Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Stealthy against what chief.....Wewe unahitaji stealthy fighter against Su-57 au against air defence raders. Kama its against Su-57 mmepotea. Maana we don't do dog fights in a modern warfare. Ila tukilazimika kufanya tutafanya na su 57 its better off kwenye manuvability kuliko anything from the west.

Uzuri umekiri, lengo ni kupenetrate deep into enemy airspace na kudestroy their defenses na iyo ni wazi kwa Mrusi haiwezekani.

Your stealthy technology behind F35 ni against short wave radars tu...ila mko uchi against long wave radars na ground stationed radas kama NEBO radar.

Pia siku hizi kuna radar picking stations zinazowork as a network. Tutatuma signal kwako, wewe uta zideflect ziende pembeni zisirudi kwangu, ila uko pembeni uliko zideflect zitakuwa picked up na rader receivers, tutaua tu uliko..na tutakutungua asubuhi tu.

Iyo stealthy ya f35 ingekuwa superior, Mturuki asingekuwa na interest ya kununua air defence s400 ya mrusi. Na saivi mnataka kumwondoa kwenye program ta f35 maana mnajua atatoboa siri.
Mkuu tafadhali urudi kujisomea kidogo. Dogfight imekwisha?? Sawa haiwi kama zamani. Ila je kwa nini wote wananunua hizi ndege wavindaji (fighter aircraft)??
Fighter aircraft are fixed-wing military aircraft designed primarily
for air-to- air combat.

Ndege hizo huwa na rada ili watambue ndege nyingine kwa umbali mkubwa. Kama adui haonekani au ukichelewa kumwona kwa sababu ana stealth - ni faida ya nani?
Kama kusudi la stealth ni "deep penetration" pekee unavyodai - kwa nini nchi zinatumia pesa nyingi kuboresha stealth kwa hizo fighter ambazo haziendi mbali sana?
Jisomee halafu urudi ili tujadiliane.
 
Sio rader, ni radar. Na sitajibu kuhusu radar, radar zenu za ukweli zilikuwepo hapa kwenye airbase wakati A-50 inarekodiwa hivi, ingeshambuliwa bila kizuizi chochote

Hiyo Turkey ilinunua S-400 baada ya Marekani kuigomea kuiuzia Patriot. Yaani iliona bora uchukue makombo kuliko kukosa bure, Turkey ingeanza kabisa na kuitaka S-400 kama unajitapa hapa. Bishana na Waziri wa Ulinzi wa Uturuki hapa👇

"When Turkey needed an air defense system, it primarily made an effort to get this system from its NATO allies. Unfortunately, our NATO allies were, citing various different excuses, unable to give an air defense system to Turkey," Mevlut Cavusoglu told reporters in Qatar, after a meeting with his Russian and Qatari counterparts on Syria.

"Thus, in such cases, we have to buy defense systems from different sources," he explained.

Source ni Anadolu Agency, bishana na shirika la utangazaji la serikali ya Uturuki hapa 'No one can criticize Turkey for buying S-400s'

F-35 ni superior ndio maana Uturuki ilikuwa kwenye programu ya kutengeneza components na ilichangia hela, baadae ikafukuzwa iliponunua S-400. Badala yake, India ilijitoa kwenye deal ya Su-57 kipindi bado inaitwa PAK-FA. India ikaenda kubangaiza na jet yake ya HAL Tejas, ilikuwa ishashiriki na ishachangia hela ikaja gundua wakati project inaendelea kwamba ndege yenyewe ni utapeli haina capabilities inazotaka. Tofautisha India iliyojitoa yenyewe kwenye mradi wa Su-57 dhidi ya Uturuki iliyoondolewa kwenye F-35 na ikalalamika.

Na Uturuki imechagua option ya kuongezewa F-16 block iliyokuwa developed hivi karibuni. Kwenye ile zaidi ya $1 billion yake iliyowekeza kwa F-35, Uturuki haijataka kupewa hela ikanunue ndege kwingine. Sasa kaa hapo ulinganishe silaha za superpower dhidi ya nchi isiyotengeneza laptop wala smartphone.

Ufaransa mwaka huu ndio kawa mpinzani wa ndege za Marekani, wiki hii Indonesia wamesema wanaongeza ndege 18.
 
As i said chief.... Military doctrine zinatofautiana. The west wao wao wamewekeza huko kwani doctrine yao inawaongoza kwenye ilo, waone ndege ya adui kabla adui hajamwona...which is good kwa upande wao.

The russians wao wana doctrine tofauti, hawana mpango wa ndege zao kutoonekana mapema uko angani, wao wanaongozwa na doctrine kwamba radar zao zikuone mapema na zikutungue kupitia AD systems ambazo wanazo bora zaidi kuwazidi. We dont risky of pilot life kwenye air to air battle ambayo a simple SAM inaweza ikamalizana nayo.

Though the fighter jets for arial battles anazo, na ziko vizuri sana zikukutana na kina f15/16 au kina typhoon na mwenzie mirage. Hata uyo f35 ambae kugeuka tu angani ni shughuli.
 
Nikajua ubishi wa Su-57 vs F-35 ushaisha kumbe bado kuna watu hawakubali. Kwanini mnalinganisha ndege isiyo na injini yake dhidi ya true 5th generation aircraft.

F-35 haina haja ya kuwa na payload kubwa, kazi yake ni kufanya penetration within enemy airspace undetected, kuharibu au kupumbaza AD systems kisha ndege zenye payload kubwa kama F-15 zinaingia. Huwezi kuwa na jets zote kazi moja. Kazi ya jet fighters F-16, F-15, F-22, F/A-18 na F-35 zinatofautiana ila zinakamilishana. Bado EA-18 Glowler kwenye navy uko.

Sasa Russia ana air superiority fighter ni Su-35, hiyo ndio inatakiwa iwe na speed, manouvre, range na mbwembwe zote hizo. Alipoifanya Su-57 iwe na manouvre kubwa, rate of turn, speed na vitu kama hivyo sio lazima Marekani afanye hivyo. Tujue Marekani ana F-22 stealth ya kufanya hizo kazi. Kwahiyo Su-57 hata haishindani na F-35 bali inaelekeana na F-22.

Marekani ishaacha mambo ya kutegemea manouvre angani, you can't outrun the missile labda uwe na American SR-71 Blackbird, tofauti na hapo hizo manouvre hazitakusaidia kama stealth yako ni viwango duni na adui anakuona kabla hujamuona. Anayemuona mwenzake mapema ndio anamuua, F-35 imewekezwa kwenye radar, communication na sensors kwa sababu hiyo
Ujinga mtupu,kwani kuna shida gani kuwa na jet zote kazi moja?,
wewe jamaa kila kitu cha west ni bora hata kwa kuona tu hauna maarifa bali kupendelea mapenzi.
 
Nikujibu tu ndugu yangu umshana ili na wewe upate werevu. Usichanganye vitu viwili hapa.

1. VSTOL
2. VTOL
these are two different things. VSTOL maana yake ni vertical/Short take off and Landing. Hii maana yake ni kwamba, ndege hii inauwezo wa kutumia run way fupi sana kuweza kutake off ...less than 100m ikiwa iko loaded na mzigo wa silaha . Japo inauwezo wa kupaa wima endapo haina mzigo, maana engine zake haziko powerful enough kuinuka vertically ikiwa na mzigo. Kwa military aircraft kupaa wima bila silaha ni upuuzi. Unapaa kuelekea wapi kama huna silaha onboard.

VTOL maana yake ni vertical takeoff and landing. Hii haiitaki runway kabisa ili ipae. Na inapaa vertically ikiwa loaded na mzigo wa kutosha wa ammunitions na ikiwa combat ready. Ina very powerful engines kwaajili ya ilo zoezi. Iyo sasa ndo Yak 141 ya msoviet. VTOL technology is morr sophisticated compared na ya VSTOL.

Hoja ya pili kuhusu mwanahisabati wa Usoviet na baba wa Stealthy. Soviet haikutambua umuhimu wa theory za bwana Ufirmstev kwa vile stealthy technology sio kipaumbele kwenye military doctrine ya mrusi. Mrusi doctrine yake sio kuja kukushambulia kwa kujificha, yeye anatuna hypersonic missile ambayo mtaiona kwa macho, na kwenye radar mtaipiga na picha kama wanavyofanya waukraine na hamtaweza kuizuia. Alihitaji theories za aina hii, sio zile za kuja kwa kujificha

Mwisho tu niseme, limitations za stealthy aircrafts ni nyingi kuliko faida zake. Ziko poor in manuvability, inabeba mzigo mdogo sana kwneye internal bay, na mlango wa bay ikifunguka tu inaonekana hata na radar za hali ya hewa. Pia zinaweza kuwa detected with easy with ground based NEBO radar na kutuma chuma kuishusha.

Tujikumbushe kilichoikumba f117 ilivyotunguliwa na kombora ya begani kule Yugoslavia.
Mkuu kwa kifupi sana: stealth si faida tu ukishambulia, ni pia faida ukijitetea. Kwa nini askari anayesubiri kushamuliwa analenga kujificha ila mshambuliaji asimtambue??
Vivyo hivyo fighter aircraft inayotetea nchi ikiwa na stealth itakuwa na uwezo mkubwa kuliko ndege isiyo na stealth.
HAdithi zako kuhusu shabaha za jeshi la USSR ni ushairi. Walijiandaa kabisa kwa mashambulizi (na pia kwa utetezi). Maana wakitegemea silaha za nyuklia kama zuio la kushambuliwa (deterrence), walijiandaa pia kwa mashambulizi makali.
 
Ujinga mtupu,kwani kuna shida gani kuwa na jet zote kazi moja?,
wewe jamaa kila kitu cha west ni bora hata kwa kuona tu hauna maarifa bali kupendelea mapenzi.
Jamani kadri elimu inavyopungua matusi yanazidi!
Ndiyo, kuna shida kubwa kuwa na jet zote kazi moja. Hapo ndipo sababu Warusi na Marekani wamebuni ndege tofautitofauti kwa kazi tofauti.
 
Wewe umeona tusi hapo?,kumwambia mtu ni mjinga si tusi hata kidogo.

inachukiza sana kuona watu waongo,kuhusu elimu ninayo ya kutosha sana tu,ukitaka useme.

Mkuu hem ongea ukweli tu bila kulalia upande wowote,unadhani urusi ni dhaifu kwa US na NATO?,
kama jibu ni ndiyo,swali linakuja kwanini US alianzisha wazo la kuwa na NATO dhidi ya urusi?,maana NATO haipo kwa ajili ya africa au asia.
Na je,kwa mwenendo wa SMO,unadhani US+NATO wanaiweza URUSI?,
 
Sio rader, ni radar. Na sitajibu kuhusu radar, radar zenu za ukweli zilikuwepo hapa kwenye airbase wakati A-50 inarekodiwa hivi, ingeshambuliwa bila kizuizi chochote

Hiyo Turkey ilinunua S-400 baada ya Marekani kuigomea kuiuzia Patriot. Yaani iliona bora uchukue makombo kuliko kukosa bure, Turkey ingeanza kabisa na kuitaka S-400 kama unajitapa hapa. Bishana na Waziri wa Ulinzi wa Uturuki hapa👇

"When Turkey needed an air defense system, it primarily made an effort to get this system from its NATO allies. Unfortunately, our NATO allies were, citing various different excuses, unable to give an air defense system to Turkey," Mevlut Cavusoglu told reporters in Qatar, after a meeting with his Russian and Qatari counterparts on Syria.

"Thus, in such cases, we have to buy defense systems from different sources," he explained.

Source ni Anadolu Agency, bishana na shirika la utangazaji la serikali ya Uturuki hapa 'No one can criticize Turkey for buying S-400s'

F-35 ni superior ndio maana Uturuki ilikuwa kwenye programu ya kutengeneza components na ilichangia hela, baadae ikafukuzwa iliponunua S-400. Badala yake, India ilijitoa kwenye deal ya Su-57 kipindi bado inaitwa PAK-FA. India ikaenda kubangaiza na jet yake ya HAL Tejas, ilikuwa ishashiriki na ishachangia hela ikaja gundua wakati project inaendelea kwamba ndege yenyewe ni utapeli haina capabilities inazotaka. Tofautisha India iliyojitoa yenyewe kwenye mradi wa Su-57 dhidi ya Uturuki iliyoondolewa kwenye F-35 na ikalalamika.

Na Uturuki imechagua option ya kuongezewa F-16 block iliyokuwa developed hivi karibuni. Kwenye ile zaidi ya $1 billion yake iliyowekeza kwa F-35, Uturuki haijataka kupewa hela ikanunue ndege kwingine. Sasa kaa hapo ulinganishe silaha za superpower dhidi ya nchi isiyotengeneza laptop wala smartphone.

Ufaransa mwaka huu ndio kawa mpinzani wa ndege za Marekani, wiki hii Indonesia wamesema wanaongeza ndege 18.

Nashukuru kwa kuwa mwalimu mzuri kwenye issue za maandishi😅😅😅 nimepokea marekebisho (Radar)..typing errors hutokea..nashukuru kwa kunote ilo.

Twende kwenye mada. Shambulio na kutua kwa civilian drone kwenye A-50 aircraft pale Pale Belarus. Kitu kimoja nachoweza kukuhakikishia ni kwamba, Russian RADARs ziko powerful enough kumwona kunguru alie angani 400 kilometres away. Ukiacha hii capability without a proper control utajikuta unatuma makombora mpka kwa njiwa kisa tu wameonekana kwenye radar

Kinachofanyika sasa ni wataalam kuandaa alogarithim sofware ambayo itatofautisha a military threat na natural flying birds of which iyo inafanya vizuri sana.

Kilichotokea Belarus, ni kutumia civilian drone, radar signature ya civilian drone its next to a bird of which can easly be ignored na algorithms za AD , Iyo ni moja, pili civilian drones zinapaa kwenye very low altitude kuwa detected na radar stations zinazoangalia anga. Na yule gaidi ndicho alichofanya na kufanikiwa kuifikia A-50. Iyo sioni kama ni hoja sana ya kuikejeli AD za mrusi.

Kushindwana kwa Mrusi na Muhindi kulikuwa wazi, kufanya project ya pamoja huku kila mtu akiwa na malengo yake within a project lazma mvurugane.
kuna vitu muhindi alikuwa anademand ikiwepo iwe two seaters aircraft kitu ambacho mrusi hakuona sababu ya kufanya hivyo. Na vingine vingi. Issue ya mrusi kumtaoeli muhindi ndo naisikia kwako MNATO.
 
Unaisifia sana f35 chief...soma kuhusu.. Yakovlev Yak-141.. a soviet design ambayo f35 ilienda kucopy design na technology. Yak 141 had its first flight on 1987....mmarekani amekuja na f35 miaka 30 baadae

Naomba nikujibu daktari Doctor Ngariba

Turudi kwenye fizikia ya form 2. Ukiwa Dar es salaam, umesimama kuelekea kaskazini. Ukiulizwa Rwanda iko uwelekeo gani kwenye dira, utasema ni kaskazini magharibi.

Ila ili kuipata location ya Rwanda vizuri kwenye uso wa dunia, mnatakiwa muwe atleast wawili au watatu mkiwa mmesimama location tofauti tofauti.

Mmoja asimame lets say Morroco, mwingine Brazil yeye atasema . Wa morroco anaiona Rwanda Kusini Mashariki, na wa brazil ataiona Rwanda Mashariki. Wote wataiona Rwanda kwenye angle tofauti. So ukicombine visibility ya wote hawa, ndipo utajua eneo Rwanda ilipo.

Same kwenye Target systems. Mfumo unaotumika ni GPS ya mmarekani au Glonass ya Mrusi.

GPS/Glonass ni network ya geostationary satellites ambazo ziko uko anga la mbali. Ziko nyingi na zote zina mulika uso wa dunia. Kwa vile satelite ziko mbali mbali, kila moja inasema inaiona ghala la silaha katika angle flan. So ukipata feeds toka satelite 3 au zaidi, kila moja inakupa angle inapoliona ghala la silaha, then mfumo wa computer unatengeneza coordinates lilipo ghala usika based na angles zilizotolewa na satelites na kutuma chuma kwenye huo uelekeo.

Sasa chuma kinavyokuja, kina mifumo mingi ya kujua njia. Kuna ambayo inaongozwa na satelite, kuna ambayo inakuwa loaded na topographical maps, na kusafiri kwakulinganisha inachoona kwenye adhri na kilichopo kwenye map yake au kuna inayotumia laser beam.

Its very interesting technology ukizifuatilia. Nadhani nimekujibu mkuu....
Naam unajua mwambaa
 
1678444196941.png
 
Wakati mkiendelea kubishana mambo ya stealth bomber na mazagazaga mengine,sisi huku tunaendelea kuwatembezea kichapo [emoji116][emoji116]

#[emoji298][emoji298]Ukraine’s defense forces over the past day struck russia’s control post, six manpower clusters, two logistics centers, three ammunition depots, and six electronic warfare stations.[emoji298][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Leta picha au videos. Hatutaki maneno matupu.
 
Sio rader, ni radar. Na sitajibu kuhusu radar, radar zenu za ukweli zilikuwepo hapa kwenye airbase wakati A-50 inarekodiwa hivi, ingeshambuliwa bila kizuizi chochote

Hiyo Turkey ilinunua S-400 baada ya Marekani kuigomea kuiuzia Patriot. Yaani iliona bora uchukue makombo kuliko kukosa bure, Turkey ingeanza kabisa na kuitaka S-400 kama unajitapa hapa. Bishana na Waziri wa Ulinzi wa Uturuki hapa👇

"When Turkey needed an air defense system, it primarily made an effort to get this system from its NATO allies. Unfortunately, our NATO allies were, citing various different excuses, unable to give an air defense system to Turkey," Mevlut Cavusoglu told reporters in Qatar, after a meeting with his Russian and Qatari counterparts on Syria.

"Thus, in such cases, we have to buy defense systems from different sources," he explained.

Source ni Anadolu Agency, bishana na shirika la utangazaji la serikali ya Uturuki hapa 'No one can criticize Turkey for buying S-400s'

F-35 ni superior ndio maana Uturuki ilikuwa kwenye programu ya kutengeneza components na ilichangia hela, baadae ikafukuzwa iliponunua S-400. Badala yake, India ilijitoa kwenye deal ya Su-57 kipindi bado inaitwa PAK-FA. India ikaenda kubangaiza na jet yake ya HAL Tejas, ilikuwa ishashiriki na ishachangia hela ikaja gundua wakati project inaendelea kwamba ndege yenyewe ni utapeli haina capabilities inazotaka. Tofautisha India iliyojitoa yenyewe kwenye mradi wa Su-57 dhidi ya Uturuki iliyoondolewa kwenye F-35 na ikalalamika.

Na Uturuki imechagua option ya kuongezewa F-16 block iliyokuwa developed hivi karibuni. Kwenye ile zaidi ya $1 billion yake iliyowekeza kwa F-35, Uturuki haijataka kupewa hela ikanunue ndege kwingine. Sasa kaa hapo ulinganishe silaha za superpower dhidi ya nchi isiyotengeneza laptop wala smartphone.

Ufaransa mwaka huu ndio kawa mpinzani wa ndege za Marekani, wiki hii Indonesia wamesema wanaongeza ndege 18.

Top 5 best anti-aircraft missile systems in the World
  • #5 – Chinese HQ-9 long-range anti-aircraft missile system.
  • #4 – U.S. SAM MM-104 “Patriot”
  • #3 – French-Italian SAMP-T complex (Eurosam)
  • #2 – Israeli SAM or GTAM David.
  • #1 – Russian anti-aircraft system S-400 Triumf.
Sasa mkuu,unataka tukuamini wewe kuwa patriot ni zaidi ya S400?
 
Nashukuru kwa kuwa mwalimu mzuri kwenye issue za maandishi😅😅😅 nimepokea marekebisho (Radar)..typing errors hutokea..nashukuru kwa kunote ilo.

Twende kwenye mada. Shambulio na kutua kwa civilian drone kwenye A-50 aircraft pale Pale Belarus. Kitu kimoja nachoweza kukuhakikishia ni kwamba, Russian RADAR ziko powerful enough kumwona kunguru alie angani 400 kilomiters away. Ukiacha hii capability without a proper control utajikuta unatuma makombora mpka kwa njiwa kisa tu wameonekana kwenye radar

Kinachofanyika sasa ni wataalam kuandaa alogarithim sofware ambayo itatofautisha a military threat au its just a bird of which iyo inafanya vizuri sana.

Kilichotokea Belarus, ni kutumia civilian drone, radar signature ya civilian drone its next to a bird of which can easly be ignored , Iyo ni moja, pili inapaa kwenye very low altitude kuwa detected na radar stations zinazoangalia anga. Iyo sioni kama ni hoja.

Kushindwana kwa Mrusi na Muhindi kulikuwa wazi, kufanya project ya pamoja huku kila mtu akiwa na malengo yake within a project lazma mvurugane.
kuna vitu muhindi alikuwa anademand ikiwepo iwe two seaters aircraft kitu ambacho mrusi hakuona sababu ya kufanya hivyo. Na vingine vingi. Issue ya mrusi kumtaoeli muhindi ndo naisikia kwako MNATO.
Typo ni kawaida wasio na hoja ndio huikomalia, nimekukosoa hapo naona kama autocorrect yako umeikaririsha kimakosa inarudia hivohivo.

Hakuna sehemu nimesema Urusi ilimtapeli Mhindi, ni kwamba Mhindi aliona capabilities zilizotajwa kwenye makaratasi sio hizo zinazojitokeza kwenye development. Mpaka leo Su-57 haina injini yake ya Izdeliye 30 inatumia AL-41F1 injini ya Flanker. Sasa injini hamna kisha mnaleta mbwembwe humu mnasema ndege ni superior. Hamjui stealth jet inahitaji injini yake maalum?

Na kwenye tukio la pale airbase umeongea vizuri sana, tatizo sio kuona ndege tatizo ni kuifanyia engagement. Russia inazo radars zinazoweza ona F-35 ikiwa almost 60km (data rasmi ni za siri ila kwa muda mrefu nimekuwa nikisoma hii claim). Hapo ni kulingana na radar cross section ya F-35 ambayo inasemekana ni kubwa kidogo kuliko F-22 ila ndogo maradufu kuliko Su-57.

Umemsema kunguru ila bado mkubwa huyo, ujue kuna radar zina uwezo wa kutambua matone ya maji angani. Tatizo searching radar na engagement radar ni tofauti kwenye wavelength na frequency. Kwahiyo unaiona F-35 na ground based radar ikiwa within 60km wakati yenyewe ina stand off missiles za range ya 100km+ sasa utaifanyaje?

F-35 kwa ukubwa wake kwenye radar inakuwa inazidiwa na kimpira cha tennis, ukirusha kile kimpira angani na F-35 ikapita hapo kitaonekana kuliko yenyewe. Uwezo wa radar unakuja kwenye processing hapo ni kompyuta ambazo Russia huwa yuko nyuma siku zote.
Unaiona ni target angani ila huna engagement radar ya kutoa guide accurately matokeo yake unafyatua missiles ovyo zinalipuka mita nyingi mbali na target, unatumia mbinu ya Urusi ya siku zote ya kutuma salvo unakuwa depleted with interceptors.

Kwanza hayo yote ya nini wakati AEW za Marekani zinasimama hundreds of km away zinascan radar emissions kisha 4th gen. fighters zinakuja na HARM missiles zinaondoa AD systems. Na bado kuna successor wa HARM ni AARGM yenye range kubwa zaidi na software nzuri. Kazi ya HARM si umeiona Ukraine? Sasa hao hawana ndege za kuitumia ipasavyo na wamepewa vikombora kidogo waringishie.
 
Mkuu kwa kifupi sana: stealth si faida tu ukishambulia, ni pia faida ukijitetea. Kwa nini askari anayesubiri kushamuliwa analenga kujificha ila mshambuliaji asimtambue??
Vivyo hivyo fighter aircraft inayotetea nchi ikiwa na stealth itakuwa na uwezo mkubwa kuliko ndege isiyo na stealth.
HAdithi zako kuhusu shabaha za jeshi la USSR ni ushairi. Walijiandaa kabisa kwa mashambulizi (na pia kwa utetezi). Maana wakitegemea silaha za nyuklia kama zuio la kushambuliwa (deterrence), walijiandaa pia kwa mashambulizi makali.
Mkuu kwenye response yako kwa Ginner...sijui umesahau bahati mbaya au vp...ku comment kwenye issue ya VTOL&VISTOL kama alivyoielezea hapo juu....atleast mu acknowledge Mwamba kwamba yuko sawa na ww uliteleza ...!!!
Asante!

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Ubishi wa ndege tumeuchoka, kuleni taarifa za vita
🇷🇺⚔️🇺🇦A monument to a fighter was destroyed in Bakhmut, fighting is already at the very center of the city

The "Airplane" area on the southwestern tip of Bakhmut. The assault groups of the Wagner PMCs are fighting their way to him in order to cut off the AFU forces from the route to Konstantinovka.

All videos were shot from the Ukrainian side, the "Plane" is still in the area controlled by the Ukrainian Armed Forces.

On February 16, the leader of the Ukrainian militants with the call sign "Magyar" warned that it was impossible for journalists to go to the "Airplane" area, it became dangerous there.
 
Ubishi wa ndege tumeuchoka, kuleni taarifa za vita
[emoji635][emoji3538][emoji1255]A monument to a fighter was destroyed in Bakhmut, fighting is already at the very center of the city

The "Airplane" area on the southwestern tip of Bakhmut. The assault groups of the Wagner PMCs are fighting their way to him in order to cut off the AFU forces from the route to Konstantinovka.

All videos were shot from the Ukrainian side, the "Plane" is still in the area controlled by the Ukrainian Armed Forces.

On February 16, the leader of the Ukrainian militants with the call sign "Magyar" warned that it was impossible for journalists to go to the "Airplane" area, it became dangerous there.
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
[emoji298]European Commission President Ursula Von der Leyen and President Volodymyr Zelensky spoke over the phone and discussed Russia's mass missile attacks overnight on March 9 and anti-corruption efforts in Ukraine.

Russia launched a mass attack across Ukraine in the early morning hours of March 9, targeting numerous energy infrastructure sites and killing at least six people.

"Spoke today with (Zelensky) following the indiscriminate missile attacks on Ukraine last night. Russia’s deliberate targeting of civilians and the energy grid is a war crime. It strengthens our common resolve to continue progress in Ukraine’s reform efforts on their (European) path," she wrote on Twitter. [emoji298][emoji298]

Back
Top Bottom