran in order to try to use them to create similar weapons.
It is noted that among the samples passed there are anti-armor systems, javelins, and man-portable air defense systems.
It is unclear whether Iran has successfully re-engineered any of the U.S. weapons seized in Ukraine, but Tehran has shown great experience in developing weapons systems based on American equipment seized in the past, the article says.
Unachekelea blah blah blah za Zelenks