Ni muisrael feki yaani manazi yaliyoua waisrael million SITA wakati wa WW2Duuuuh Kwann Sasa
Kwamba Israel kaanza kuenda Kinyume na mabosi wake us na EU
Naskia nae zelensky ni mu Israel by origin
Hii technique ya Russia kutumia Wagner PMC kama main troops kwenye hii SMO ni technique nzuri sana.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
A lot of former Afghan special forces joined Wagner after the 2021 Taliban victory. These SOFs lost their jobs and were rejected by the new Taliban government.
They were then accepted by Wagner and now operate in many areas of the front including Bakhmut.View attachment 2544751View attachment 2544752
Umelishwa matango pori na ukayameza hivo hivo bila kujiongeza. Ya kuambiwa changanya na yako.Ipo hivi.. Israel ndiye aliyeunda taifa la US kwa structure unayoiona sasa hivi. Na pia Israelis ndio wanamiliki EU.
US and EU are subordinates to Israelis.
The impossible RussiaJosep Borrell said that the EU's ability to impose sanctions against Russia is almost exhausted, there are "not many options left" in this area
I see Rudi shuleWegner amechakazwa au sijaelew lugha kdogo
Yaani hapo kwa huyo utakesha. Tushaimbishana sana kuhusu hili lkn wapi.Stealthy against what chief.....Wewe unahitaji stealthy fighter against Su-57 au against air defence raders. Kama its against Su-57 mmepotea. Maana we don't do dog fights in a modern warfare. Ila tukilazimika kufanya tutafanya na su 57 its better off kwenye manuvability kuliko anything from the west.
Uzuri umekiri, lengo ni kupenetrate deep into enemy airspace na kudestroy their defenses na iyo ni wazi kwa Mrusi haiwezekani.
Your stealthy technology behind F35 ni against short wave radars tu...ila mko uchi against long wave radars na ground stationed radas kama NEBO radar.
Pia siku hizi kuna radar picking stations zinazowork as a network. Tutatuma signal kwako, wewe uta zideflect ziende pembeni zisirudi kwangu, ila uko pembeni uliko zideflect zitakuwa picked up na rader receivers, tutaua tu uliko..na tutakutungua asubuhi tu.
Iyo stealthy ya f35 ingekuwa superior, Mturuki asingekuwa na interest ya kununua air defence s400 ya mrusi. Na saivi mnataka kumwondoa kwenye program ta f35 maana mnajua atatoboa siri.