Tatizo pro west wengi wanaamini taarifa zinazotolewa na media zao bila kushirikisha hata akili zao,
Waliaminishwa Russia yuko weak kiuchumi hawezi kuhimili vita vya muda mrefu, kwa sasa wameona mambo ni tofauti.
Wakaaminishwa Russia hana silaha na man power hivyo ndani ya siku 10 SMO ita cease, bila kushirikisha akili zao kwamba Russia ni mojawapo ya nchi zenye jeshi kubwa by number na ni producer mkubwa wa silaha, wenyewe wakaamini taarifa hiyo kwamba hana man power na ana changamoto ya silaha
View attachment 2543635
Waliaminishwa kwamba vikwazo ambavyo Russia aliwekewa na "international community" vitasabanisha uchumi wa Russia kuyumba na vitafanya Russia akose hela kugharamikia vita hivyo angerudisha majeshi ila wakawa surprised vikwazo havikufanya yaliyotarajiwa na west wakaanza kuulizana
View attachment 2543637View attachment 2543638
Wakaaminishwa pia
"Russia is resorting to putting computer chips from dishwashers and refrigerators in tanks due to US sanctions"
Russia's two major tank plants — Uralvagonzavod Corporation and Chelyabinsk Tractor Plant — have "halted" work due to lack of foreign components
View attachment 2543644
Ila medvedev alienda kiwandani na mzigo ulikua unaendelea kuwa produced kama kawaida na akasisitiza waboost production.
Wajuvi wa mambo watueleze bado Russia anatumia semiconductors kutoka kwenye friji na dishwasher kwenye kufix tanks zake?
View attachment 2543649