Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

👏👏👏👏👏👏👏👍👍👍👍🇷🇺💪💪🙏
 
Mkuu,

Hivi safari za PM wa UK nazo zinakuwaje ni habari ya Ukraine.
 
[emoji1103] Finland will provide Ukraine with €29 million in humanitarian aid and development cooperation support, the Ministry of Foreign Affairs of Finland reported.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hizo €29mil hapo Ukraine ni kama unamwaga ndoo ya maji kwenye bahari na kutarajia bahari kujaa.

Zimeshateketea zaidi ya $180+bil na maeneo yamezidi kuchukuliwa.
Sasa hiyo €29mil itasaidia nini.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Gaidi la Ukraine limeuwawa.

Ukrainian Nazi Dmytro Kotsyubaylo, nicknamed “Da Vinci” has been killed in Bakhmut.
He had a pet wolf and once told people that he’d feed it the “bones of Russian children”

Zelensky called him a “Hero of Ukraine”.

Notice how pro-Ukraine accounts never mention his ideology
 
Mkuu naomba nichangie kwenye ili.

Ninachokiona hapa ni kwamba "Sio kwamba amewapa Iran", kinachotokea sasa hivi ni kwamba. Hata huku kwenye military kunafanyika sana outsourcing/offshoring. Kwenye risks mitigation perspective.

Kumbuka pia, Russia ameanza kuwekewa vikwazo tokea 20012, alipoanza kumsaidia President Asaad. Kwa hiyo lazima kuna risks mitigation atakuwa amezifanya.

Kinachoonekana, Russia ana collaborative relationship na Iran kwenye development ya silaha. Na inavyoonekana kuna viwanda vya pamoja vya kutengeneza hizi conversational weapons.

Ni structure ambayo ipo complex lakini naona kabisa kuna outsourcing/offshoring kubwa sana imefanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…