Watu wamefika sehemu na kusema kiongozi wa Russia ni kati ya wale AntiChrist yeye kumwaga damu za watu ndio furaha kwake, akiangalia kwenye Tv watu wanavyokufa pale Ukraine kwa mashambulizi ya Kinzhal missiles an Shahed anacheka sana na kujiona yeye ni mwamba wa Karne hii, nakumbuka kuna kauli moja alipata kuisema kwamba yeye kazi yake ni Kuua wakakutane na hukumu huko juu.
Baada ya kumwaga damu za watu Ukraine na kuona hazitoshi hatimaye Jamaa ameelekea pale Georgia na kuwapiga biti kinachoendelea Ukraine na wawo watakipata soon hili limekuja baada ya wananchi wa Georgia kupinga sera zilizoletwa na mapandikizi ya Klemlin sera ya kuwagandamiza Wageorgia hili lilipelekea raia wa Georgia kuingia kitaa bila kujali maji ya washawasha wala mabomu ya machozi hatimaye nguvu ya umma ilishinda na muswada kuchomolewa bungeni.
Wageorgia wamekataa kuwa mateka wa mrusi kama Belarus and Chechnya ambao wamekubali kuongozwa na rimoti toka Kremlin wamekubali kuwa mateka wa Mrusi, walichokipigania Georgia ndicho wanachokipigania Ukraine kwani hata kwenye maandamano walikua wanapiga wimbo wa Taifa wa Ukraine
Georgia wanakumbuka Vita mbaya ya Russo-Georgian war ambapo mrusi alivamia na kuwaua raia wengi wasiokua na hatia mwaka 2008 na kuliteka eneo la Ossetia kumbe basi hii ndio tabia ya Urusi nchi inayoaamini katika ubabe na vita, wao damu ya mtu sio chochote sio kitu.
Russia watambue watu wa vizazi hivi wanajielewa na sio kuwatisha na vifaru vyake vya Kisoviet.
View attachment 2545712