Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Wanapata wadhamini kidogo, naskia wamekuja na bidhaa yao mpya kabisa ya human sausage noodles 🍜🍜🍜Wanapata burudani [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanapata wadhamini kidogo, naskia wamekuja na bidhaa yao mpya kabisa ya human sausage noodles 🍜🍜🍜Wanapata burudani [emoji23][emoji23][emoji23]
Umshana, wewe ni AI nini,mbona sikuelewi?Nimeuzunguku mbuyu, kweli. Nifanye nini? Kuupasua katikati? Hivyo nimeuangalia kutoka pande zote nikajibu.
Unaisifia sana f35 chief...soma kuhusu.. Yakovlev Yak-141.. a soviet design ambayo f35 ilienda kucopy design na technology. Yak 141 had its first flight on 1987....mmarekani amekuja na f35 miaka 30 baadaeGermany got the go-ahead to buy F-35 fighter jets produced by U.S. defence giant Lockheed Martin (LMT.N) as part of military procurement projects worth 13 billion euros ($13.85 billion), Defence Minister Christine Lambrecht said on Wednesday.
The German parliament's budget committee approved the spending, including 10 billion euros for the F-35 jets as well as funds for the purchase of encrypted digital radios and assault rifles.
========================
Ujerumani imeweka hiyo oda Decemba mwaka jana ili kuimarisha jeshi lake la anga kama jibu la uvamizi wa Urusi huko Ukraine.
Poland, UK, Australia na nchi zisizo wanachama wa NATO kama Japan pia wametoa oda kwa Lockheed kununua F-35.
F-35 ndiye mfalme mpya wa anga kizazi cha 5, 'stealth features zake, manuverbility' ni za kipekee.
Kajisomee kuhusu version ya F-35B uone maajabu ya teknolojia, ile vertical takeoff landing sio ya kawaida.
👇
But unlike the Harrier, the F-35B and its Short Take-Off and Vertical Landing (STOVL) system offers both vertical landing and long-range supersonic speed in one unit, creating a stealthy, lightning-fast fighter capable of carrying advanced weaponry.
T14 Armata
Siku nyingine kukitokea kikundi ndani ya Ukraine kinataka kuvuka mipaka na kwenda kushambulia raia Russia nadhani wanaUkraine wenyewe wataenda kukizuia kisifanye shambulio maana washaona majibu ya kulipiza kisasi cha kushambulia Russia yanakuajeHahahahahah wamechakaza vibaya mno huko ukraine angaa lilipendeza na makoleo [emoji3][emoji3][emoji3]
Ha ha ha haaModerator nashauri kwa hivi sasa huu uzi wa mgogoro wa Ukraine na Russia uwekwe ktk thread mbili, uzi wa kwanza uwe wa kulipia na uzi wa pili uwe free kwa wote . Kwa kufanya hivyo itasaidia Thread moja kubaki na vichwa vinavyojua kufanya uchambuzi wa vita na siasa za west na Far East , Yaani Great Thinkers. Na Thread ya pili ibaki na watu wa kawaidi kama kina Proved , MK254 na Kipanya , Yaani Normal Thinkers
F-35 ni stealth ila hiyo Yak-141 sio stealth....wamecopya kitu gani ?Unaisifia sana f35 chief...soma kuhusu.. Yakovlev Yak-141.. a soviet design ambayo f35 ilienda kucopy design na technology. Yak 141 had its first flight on 1987....mmarekani amekuja na f35 miaka 30 baadae
Ha ha ha haa,Tulishakuwa na mijadala mingi sana humu inayohusu F35 sijui kama ulikuwa husomi
Sijazungumzia ubora wa F35 nimezungumzia f35 hazijatumika vitani sasa kusema ujerumani walizinunua kwa sababu zilikuwa na ufanisi kwenye vita ni uongo.
Ujerumani anunue hata F35 milioni kama warusi walimpiga wakati akiwa super power enz ya hitler ndio watakuja kumsumbua ss hv wana kijijeshi cha mchongo!?
Tehe tehe tehe,Wewe hoja yako iko wapi. Unataka tujibu vihoja kwa hoja!? We vipi
kwa uelewa wako..Stealth ni kitu gani???...hebu anzia hapo kwanza...!!!..sababu naona umezinguka na hiyo stealth...,,,!!!F-35 ni stealth ila hiyo Yak-141 sio stealth....wamecopya kitu gani ?
Nenda kajisomee mwenyewekwa uelewa wako..Stealth ni kitu gani???...hebu anzia hapo kwanza...!!!..sababu naona umezinguka na hiyo stealth...,,,!!!
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app