Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unaisifia sana f35 chief...soma kuhusu.. Yakovlev Yak-141.. a soviet design ambayo f35 ilienda kucopy design na technology. Yak 141 had its first flight on 1987....mmarekani amekuja na f35 miaka 30 baadae
Hawatakuelewa hata kidogo,
,toka wamezaliwa wanaambiwa USA ndo Kila kitu.
Kumbe sivyo.
Sasa kuitoa hiyo mentality kunahitajika maombi ya kufa mtu.
 
Nenda kajisomee mwenyewe
mm nafahamu..kwamba 'Stealth' ni one of the Technology...!!.. kwa hiyo inawezekana wamecopy vitu vingi...then wao wakaongezea hiyo stealth tech....,!!! kwa hiyo sio issue USA kucopy...!!!.. tatizo huwa tunadhan West ni wavumbuzi wa kila kila kitu...but in reality haiko hivyo...kuna Tech nyingi sana huwa na wanacopy/wananunua... halafu wana upgrade ..then wanatupanga kuwa wao ndio wavumbuzi...

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Hawa ndugu nivigeu geu .....walisema Russia haina uwezo wa kupigana Kwa wiki 2 ......


Russia has enough resources to continue the war in Ukraine for two years, says Lithuanian military intelligence chief, Elegijus Paulavicius.
Aljazeera news
Tatizo pro west wengi wanaamini taarifa zinazotolewa na media zao bila kushirikisha hata akili zao,
Waliaminishwa Russia yuko weak kiuchumi hawezi kuhimili vita vya muda mrefu, kwa sasa wameona mambo ni tofauti.

Wakaaminishwa Russia hana silaha na man power hivyo ndani ya siku 10 SMO ita cease, bila kushirikisha akili zao kwamba Russia ni mojawapo ya nchi zenye jeshi kubwa by number na ni producer mkubwa wa silaha, wenyewe wakaamini taarifa hiyo kwamba hana man power na ana changamoto ya silaha
20230304_161711.png

Waliaminishwa kwamba vikwazo ambavyo Russia aliwekewa na "international community" vitasabanisha uchumi wa Russia kuyumba na vitafanya Russia akose hela kugharamikia vita hivyo angerudisha majeshi ila wakawa surprised vikwazo havikufanya yaliyotarajiwa na west wakaanza kuulizana
20230309_230316.png
20230309_230154.png

Wakaaminishwa pia
"Russia is resorting to putting computer chips from dishwashers and refrigerators in tanks due to US sanctions"

Russia's two major tank plants — Uralvagonzavod Corporation and Chelyabinsk Tractor Plant — have "halted" work due to lack of foreign components
20230309_231756.png

Ila medvedev alienda kiwandani na mzigo ulikua unaendelea kuwa produced kama kawaida na akasisitiza waboost production.

Wajuvi wa mambo watueleze bado Russia anatumia semiconductors kutoka kwenye friji na dishwasher kwenye kufix tanks zake?
20230309_231357.png
 
mm nafahamu..kwamba 'Stealth' ni one of the Technology...!!.. kwa hiyo inawezekana wamecopy vitu vingi...then wao wakaongezea hiyo stealth tech....,!!! kwa hiyo sio issue USA kucopy...!!!.. tatizo huwa tunadhan West ni wavumbuzi wa kila kila kitu...but in reality haiko hivyo...kuna Tech nyingi sana huwa na wanacopy/wananunua... halafu wana upgrade ..then wanatupanga kuwa wao ndio wavumbuzi...

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Ni kweli kwamba maarifa kutoka Yak 141 yaliingia katika vyanzo vya F35. Urusi ina mainjinia wazuri, changamoto yao mara nyingi ni uzalishaji. Hata Yak 141 ilijengwa ndege chache sana mpaka mradi kufilisika - na kwa miaka 1991-93 Lockheed ya Marekani ilisaidia milioni mia kadhaa kutengeneza ndege za jaribio za ziada.
Ila Lockheed wakati ule walifanyia kazi X-35 iliyokuwa mtangulizi mmojawapo wa F35. Nadhani walikopi vitu kadhaa kutoka maarifa ya Yak 141. Ila kudai F35 ni kopi ya Yak141 - sidhani si sahihi. Ukiamini vile, tafadhali utaje yale yaliyonakiliwa.
Maana tekinolojia ya VTOL ilipatikana tayari kwenye Harrier ya Uingereza (iliyotangulia, nisipokosei Warusi walianzisha Yak141 wakilenga kuiga na kuwa bora kuliko Harrier), lakini pia Boeing walishughulika tayari X32 yenye VTOL. Lockheed iliamua kushirikiana na Yak141 kwa sababu ilitafuta usaidizi kushindana na Boeing.
 
Akwambie nani wakati wewe ndie uliesoma na kusema wayukrain waliangusha roketi 30, na ndio maana nikakuuliza je ni ngapi zilishoot target? Au umeweka zilizoangushwa tu, ila zilizo shoot target hutaki kuweka shauri ya mahaba yako kwa USA na mashost zake
Mkuu jaribu kutumia mantiki kidogo! Siwezi kujua na wewe huwezi kujua Ukraine walilenga roketi ngapi. Tuna habari a) idadi ya roketi inayosemekana ilirushwa na Urusi wakati huu na b) idadi ya roketi Waukraine walisema waliangusha. Kama walilenga zote zilizokuja, kama walikuwa na vifaa vya kutosha kwa vyote au la - hatuwezi kujua. Au ukijua, sema.
Nahisi unapenda kutangaza mafinikio makubwa ya Urusi kama imefaulu kurusha idadi ambazo hazikuangushwa. Ikikusaidia, tangaza tu!
 
Germany got the go-ahead to buy F-35 fighter jets produced by U.S. defence giant Lockheed Martin (LMT.N) as part of military procurement projects worth 13 billion euros ($13.85 billion), Defence Minister Christine Lambrecht said on Wednesday.

The German parliament's budget committee approved the spending, including 10 billion euros for the F-35 jets as well as funds for the purchase of encrypted digital radios and assault rifles.
========================


Ujerumani imeweka hiyo oda Decemba mwaka jana ili kuimarisha jeshi lake la anga kama jibu la uvamizi wa Urusi huko Ukraine.

Poland, UK, Australia na nchi zisizo wanachama wa NATO kama Japan pia wametoa oda kwa Lockheed kununua F-35.

F-35 ndiye mfalme mpya wa anga kizazi cha 5, 'stealth features zake, manuverbility' ni za kipekee.

Kajisomee kuhusu version ya F-35B uone maajabu ya teknolojia, ile vertical takeoff landing sio ya kawaida.

[emoji116]

But unlike the Harrier, the F-35B and its Short Take-Off and Vertical Landing (STOVL) system offers both vertical landing and long-range supersonic speed in one unit, creating a stealthy, lightning-fast fighter capable of carrying advanced weaponry.

T14 Armata
Ujerumani imedumazwa na US. Ujerumani, Japan Wala so mataifa ya kununua silaha kws Marekani.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu, naomba nichangie jambo moja leo.

Kuna hizi estimations walizokuwa wanafanya hawa westerns, kwa mfano:

Russia hawezi pigana vita muda mrefu
Russia ameishiwa silaha
Russia uchumi wake ni mdogo
Russia hana manpower
Etc

Hizi estimations zinaweza kuwa sahihi kabisa kwa upande wa westerns kutokana na intelligence assessments zao.

Kuwekuwepo na mikataba kati ya Russia na US wa ukaguzi wa silaha (Mkataba wa Open sky, START Treaty etc). Hao wanaofanya ukaguzi ni Intelligence Officers.

Kwa hiyo, kutokana na hizo kaguzi zao, walizofanya ni kweli wakafikia kwenye hizo conclusions (kutokana na waliyoyaona).

Lakini kwa hali ilivyo sasa, ukweli unakuja kudhihirika ni kwamba, Russia walikuwa wanaficha silaha zao. Westerns wamekuwa wakidanganywa kuhusu uwezo wa kijeshi wa Russia.

Kuna uwezekano mkubwa sana, Russians wana viwanda vingi vya kijeshi vipo underground. Huwezi kuviona kwa satellites pictures au upitishe ndege juu upige picha.

US ameitumia hii vita kama experiment ya kujua nguvu ya Russia na kweli ameijua. Na amejua zile calculations zake sio sahihi.
 
Pia kuna ishu ya hizi hypersonic missiles ambazo Russia anazitumia.

Kwanza zimeonyesha kwamba ni kweli ni hypersonic missiles kwa maana air defense systems zimeshindwa kuzitungua.

Pili, zimeonyesha kwamba ni precision guided missiles. Zinapiga palepale zilipotumwa.

Tatu, inaleta changamoto kubwa pale hizi hypersonic zinapokuwa na uwezo pia wa kubeba nuclear warheads. Ili ndio tatizo kubwa. Maana yake ni kwamba Russia wana uwezo wa kukupiga na nuclear na ukashindwa kuzuia hilo kombola.
 
Pia kuna ishu ya hizi hypersonic missiles ambazo Russia anazitumia.

Kwanza zimeonyesha kwamba ni kweli ni hypersonic missiles kwa maana air defense systems zimeshindwa kuzitungua.

Pili, zimeonyesha kwamba ni precision guided missiles. Zinapiga palepale zilipotumwa.

Tatu, inaleta changamoto kubwa pale hizi hypersonic zinapokuwa na uwezo pia wa kubeba nuclear warheads. Ili ndio tatizo kubwa. Maana yake ni kwamba Russia wana uwezo wa kukupiga na nuclear na ukashindwa kuzuia hilo kombola.
Acha nao wakipate ......sio wanatuletea vita huku .....now it's their time[emoji23]
 
Back
Top Bottom