Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Angalau Ukraine walifaulu kuvalisha nguo za baridi askari wote - ilhali askari Warusi mara kwa mara wanalalamika wanapaswa kununua nguo wenyewe (au hawapati) kwa sababu sehemu kubwa ya akiba imeshaibiwa.
[emoji23][emoji23][emoji23] mtu kama huyu siwezi nikapoteza muda wangu kwa kubishana nae.huyu ndo mmoja wa wale wanaoangalia movie za Rambo alafu wanakuja nazo hapa[emoji1787][emoji1787]
 
Habari hii haitakubaliwa na wamarekani wa kibaigwa,nyakasungwa,kalebezo,msoga,itungi,lupaso na mwakaleli.
Ambao humu Kila siku wanaiita Urusi kama Supapawa wa mchongo,Mandonga,kubwa jinga.
Wakati wao ndio makubwa jinga.
Siwataji wanajijua wamo humu.
Hapana Mzee ......huku mwakaleli hatuna watu mdebwedo .....(pro west)

Huku kazi kaz
 

Mercenary group boss 'likely overestimated his favour with Putin'​

Tensions between the Kremlin and the private military group Wagner have been well-documented over the last few months.

Russia analyst Kateryna Stepanenko, from think tank The Institute for the Study of War, has said that Mr Prigozhin "likely overestimated his favour with Putin and the combat effectiveness of his forces in hopes that achievements in Ukraine would secure him a spot near Putin".

Speaking to The Cipher Brief, she said: "Prigozhin likely imagined his efforts in Ukraine would continue to lend him military and political power in Russia.

"But Prigozhin began to exploit the Russian information space – and his prominence – to attack the Russian Ministry of Defense and Russian military command in hopes of pursuing his commercial and political objectives such as the legalisation of Wagner in Russia."

In response, she says the Kremlin has been "increasingly marginalising" him and siding with the Russian Ministry of Defence.
Reports have also emerged that the Kremlin and Russian MoD are forming new private military forces.

Ms Stepanenko says this is "likely in an effort to displace private military companies like Wagner".
========================

Kwisha habari yake huyu, katumika tu sasa katoswa.

Shetani hana rafiki.
 
Habari hii haitakubaliwa na wamarekani wa kibaigwa,nyakasungwa,kalebezo,msoga,itungi,lupaso na mwakaleli.
Ambao humu Kila siku wanaiita Urusi kama Supapawa wa mchongo,Mandonga,kubwa jinga.
Wakati wao ndio makubwa jinga.
Siwataji wanajijua wamo humu.

Mmemtag yule jamaa wa nyeto?? Tukiwaambiga US kwa Russia ni mtoto hawaelewi
 
Kumbe Urusi inaendelea kupeleka gesi Ulaya maana bila gesi hiyo uchumi wa Ulaya usingestawi jinsi unavyostawi sasa. Gesi ya Urusi inaendesha viwanda vinavyozalisha silaha zinazotumwa Ukraine. Hii unafurahia???
Unaujua msemo wa BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA !!!?? SASA MRUSI NDIO BANIANI MWENYEWE NA GESI NDIO KIATU CHAKE...NI DAWA KWA UCHUMI WA ULAYA....tuliwaambia mkakaza shingo..... Vip mbona wameongeza manunuzi!!??
 
Habari hii haitakubaliwa na wamarekani wa kibaigwa,nyakasungwa,kalebezo,msoga,itungi,lupaso na mwakaleli.
Ambao humu Kila siku wanaiita Urusi kama Supapawa wa mchongo,Mandonga,kubwa jinga.
Wakati wao ndio makubwa jinga.
Siwataji wanajijua wamo humu.
Nyakasungwa na kalebezo hakuna nyoronyoro.....
 

Mercenary group boss 'likely overestimated his favour with Putin'​

Tensions between the Kremlin and the private military group Wagner have been well-documented over the last few months.

Russia analyst Kateryna Stepanenko, from think tank The Institute for the Study of War, has said that Mr Prigozhin "likely overestimated his favour with Putin and the combat effectiveness of his forces in hopes that achievements in Ukraine would secure him a spot near Putin".

Speaking to The Cipher Brief, she said: "Prigozhin likely imagined his efforts in Ukraine would continue to lend him military and political power in Russia.

"But Prigozhin began to exploit the Russian information space – and his prominence – to attack the Russian Ministry of Defense and Russian military command in hopes of pursuing his commercial and political objectives such as the legalisation of Wagner in Russia."

In response, she says the Kremlin has been "increasingly marginalising" him and siding with the Russian Ministry of Defence.
Reports have also emerged that the Kremlin and Russian MoD are forming new private military forces.

Ms Stepanenko says this is "likely in an effort to displace private military companies like Wagner".
========================

Kwisha habari yake huyu, katumika tu sasa katoswa.

Shetani hana rafiki.
Mchaw lugha

"likely" nyingi mno kwenye hilo bandiko

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Vladimir Zelensky alalamika kuwa baadhi ya nchi za EU na NATO zinaisaidia Ukraine tu "kwa ajili ya kujionyesha", huku zikikwepa vikwazo na kuongeza kufanya biashara na Urusi na kupata makumi ya mabilioni ya dola ili kukwepa vikwazo. "Kwa upande mmoja, wanaunga mkono Shirikisho la Urusi. Hii inafanywa na nchi nyingi, hata zile ambazo ni wanachama wa Umoja wa Ulaya au wanachama wa NATO," Zelensky alisema katika mkutano na waandishi wa habari na Waziri Mkuu wa Finland Sanna Marin huko Kiev bila kutaja nchi zenyewe.
🤣🤣🤣🤣🤣 naona kama Zele kashavurugwa sasa alifikiri vita ni comedy alizozizoea kufanya
 
West Ditching Kiev? – CrossTalk

The sabotage of the Nord Stream pipelines is back in the headlines in a big way. American and German media outlets have hinted that a so-called 'pro-Ukraine group' might have been behind the attack, but little evidence has been provided. Is the West starting to have second thoughts about the Kiev regime?

CrossTalking with Wilmer Leon, Jim Kavanagh, and Sara Flounders.

Watch the full episode here.

Subscribe to RT
 
Unaujua msemo wa BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA !!!?? SASA MRUSI NDIO BANIANI MWENYEWE NA GESI NDIO KIATU CHAKE...NI DAWA KWA UCHUMI WA ULAYA....tuliwaambia mkakaza shingo..... Vip mbona wameongeza manunuzi!!??
Tena haya mashoga yalienda mbali zaidi,yakadai sijui kuna teknolojia imevumbuliwa ya ulaya kuishi bila mafuta au gesi ya mrusi!!
 
Screenshot_20230311-073446_Telegram.jpg
 
Ukraine has decided to continue fighting in Bakhmut canbecause the battle is pinning down Russia’s best units and degrading them ahead of a planned Ukrainian spring counter-offensive, an aide to President Volodymyr Zelenskiy has said.

Wagner mercenary group chief Yevgeny Prigozhin said Ukraine was preparing a counteroffensive near Bakhmut.

“Yes, it is a well-known fact that the enemy is preparing a counteroffensive. Of course, we are doing everything we can to prevent this from happening,” he said on Telegram.
 
Back
Top Bottom