Mara hii wameanza kukubali uwezo wa mu Irani ......kweli hii vita tutaona mengi[emoji23]Russia has seized some of the American weapons that had been supplied to Ukraine, CNN reported, citing Pentagon sources.
According to them, the Russians sent samples of the captured weapons to Iran in order to try to use them to create similar weapons.
It is noted that among the samples passed there are anti-armor systems, javelins, and man-portable air defense systems.
It is unclear whether Iran has successfully re-engineered any of the U.S. weapons seized in Ukraine, but Tehran has shown great experience in developing weapons systems based on American equipment seized in the past, the article says.
Inawezekana pesa zinaingia mfukoni ...... Coz naona zelensky ameanzisha kampeni ya anti corruptionHizo €29mil hapo Ukraine ni kama unamwaga ndoo ya maji kwenye bahari na kutarajia bahari kujaa.
Zimeshateketea zaidi ya $180+bil na maeneo yamezidi kuchukuliwa.
Sasa hiyo €29mil itasaidia nini.
Mzee Biden atahuzunika sana .....akiisikia hiiSeneta wa Marekani asema kuwa Marekani haina ulinzi dhidi ya makombora ya Urusi. Urusi bado ina tishio kubwa la nyuklia kwa Amerika, anasema Roger Wicker Mjumbe wa Kamati ya Seneti ya Huduma za Silaha. Marekani haina njia za ulinzi dhidi ya silaha za kimkakati za kisasa za urusi.
Sidhani. Kwanza Putin si mjinga vile kupoteza pesa yake kwa Wagner, pili wakati Prigozhin anamiliki Wagner hapendwi kwa sasa na hapa sababu Prigozhin anaendelea kulialia ana matatizo kupata risasi. (hii hadithi ya kitoto eti Prigozhin analia tu kwa sababu anaweka mtego kwa ukraine waamini hana risasi ili wamshambulie - hiyo acha tu....)Na pesa Ulaya wanazolipia gesi ya Urusi ndiyo Urusi anazitumia kuwalipa Wagner wanaopigana Ukraine.
Sasa hata angekuwa yeye zelensky ......angekubali watu wake wafe njaa .....Kwa ujinga wa mtu mwingine....Kuna wakati unaweza ukajikuta mpumbavu Ila Basi kwa vile unaongozwa View attachment 2544832View attachment 2544833View attachment 2544834
Ni kweli kuna roketi hizo mpya kabisa ambazo hazizuiliwi. Ila Urusi imeonyesha haina uwezo (bado?) kuziandaa kwa idadi kubwa, jinsi tunavyoona sasa. Halafu silaha kuu kati ya Urusi na Marekani ni roketi za nyuklia - hapo hizo chache hypersonic si muhimu sana. Ulinzi wa kila upande (Urusi na Marekani) ni uwezo wa kumwangamiza adui hata kama adui anafaulu kuharibu nchi yote.Seneta wa Marekani asema kuwa Marekani haina ulinzi dhidi ya makombora ya Urusi. Urusi bado ina tishio kubwa la nyuklia kwa Amerika, anasema Roger Wicker Mjumbe wa Kamati ya Seneti ya Huduma za Silaha. Marekani haina njia za ulinzi dhidi ya silaha za kimkakati za kisasa za urusi.
Angalau Ukraine walifaulu kuvalisha nguo za baridi askari wote - ilhali askari Warusi mara kwa mara wanalalamika wanapaswa kununua nguo wenyewe (au hawapati) kwa sababu sehemu kubwa ya akiba imeshaibiwa.Inawezekana pesa zinaingia mfukoni ...... Coz naona zelensky ameanzisha kampeni ya anti corruption
Mkuu hich kitabu kama unacho naomba msaada nipatie PDF yakeView attachment 2544744
Kuna lililofanikiwa?
![]()
Extending Russia: Competing for Advantageous Ground
The United States is locked in a great-power competition with Russia. What are Russia's greatest anxieties and vulnerabilities? How might the United States exploit these vulnerabilities? And what are the potential costs and risks of doing so?t.co
T-90 tank zikielekea Ukraine.hakika Urusi sio Zimbambwe.
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
A lot of former Afghan special forces joined Wagner after the 2021 Taliban victory. These SOFs lost their jobs and were rejected by the new Taliban government.
They were then accepted by Wagner and now operate in many areas of the front including Bakhmut.View attachment 2544751View attachment 2544752
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wakati huo biden yupo ....anadondoka dondoka ovyo kama ugonjwa wa kideli na kifafa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huwa nacheka sana nikimsikia mtu ana waona usa ni mabigwa wa vita kwa sababu yq kuji promoti sana ...kumbe si chochote si lolote[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Baada ya kazi nzuri makamanda wana kula upepo safiiiiiil V. Putin na Waziri na Ulinzi Shoigu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2544795
Habari hii haitakubaliwa na wamarekani wa kibaigwa,nyakasungwa,kalebezo,msoga,itungi,lupaso na mwakaleli.USA yakili nchi pekee iliyo na silaha za maana za hypersonic ni Russia pekee hata wao hawana silaha za kiwango hicho.
🇷🇺🚀🇺🇸The US intelligence service said that only Russia has strategic hypersonic missiles
Washington claims that they are not working on the creation of hypersonic missiles capable of carrying a nuclear charge
The United States is not in service, and Washington is not working on the creation of hypersonic missiles capable of carrying a nuclear charge, which are in service with Russia. This statement was made on Friday by a leading researcher of US military intelligence,Gerry L. Freisthler, at a hearing in the subcommittee on strategic weapons of the House of Representatives of the US Congress.
"The Russian Avangard system is the only deployed hypersonic strategic system in the world," he said.
To a clarifying question from one of the committee members whether this means that the United States does not have similar hypersonic strategic systems in service and is not planned, none of the participants in the hearings did not answer. The director of the Department of the US Department of Defense, Michael Horowitz, explained at the same time that the issue of creating hypersonic strategic weapons relates to political topics, while the defense departments carry out the tasks assigned to them. "We are creating hypersonic systems for regional purposes, which, as we believe, can solve strategic tasks," he said.
At the same time, Michael White, Deputy director for hypersonic Development in the Pentagon's Research and Development department, admitted that none of the countries in the world, according to US estimates, currently has the capabilities to protect against hypersonic weapons. "The laws of physics are the same for everyone, and we and Russia face the same challenges in this area," he said.
Kwa hiyo Wagner wanapigana bure!? Yaani Pmc mamluki wapigane bure!?Sidhani. Kwanza Putin si mjinga vile kupoteza pesa yake kwa Wagner, pili wakati Prigozhin anamiliki Wagner hapendwi kwa sasa na hapa sababu Prigozhin anaendelea kulialia ana matatizo kupata risasi. (hii hadithi ya kitoto eti Prigozhin analia tu kwa sababu anaweka mtego kwa ukraine waamini hana risasi ili wamshambulie - hiyo acha tu....)